Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nazungumzia mwamuzi wa mechi ya Kabwili FCna wengine wanaopanga kuua move za timu zinapokwenda kufunga bila sababu yoyote. Je posho yao inafikia hizo pesa?
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Staa wa Klab ya PSG na Argentina amegundulika ana mambukizi ya ugonjwa wa uviko-19 na klabu yake imethibitisha leo. Staa huyo tayari ashajitenga na kuna uwezekano akakosa mchezo wa French Cup...
1 Reactions
1 Replies
435 Views
The Blues first wore shirts with numbers during our match against Swansea City in August 1928. At the time, it was a news-worthy innovation for the game. It allowed spectators to give credit to...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Mnamsema tu Sakho, Kanute, Onyango na Verane! Tuache choyo ndugu zanguni. Yupo Jonas Mkude Nungunungu Master anaachia miba kimya kimya. Tumpe heshima yake. Aliyeanzisha hizi tuzo naye apewe...
9 Reactions
11 Replies
769 Views
Happy New Year Kwa Jamii Sports Members Wote ! Salamu za Mwaka Mpya Ziwe nanyi Popote Pale Mlipo Katika Dunia Hii Ambayo ni Sayari Ya 3 Katika NBC Premier League, leo tunauanza mwaka mpya wa 2022...
8 Reactions
468 Replies
27K Views
Sijui kigezo kilichotumika kumleta huyu jamaa Sadio Kanoute. Wengine watasema alikuwa kiungo bora kwenye mashindano ya CHAN 2019. Lakini huyu jamaa kifupi anachangia kuzamisha sana mtumbwi wa...
17 Reactions
130 Replies
10K Views
Wakuu Igweeeeee. Naomba radhi sana kwa wale ambao hawatapendezwa na huu Ukweli. Azam Media kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi na TFF mmeamua kwa sababu zenu kuhujumu Soka letu katika kipengele cha...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa mwendelezo huu wa matokeo hamna namna tafuteni mwalinu mwingine inawezekana arteta hajaisoma vizuri team kuweza kuwasaidiaa.
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Nimekumbuka tu, ilikuwa msimu wa 2015-16, ilikuwa mara ya mwisho Utopolo wakikabidhiwa kombe lao la ligi ya Vodacom. Baada ya hapo kombe likawa chini ya mikono salama ya kitaalamu. Baada ya hapo...
25 Reactions
43 Replies
3K Views
Simba walishtuka mapema ,huu udhamini wa GSM umehamishwa kwenye marefa,hii ni aibu kubwa. Yanga hata kama mmepania ubingwa si kwa style hii,mpira umehamia kwa marefa. Ndo maana Simba ikaona ni...
10 Reactions
82 Replies
4K Views
Tukiwa tunaaga mwaka 2021, sio vibaya tukakumbushana matukio ya kimichezo yaliyotikisa mwaka, tukio lipi la kimichezo hutolisahau mwaka 2021?
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Me naenda na Chuji, najua ataniofa machaguo mengi ndani ya kikosi changu, kwanzia kukaba, kuchezesha timu na hata kuamua mechi iisheje! Wewe unamchagua nani?
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Hakuwa majeruhi na hakupangwa kwenye mechi ,leo kasajiliwa na Yanga,kama siyo match fixing ni nini? Yanga vs Biashara ,siyo Namungo Ndo maana tunakataa mmiliki wa timu awe mdhamini wa ligi.
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu, Tumekuwa Tukiona Wasanii Wa Tanzania Wakisign Deals na Kampuni mbalimbali ya Kuwa Mabalozi wa kampuni husika na Kujiingizia Kipato kikubwa kwenye Mifuko Yako, Hii inatokea hata kwa Wale...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Timu ya taifa ya Algeria wameshinda goli 2 kwa 0 dhidi ya Tunisia katika mchezo wa fainali uliyopigwa leo mazehe. Wafungaji ni, Sayoud 99 Brahimi 120+5 Wenye mpira wao bwana,,,hawatumii nguvu...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
The General Administration of Sports of China has banned football stars with tattoos from playing for the national team. The football administration published a series of guidelines which...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nataka kuweka mambo sawa hapa au kusawazisha mapema ili baadae kila mtu aweze kujua mapema. Kuna kuwa na thread nyingi sana hapa JF na hata katika blogs na posts mbalimbali juu ya Simba Sc...
6 Reactions
9 Replies
945 Views
Huyu winger alikuwa anasepa na kijiji. Alikuwa winga hatari kwenye kizazi cha dhahabu cha Brazil. Huku namba 10 akicheza Rovaldo, Mzee ilikuwa hatari. Ilikuwa Brazil kweli kweli.
8 Reactions
8 Replies
838 Views
Kitendo alichofanya Jana kocha wa simba kinatengeneza maswali mengi. Moja muhimu,je walimfanyia scourging ili kujua uwezo wake na nidhamu yake? Kitendo alichofanya kocha huyu inaonesha hana...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Leo ni Desemba Mosi, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
5 Reactions
82 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…