Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mpaka SASA Kamwe anadiwa bilioni kumi na nne; Huyu jamaa ataweza kweli kushindana na Sandaland na Azam mahakamani? Azam FC imempatia taarifa rasmi Afisa Habari wa Yanga SC, Haji Ally Kamwe...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Katiba ya mchongo imemlazimu Msajili kufuta uchaguzi wa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC).
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Karibuni katika mbio za Bukoba Mega City International Marathon zitakazoanzia Bukoba International Airport tarehe 28 Machi, 2021 saa 12 asubuhi. Tupo kwenye mazungumzo na KLM na Qantas Airlines...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Huu ujinga aliuanza Haji Manara,badala ya Simba na yanga kuwa watani wa jadi wakawa na chuki ya jadi. Hawa watoto nao badala ya kuja kivingine wakawa wanapita mule mule alipopita Haji. Sasa...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport == Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Nyota wa timu ya taifa ya Uingereza Marc Guehi yupo kwenye hatihati na huenda akakabiliwa na mashtaka ya chama cha mpira cha FA kwa kuandika maneno 'Ninampenda Yesu' kwenye kitambaa cha mkononi...
3 Reactions
8 Replies
467 Views
Kuna jambo limekuwa linanitatiza muda mrefu. Embu wadau nielewesheni. Mfano jackpot ya Sportpesa inasema jackpot ni 1.2B, ila kuna zawadi kwa kupata mechi 16/17 hadi 12/17 na zawadi zinatajwa...
1 Reactions
18 Replies
795 Views
Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Sikumbuki mara ya mwisho kuona mashindano yoyote makubwa ya riadha au matumizi yoyote ya zile running tracks zilizopo katika dimba la Mkapa. Sanasana imekuwa sehemu ya viongozi kuzunguka...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Baada ya kupewa onyo na Shirikisho la Soka (FA) kwa kuandika maneno "I love Jesus" kwenye utepe wa upinde wa mvua, Marc Guehi, beki wa Crystal Palace, ameandika "Jesus loves you" (Yesu anakupenda)...
3 Reactions
11 Replies
728 Views
"Mpanzu anaweza kucheza nafasi nyingi. Anaweza kucheza kushoto, kulia, namba 10 na hata namba 9." "Ni mchezaji mwenye ujuzi akibaki na beki mmoja - 1 vs 1. Ana uwezo wa kufunga magoli, na kufanya...
2 Reactions
5 Replies
639 Views
Kocha mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola, anadaiwa kuwa "hapatikani" na hatumii simu yake ya mkononi, huku muda mwingi akijifungia ofisini akijaribu kutafuta njia ya kutoka kwenye hali ya...
14 Reactions
39 Replies
2K Views
Beki wa kati wa Crystal Palace na England, Marc Guéhi huenda akachukuliwa hatua za kinidhamu na Shirikisho la Soka la Uingereza (FA) baada ya kuandika “I LOVE JESUS” kwenye kitambaa chake cha...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Legal Profession ni moja ya taaluma tamu sana ukiielewa, Yanga imewasilisha demand letter kwa semaji letu wakidai bilioni 10 eti kwa madai alipokuwa kijiweni alimtaja Pacome anamaliza mkataba...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu, Hili nalo mkalitazame! ===== Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mdau maarufu wa soka nchini, Hussein Makubi Mwananyanza, amewashukuru kwa dhati wadau na wapenzi wa soka...
0 Reactions
6 Replies
383 Views
Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya...
5 Reactions
93 Replies
4K Views
Wakuu Hivi viwango vya mishahara kwa hawa wachezaji Wakigeni, wanavitendea haki vilabu vyao? == Kwa mujibu wa TurpaSports, hawa ndio wachezaji wa Kigeni wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi Ligi...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limetupilia mbali ombi la klabu ya MC Alger la kuhamisha mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga SC kutoka uwanja wa 5 July 1962 na kuihamishia Douéra. Mechi...
2 Reactions
0 Replies
544 Views
Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho, Clement Mzize na Boka wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 25 kitakacho safiri leo Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wao wa pili wa...
3 Reactions
4 Replies
885 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…