Goli la Fiston Mayele ni moja kati ya magoli bora Sana duniani kuwahi kufungwa tangu mchezo wa soka uanze
Tujikumbushe goli kama hili limewahi kufungwa na Cristian ronaldo akiwa pale Madrid
Kwa...
Wanaspoti
Kwanini sisi Tanzania hatuna watangazaji wa kike wa mpira wa miguu?. Tanzania alijitokeza mmoja, Sports Lady Halima Mchuka, leo ni kumbukumbu ya miaka 10 toka alipofariki, kwanini mpaka...
Kwa uhalisia naiona Simba ikifanya vizur sana kweny hatuna ya makundi kwa sababu timu zote alizopangiw ni za kawaida sana. Kama atashinda mechi zote za nyumban na kupata hata sare moja ugenini bas...
Mimosas ni wazuri na wana historia, Berkane mnawafahamu ni noma ,hiyo timu ya Niger labda nafuu.
Ili Simba iongoze kundi inabidi ifanye nini?
Hii timu ya Niger ipigwe nje ndani,
Berkane na...
Wakuu Hii ndio LIST YA WAGOMBEA - UCHAGUZI TBF 2021
---
URAIS
1.Phares Magesa
2.Michael Kadebe
UMAKAMU RAIS
1.Mboka Mwambusi
2.Rwehabura Barongo
3.Alphonce Kusekwa
UKATIBU MKUU
1.Michael Mwita...
Na ili kuonyesha kuwa Kocha Nabi siyo 'Tulatula' kama wana Yanga SC wengi amekataa kabisa Kukiri kuwa kwa Mechi hizi za Ligi zilizochezwa tayari na Yanga SC inavyoshinda ndiyo ishara ya kuwa...
Amevunja mkataba mchana huu na kila kitu kimeenda sawa kwa pande zote mbili.
Ikumbukwe mechi ya Galaxy alikuwa benchi la ufundi la Simba na Gomes akiwa jukwaani ,anapigiwa simu na Gomes afanye...
Huyu Mwamba wa Guinea aliyepindua serikali ameaga timu ya taifa lake kuelekea kombe la AFCON na kuwaambia " Rudini na kombe la sivyo mtarudisha hela zote tulizowekeza kwenu"
REJEA kichwa cha habari juu baba.
Mimi mja wako naomba unipatie ujasiri mkubwa. Wa kuachana na ushabiki wa hizi timu baba. Wewe mwenyewe unazijua vyema baba. Moja ipo hapo Kariakoo nyingine huko...
baada ya timu yetu ya taifa kubolonga katika mashindano makubwa na kushindwa kupata nafasi ya kucheza michuano mikubwa ya afrika na kombe la dunia, na mashindano mbalimbali ya soka ulaya na...
Sasa ni takribani miaka 19, toka Juma Kaseja aanze kucheza soka la Bongo haswa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Katika kipindi hiko Juma Kaseja, kuna magolikipa waliibuka, wakatamba kisha wakapotea ila...
Wapenzi na mashabiki wa Simba leo wanasubiri kwa hamu kujua Simba kukutana na timu zipi hatua ya makundi Kombe la shirikisho Africa.
Majibu yatapatikana kuanzia saa nane mchana.
Wanaotaka...
Ni Shabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo ataona Vitendo alivyofanya leo Kocha Pablo kwa Mchezaji Pascal Wawa na Kugombana na akina Matola pamoja na Rweymamu ni vibaya ila kwa Watu wa Mpira...
#TotalEnergiesCAFCC
Grp A
Pyramids FC
CS Sfaxien
Zanaco FC
Ahli Tripoli
Grp B
JS Kabylie/Royal Leopards
Orlando Pirates
JS Saoura
Al Ittihad SC
Grp C
TP Mazembe
Cotonsport FC
Al...
Wakati aina mpya ya kirusi cha corona kinachofahamika kama Omicron kikiendelea kusambaa kote Uingereza, ligi kuu ya Premier League ya England imefuta mechi kadhaa kutokana na ongezeko la...
Ukubwa wa Simba SC haujai hata kiganjani ukilinganisha na Yanga SC.
Nasema haya nikimaanisha namna ambayo Yanga ilivyo more influencial kuliko Simba.
Kama Simba ikigomea mechi kuna uwezekano...
Kwanza na declare interest Mimi sio mpenz wa soka kabisaa!!! Mimi ni mfuasi wa live band, old school bolingo, na mzik wa zaman wa hapa Tz.
Ila jamaa zangu wengi na wafuasi wa simba na Yanga...
Miaka minne mfululizo ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom ulielekea katika viunga vya mitaa ya msimbazi.
Kwa kipindi chote hicho Tumekuwa tukisikia malalamiko ya kila aina kutoka upande wa pili kwa...