Ushahidi unaonyesha kwamba kazi wanayoifanya wanapokuwa makocha wa muda inalenga kushawishi viongozi wawape mikataba ya kudumu .
Santiago Solari ni mfano halisi wa andiko hili , hata huyu Ole...
Ni pale kwa Majariwa Stadium, Bila ya Kiungi Khalid Aucho, Ni Namungo Fc Dhini Ya Vinara Wa Ligi Kuu Tanzania Yanga Sc, Ni muendelezo wa Mechi za Ligii kuu Tanzania Bara.
Je, Nani Kuibuka Na...
Yaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha.
Akiwa Yanga utasikia, Aucho anaumwa hivyo atakosa mechi kadhaa😂😂
Waambieni ukweli mashabiki...
Hili ni tatizo la muda mrefu la Azam TV, hawana mabingwa wa promotion , huwezi kujua mechi inayochezwa hadi uingie kwenye channel ya soka , kwa mfano hakuna matangazo yoyote kwenye channel zao...
Huyu Refa akiachwa atakuja kusababisha mauaji ya halaiki uwanjani .
Ile penati aliyowapa yanga ni ya uongo , na bila shaka alilenga kujiurahisha yeye binafsi na familia yake , haikuwa penati na...
Nakumbuka Ajibu aliposajiliwa yanga sc makomandoo wa simba walikuwa wanapanga waende kwa mganga kumroga Ibrahim Ajib wakati wanapanga hayo jamaa mmoja ambaye namfahamu akasema na nakumbuka mpaka...
”Simba walinifuata, nitafute kadi ya njano,
wanipe IST mpya”, hayo ni maneno ya mlinda
mlango wa klabu ya Yanga, Ramadhan Kabwili
ambapo amesema kuwa uongozi wa Klabu ya
Simba umewahi kumlaghai...
Hivi msimu huu ukaisha tena Man Utd watoke kapa bila kikombe chochote watamuacha tu huyu Ole?
Maana wamefukuza Moyes, Van Gal, na Mourinho japo aliwapa kikombe hawakuwa na shukrani. Hivi gana...
Baada ya Messi kuhamia PSG inayoshiriki ligi kuu ya ufaransa (Ligue 1) hatimae kituo maarufu cha televisheni hapa nchini cha AzamTv wataanza kurusha mubashara matangazo ya ligi hiyo!
ikumbukwe...
Mchezaji Taddeo Lwanga amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Uganda na kujinyakulia tuzo ambayo inayotolewa na Football256.
Lwanga ametwaa tuzo hiyo akiwapiku wapinzani wake wa karibu Eric Kambale...
Wadau wa JF
Najua kuwa Dua la kuku halimpati Mwewe kwa mujibu wa wahenga
Hata hivyo pamoja nakutambua ukweli huo bado naombea sana
Klabu ya Simba ipoteze mechi ya leo pale CCM Kirumba Mwanza...
Na @abubakarkisandu Zanzibar.
Jana katika Michezo ya mwisho ya kuitafuta timu moja itakayopanda Daraja la Kwanza Kanda Unguja kutoka Ligi ya Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo Mchezo nambari 113...
NBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji RUVU SHOOTING vs Simba SC.
Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea
Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting...
Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende...
Inaonyesha hawa wa msimbazi huwa wanafanya mazoezi hasa ya jinsi ya ku force penati na red card ali mradi tu watoke na ushindi....na hii tabia imeanza kujitokeza kwa kasi tangu walipowapoteza...
Timu yetu ya Tanzania ambayo inajumuisha Bara na Visiwani.... Feitoto inapitia kipindi kigumu sana. Ukiangalia karibu nchi nyingi za Afrika timu zao zina majina ya tofauti.
Mfano Rwanda ama...
Leo ni Desemba mosi mwaka 2019. Tunakaribia kumaliza mwaka huu, siyo vibaya tutaje walau members watano ambao wamekuwa na mchango mkubwa katika jukwaa hili la michezo kwa mwaka huu 2019.
Mwishoni mwa miaka ya 1960 Mobutu aliwekeza sana kwenye mpira wa miguu kwa lengo kwamba nchi yake iweke record ya kuingia fainali za kombe la dunia, miongoni mwa aliyoyafanya ni kutafuta wachezaji...