Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari zenu wana Michezo.Mimi siyo mchambuzi wa mpira ila ni mpenzi mtazamaji tu. Leo Simba kabanwa mbavu,bahasha haijasaidia,Mmadrid nae kachemka.Tulikubaliana na GENTAMYCINE kwamb Pablo...
9 Reactions
4 Replies
685 Views
Mimi ni shabiki wa Yanga ila sipendezwi na Haya Maneno ya Hawa Wachambuzi Wanahakati. Hii ni dharau kubwa kwa wachezaji wetu wa Ndani. Haya maneno ya huyu Mchambuzi yanawajengea Over Confidence...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Club ya Simba karibuni imekua ikijikongoja katika upigaji wq penalt yaani simba ikipata tuta basi ujue mashabiki wanabana kende badala ya kushangilia kwani hawana uhakika na matokeo. Wachezaji...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Leo GENTAMYCINE nipo Kimpira ( Kimchezo ) zaidi na nimeweka Ushabiki wangu wa Simba SC pembeni. Nitakaowakwaza ( hasa wana Simba SC wenzangu mtanisamehe kwa huu Ukweli wangu kwani sijazoea Unafiki...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Tiketi za Michezo ya Olimpiki ya Msimu wa Baridi 'Winter Olympics' itakayoanza Februari 4, 2022 huko Beijing Nchini China zitatolewa kwa makundi kadhaa ya watu na hazitauzwa kwa Umma. Kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
764 Views
. A- Kocha wa Mbeya City amemzidi Akili Kocha wa Simba Sc? . B- Siku mbaya Kazini kwa mnyama? . C- Mbeya City waliutaka mchezo zaidi ya Simba Sc? . D- Hangover ya Ubingwa wa Mapinduzi Cup? . E- Au...
2 Reactions
9 Replies
850 Views
NBC Premier League leo ljumaa. Saa 10:00 jioni KMC watakuwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora kuwaalika machampion watetezi Simba SC. Simba Leo Wahitaji kushinda huu Mchezo kwa Hali na Mali...
8 Reactions
246 Replies
16K Views
Yanga ndiye bingwa wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania bara NBC Premier League amechukuwa ubingwa huo mara 27 katika makala hii niitajibu maswali yote yanayohojiwa hapa jukwaani kuhusu rekodi hizo...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
KOCHA WA MAKIPA WA SIMBA[emoji881] MBIONI KUJIUNGA NA YANGA SC[emoji617] Taarifa za ndani kabisa zinasema kuwa Yanga SC [emoji617] inakaribia kumnasa kocha wa zamani wa Simba[emoji881], Mbrazil...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimeona yanga kwenye mechi ya coastal union nimejiridhisha kwamba msimu huu wamepania kufanya jambo ktk kuupigania ubingwa waliopoteza misimu 3 iliyopita, kuna kauli nazisikia zikisema yanga...
3 Reactions
11 Replies
769 Views
Kwa kiwango alichoonesha leo Boko naona ni wakati muafaka wa yeye kustaafu au kama anataka kuendelea kucheza basi arudi team ndogo za chini.
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Najua huko ( huku ) Mitaani sasa Gumzo ni Yanga SC 'Kanunua' kwa KMC FC na kwamba Kipa Farouq Shikalo na Beki Vicent Dante Chikupe ndiyo 'wamechomesha' kwa Kuchukua 'Mlungula' Yanga SC kwakuwa...
36 Reactions
173 Replies
10K Views
Mtangazaji wa Clouds FM Privaldinho ( Privadinyo ) muda mfupi akiripoti ( katika Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM ) kutokea Tanga ulipo Uwanja wa CCM Mkwakwani ambao Kesho...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Huu ndio msimamo, sasa yule straika wenu kazidiwa hata na mzawa George Mpole😂 afu mnataka kusema eti Mayele ajifunze kwake, kueni walau na aibu.
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanamichezo. Kwa miaka ya hivi karibuni tangu kurejea kwa michuano hii ya F.A. Tanzania bara, nimeiona haina tija kwa soka la Tanzania bara sana imekaa kufaidisha kikundi cha watu...
2 Reactions
9 Replies
610 Views
Mahakama ya Shirikisho la Australia siku ya Jumapili Januari 16 ilikataa rufaa iliyoletwa na Bingwa wa Tennis duniani Novak Djokovic dhidi ya kufutwa kwa visa yake na kufukuzwa nchini. Mahakama...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nitakataa mpaka kesho ukiniambia mechi za ligi yetu ya mpira wa miguu ni mchezo sawa na mpira wa miguu wa wenzetu tunaowaona kwenye Tv zile game za akina Mbappe, Messi na Ronaldo, adhani ni...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Show za NPL zimesharudi na zinaendelea pale Tulipokuwa Tumeishia Leo katika NBC Premier League Saa 10:00 jioni vinara Yanga SC watakuwa dimba la Mkwakwani kumenyana na Coastal Union. Yanga...
10 Reactions
388 Replies
21K Views
Waliofanikiwa zaidi Fernando Tores -ATM Okwi. -Simba Ngassa -Yanga Yanick Carasco -ATM philipe Luis-ATM Juma kaseja -Simba Alvaro Morata-ATM Lukaku-Chelsea Tevez -Bocca jr Ibrahimovic -Ac millan...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…