Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Pamoja na kwamba Yanga ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni msimu uliopita lakini ligi ilipofikia Round ya 5 Simba ndiyo iliyo kuwa ikiongoza ligi wakiwa wote wanalinga point lakini Simba...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Umefika wakati wa kuhesabu nani ana wachezaji wengi mataifa mbalimbali Haya hatua ya pili Caf Word cup qualifiier imepita draw ya kupanga yale mataifa 10 bora itafanyika December 18 2021 mechi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Shaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga. Hii dhihaka wana Yanga...
5 Reactions
70 Replies
39K Views
wadau habari? naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana...
12 Reactions
180 Replies
12K Views
Wakuu namtafuta Mr. Ringo. Huyu alikuwa ni Mwalimu wa Mchezo Karate pale Upanga, jijini Dar es Salaam miaka ya 1998 kama sikosei hadi miaka ya 2000. Wakati huo alikuwa anaishi Mtaa wa Mvita na...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Salaam wakuu wa jukwaa, Leo tuwataje wachezaji wenye vipara wawe wamestaafu au wanacheza sasa. Nianze na Erik Mooy wa Brighton Hoove and Albion Cc: FORTALEZA Rooney
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Ni mechi ya kirafiki iliyopigwa jana simba amedroo na academy ya cambiasso goli 2-2, lakini ingekuwa mechi ya ligi wangeanza kupiga mayowe kuwa wanakamiwa na timu zilizopewa ela na gsm wakati...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
kama title inavyosomeka hapo juu kutokana na uchambuzi wangu wa kisoka inawezekana kocha wa timu ya madrid ya bongo (kolo fc) pablo franco ameletwa na brand kampuni kubwa ya GSM ili kuleta fair...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
1 Algeria 2 Morocco 3 Mafarao 4 DR Congo 5 Tunisia 6... 7... 8... 9... 10... (Algeria and Morocco) wawili hawa sina pressure nao hukoo Qatar, i know that watatuwakilisha vyema kabisa. kwangu...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mengi yanasemwa ya kwanini tumekula 3-0 dhidi ya DRC, lakini kwangu naona ni porojo tu! Hebu twendeni taratibu, hatua kwa hatua. Wale Wakongo waliopo Yanga na Simba, kwa viwango vyao vile vile...
17 Reactions
71 Replies
5K Views
Kwa mtazamo wangu timu zetu ni lazima ziwaachie mamlaka makocha inaowasajili ili makocha hao waweze kusajili wachezaji inaowaona wanaowafaa LA sivyo Kwa kuwapa wachezaji ambao pengine hawafai au...
0 Reactions
3 Replies
680 Views
Zijue timu zilizotinga kushiriki fainali za kombe la dunia nchini Qatar. 1. Brazi 2.Argentina 3. Serbia....jamaa wamepambana sana kumzuia Portugal na Ronaldo wake. 4. 5. 6 7 8. 9 10. 11. 12. 13...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Ushauri Wangu Kuhusu Wachezaji John Bocco, Shomari Kapombe Na Erasto Nyoni Wadau wa JF Huu ndiyo ukweli hata kama unaumiza Huu ndiyo ukweli wenye maslahi mapana kwa nchi yetu Wachezaji John...
10 Reactions
69 Replies
5K Views
Tanzania kama nchi hatupigi hatua yoyote kwenye soka la upinzani. Si kwa Afrika Mashariki(CECAFA), sio Afrika(CAF), wala dunia(FIFA) Tunazidi kujidanganya kua pengine kesho mambo yatakua mazuri...
2 Reactions
7 Replies
879 Views
Habari wanajamvi, Ni muda sasa sijamuona mdau mwenzetu sembo humu sijui yuko wapi au ni Mimi ndio napishana nae??
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja. TUTAFAKARI
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Makolo wameendelea kutuletea vituko, na sasa wameleta zungu la unga, Don Castro kama kocha mpya wa viungo. Hawa jamaa lugha inaweza ikaja kuwa kikwazo kwao ukizingatia Makolo wengi elimu ndogo.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Popote mlipo KEROZENE nipo na hakuna cha Siri nisikijue hivyo nichukue tu Fursa hii Kuwaambia kuwa huu Ushirikina unaenda Kuwaadhibu Kesho na hamtoamini kwani nimedokezwa ili Kafara lifanye Kazi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen amekisuka Kikosi chake kwa Siku 8 mfululizo, huku Kocha Hector Couper ameungana na Wachezaji wake Juzi Usiku tu na Jana wametufunga Kishalubela (Kikatili) Magoli 3...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Kabla ya yote nianze kwa Kusema kuwa Mimi ni Shabiki Kindakindaki wa Simba SC ila katka Uzi huu naweka Ushabiki wangu huo pembeni na nasema Ukweli mtupu ambao najua utawaumiza baadhi au hata wengi...
11 Reactions
42 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…