Wanayanga wanajitapa kuchukua ubingwa mara 27 huku wakituchomekea miaka 1985 1989,1992,1993 na 1998. Miaka hiyo timu zilichochukua ubingwa eidha zikekufa au hazina nguvu tena.
Kwa uhalisia yanga...
Nakumbuka KEROZENE nilipochangia Uzi wakati Chama alipouzwa nilisema hapa hapa kuwa ile ilikuwa ni Gia tu, ila muda mchache atarudi Tanzania na Kutua Yanga SC.
Kuna sababu Kuu Nne ambazo...
CHIKO USHINDI[emoji1078] ATUA DAR ES SALAAM
Mchezaji Mpya wa klabu ya Yanga [emoji617] Ambaye atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa amewasili Nchini muda huu akitokea Congo Dr[emoji1078]
...
Picha: Salima Mukansanga
Salima Mukansanga ameweka historia kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka huu nchini Cameroon, kwa kuwa mwamuzi wa kwanza mwanamke kwenye mashindano...
Filamu ni moja ya kazi za sanaa zenye kuelimisha, kuburudisha na pia kuingiza kipato.Binafsi napenda sana Filamu na nafuatilia sana maendele ya fani ya filamu hapa Tanzania.Nakumbuka miaka ya...
DILI LA MUKOKO[emoji1078] KUJIUNGA NA TP MAZEMBE [emoji246] LAKWAMA
Kwa Mujibu wa @leopard_LSA wanaripoti kuwa mazungumzo kati ya Mukoko na TP Mazembe[emoji246] yamesamama kwa sababu za maslahi...
Mchezaji Bora Mechi ya Fainali Mapinduzi Cup - Henock Inonga (Simba SC)
Kipa Bora wa Mashindano ya 2022 Mapinduzi Cup - Aishi Manula (Simba SC)
Mfungaji Bora Mashindano ya Mapinduzi Cup - Meddie...
“Kabla ya mchezo wetu na Coastal Union, tutangaza watu wawili pale uwanjani Mkwakwani. Tunataka kufanya utambulisho uwanjani kama Real Madrid” Haji Manara...
DEADLINE DAY| MOSES PHIRI TRANSFER 🚨
↪️The last updates from my sources in Zambia firmly believe Moses Phiri is joining Simba Sports Club of Dar Es Salaam in the summer window
↪️As reported...
Hellow JF
Hivi kwa nini huyu jamaa Shiboub aliondoka pale msimbazi tena kimya kimya halafu safari hii amerudi tena??Nini kimemrudisha tena Shiboub SSC??Je ni figisu??nini ambacho kipo nyuma ya...
Mimi ni mnyama damu ila ukweli usemwe mashabiki wa simba wengi tumepatwa na wenge usingizi hatupati jamani ata chama tumemsahau roho zipo juu. watani tuibieni jina basi tupate japo amani asije...
Nimepitia mitandao mingi ya uhakika inayoweka kumbukumbu za ubingwa wa soccer duniani. Kumbukumbu hizo zinaonesha Yanga kachukua ubingwa mara 22. Nimeweza kuenda kwenye website ya Yanga nao pia...
Ndugu zangu, Nawasalimu kwa jina LA jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mm ni mdau wa mpira mzr tu pia nilipata kucheza miaka ya nyuma nikiwa mashuleni pia nikishika filimbi (referee) apaharibiki...
Mechi ya Liverpool na Chelsea mashabiki wanatumia nusu saa tu kuingia uwanjani na uwanja unajaa sisi Simba na Yanga mashabiki wapo uwanjani tangu saa moja asubuhi tumerogwa
Kufuatia tetesi zilizopo kumhusu mwamba wa Lusaka aliyewahi kucheza club ya simba, kisha kutimkia club ya Berkene na kuhusishwa kusajiliwa na yanga kwenye dirisha dogo, ni kwamba mwamba Triple C...
AUTH: FANANI MEDIA
IG/TWITTER/FB : FANANIMEDI
Mwanafalsafa, mwanafizikia na nguli wa hesabu Albert Einstein enzi za uhai wake aliwahi kunukuliwa akisema
"Usifanye kazi ili kuwa mtu ulie fanikiwa...
Nikiwa na tazama mechi ya Simba na Biashara, nimeweza kumfuatilia na kumtazama kwa umakini kiungo soft kutoka Zambia Bwalya. Huyu jamaa ni copy ya Chama tofauti ni miguu wanayotumia. Anajua sana...