Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ukiangalia kwa jinsi Simba ya sasa inavyocheza, mfalme wa zamani wa timu hiyo Chama ambaye atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, je ni nani atampisha Chama kwenye kikosi cha kwanza? Vipi nafasi...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Simba SC hebu waoneeni Huruma Yanga SC kwani kuna tetesi (Habari zisizo rasmi) kuwa Mchezaji Simon Msuva (aliyedhaniwa kurejea Tanzania kuichezea Yanga SC) atatua Simba SC na kwamba huenda...
16 Reactions
24 Replies
5K Views
Hii mechi ilipangwa Jumapili Mkwakwani Stadium Tanga lakini imeahirishwa. Je nini hakijaenda kama ilivyopangwa? GENTAMYCINE ufafanuzi tafadhali.
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Kuna maswali mengi sana watu wanajiuliza mimi nikiwemo mmoja wapo kurejea kwa Chama SSC ndani ya mda mfupi; Je, Chama atakuwa bora kama kipindi kile? Kwa nini amerejea ndani ya kipindi kifupi...
5 Reactions
78 Replies
4K Views
Kweli nimeamini Yanga akili zao zipo kwenye Nyuma Mwiko pekee yake. Jinsi wanavyotumia nguvu nyingi kupinga ujio wa Chama. Kwenye mitandao na vibanda umiza wamejazana mashabiki wa yanga...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwamuzi Nassir Salim wa Zanzibar aliyechezesha fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Azam FC na Simba SC hakuwa na ufahamu kuhusu sheria ya mchezaji kurudisha mpira kwa golikipa wake. Mwamuzi huyu...
5 Reactions
69 Replies
6K Views
TETESI...! Inajulikana kuwa Simba walivutiwa sana na huduma ya huyu mchezaji mzambia kutoka katika club ya Zanaco, katika kipindi cha dirisha kubwa ila ikashindikana kutokana na idadi ya wachezaji...
4 Reactions
76 Replies
7K Views
Nawaonea huruma sana Yanga,
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Timu ya Simba ilitamba kwenye soka la bongo kwa takribani Miaka minne mfululizo, ikijengwa na wachezaji wenye uwezo Mkubwa na wenye historia ya soka la Afrika. Baada ya Mo, kuanza kuisaidia Simba...
15 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwamuzi Jan Sikazwe toka Zambia akichezesha mchezo Kati ya Tunisia na Mali, amemaliza mchezo dakika ya 85 lakini Tunisia wakalalamika na mchezo ukaendelea, ilipofika dakika ya 89 akamaliza mchezo...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Simba kwa sasa ni timu kubwa sana ukanda huu. Kikosi cha simba ni kipana. Kila namba ina watu wasiopungua wawili. Ninaanza kuleta kikosi na formation yake kulingana na uhitaji. Tunaanza na...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
1.Jonas Mkude 2.Kanoute 3.Tadeo Lwanga 4.Mzamiru Yasin Uzi tayari...karibuni
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Itifak imezingatiwa, Hili Jambo mbona Kama limekufa kibudu ,mitandaoni sioni hamasa yenye makali kabisa , Simba ilivyo na nguvu mitandaoni inashindwa Nini kutumia nguvu ya ushawishi ili hili...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa saves alizofanya Manula jana Mapinduzi cup hakuna kipa wakumfikia ligi kuu. Tuache unafki jana Azam wakipiga mpira, wakiendelea hivyo hata NBC watafika mbali. Kuna saves Manula kafanya jana...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Ivi kweli msuva analudi bongo au geresha tu madai yanaweza kumuondoa moroco ipi timu itakayo mfaa Kati ya izi mbili Simba angetufaa Sana kwenye mashindano ya kimataifa
1 Reactions
2 Replies
605 Views
Ile haki bin haki inayofanywa na waamuzi wa Zanzibar kwenye kombe la mapinduzi ndio inayokosekaana kwenye ligi ya Bara. Kama refa angetoka Bara Yanga na Simba zingepata matokeo mazuri sana dhidi...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Waamuzi wetu wamekuwa wakiacha michezo ya rafu za hatari na wachambuzi wetu wengi ni wa michonho wanaita "kugongana" Kuna wachezaji kama Luis alikuwa mhangs wa rafu mbaya ila Mungu mkubwa...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Nchi ya Australia, kwa mara ya pili imesitisha kibali cha kuingia nchini humo cha mchezaji maarufu wa tenesi, Novak Djokovic, kutokana na utata kuhusu haki ya kuendelea kubaki nchini humo bila ya...
1 Reactions
2 Replies
941 Views
Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar. Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi. Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi? Khalid Aucho: Wakati...
10 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…