Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Dakika ya pili tu ya pambano tumepoteza nafasi! ..na zikafuata chance nyingi za wazi tukashindwa kuzitumia... Kwangu mimi nawapongeza stars kwa mchezo mzuri waliojaribu kutuonyesha lakini wamekua...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Je,.... 1. Ufalme wa Mbwana Samatta unamtesa? 2. Anataka kutuonyesha kuwa Mbwana Samatta ni cha Mtoto tu Kwake? 3. Huamua Kumsusia Timu Kimakusudi Mbwana Samatta? 4. Hampendi Mbwana Samatta...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
TFF imethibitisha kuwa wanajeshi wa Madagascar, wamevamia hoteli iliyofikia Taifa Stars huko Antananarivo na kukaa kwenye korido ya vyumba vya wachezaji wakiwa na bunduki kabla ya mechi ya kufuzu...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Ni hivi mechi ambayo inaendelea sasa hivi Benin na Madagascar ni 1-0 Benin wanaongiza na wako mapumziko. Hapa kinachohitajika siyo kingine kila atakayesoma huu uzi ajikite...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Magwiji wa footbal tukutane hapa leta utabiri wako dhidi ya mechi la kimataifa baina ya Taifa stars vs DRC nikianza mm utabiri wangu ni kama ifuatavyo. Taifa stars anashinda 3.1DRC...
2 Reactions
90 Replies
6K Views
Kuna taarifa za chinichini kuwa naodha wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta, beki wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto na golikipa wa Simba Aishi Manura kuwa wamekutwa na Covid-19 huko Madagascar. Je...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
SI DHAMBI KAMA TAIFA TUKIANZA MJADALA WA KUWAPA URAIA KINA MAYELE, MUKOKO, MBANGALA NK KUITUMIKIA TAIFA STARS Binafsi Mimi ni Shabiki wa Yanga, ila Naomba wakati najadili haya naomba muweke...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
HABAR ILIOPO MANCHESTER Sosha kaambiwa ajiuzulu ila hataki na sasa yupo kwao ila kuna kijambo kinaendelea pale OT Game ijayo ya jmosi dhidi ya Watford mashabiki wataandamana ili game hiyo...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
1. Mecky Mexime Kocha Msaidizi 2. Ally Mayai Meneja wa Timu 3. Juma Kaseja Kocha wa Makipa Kocha Mkuu Kim Poulsen hatufai ila awe Mkurugenzi wa Ufundi wa Timu za Taifa na atafutwe Kocha mwenye...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Hivi ndivyo hali ilivo nchini Madagascar Wanajeshi wanataka kuwachukua wachezaji wa Taifa Stars kwa Nguvu wakisema wana corona (Aishi Manula, Mbwana Samatta na Bakari Mwamnyeto). Ikumbukwe...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Watajwa wote hapa juu hawana Mafanikio ya Kujivunia na Wachezaji kuifunza kutoka Kwao cha Kushangaza eti na Wao ni sehemu ya Benchi la Ufundi la Taifa Stars kwanini Congo DR wasiupige mwingi na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu, Katika thread hii tutapata kukumbushana kauli zilizowahi kutolewa na wanamichezo Duniani kote. Kila mtu kwa kumbukumbu yake anafulsa ya kubandika Quotes iliyowahi...
6 Reactions
477 Replies
43K Views
Walichokuwa wakisema Wiki Moja kabla ya Kucheza na Congo DR leo na kupokea Kichapo cha Kishalubela ( Kikatili ) ni..... "Congo DR ya sasa si lolote na chochote kwani Wachezaji wao wengi tunawajua...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Tanzania ndio kwaheri World Cup 2022 atakaye songa mbele kwenye hili kundi ataamuliwa Kinshasa siku ya jumapili kati ya Congo DR na Benin. Atakayeshinda mechi hiyo ndio ataenda kwenye playoff na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni Tanzania pekee timu inafanyiwa maombi ili ifuzu World Cup, sijawahi ina na haingii akilini!! TFF achaneni na huo ujuha mtakuja kujuta...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Bila Kujari Matokeo...! Kipute ni Kati Ya KMKM na Dar Young Africa, hii ni friend Match...! Maofisa Wa Yanga Wakiongozwa na Injinia Hersi na Senzo Wameonekana Wametinga Ule Uzi ulioweka Rekodi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndio Tunaiombea Team Yetu ya Taifa ishiriki World Cup 2022. Ndio imesha qualify sasa. Mara paap imepangwa kundi moja na Team kama France, England, Brazil, Germany, Italy, Belgium n.k hivi...
5 Reactions
114 Replies
5K Views
Sote tutambue kwamba penye motisha mtu anapambana kikwelikweli je serikali inaweza ikanena lolote kwa vjana hata bodaboda mojamoja au mabati au cementi na hakika watapambana mpira kwa nguvu zote...
1 Reactions
8 Replies
741 Views
Kwanini Frolent Ibenge amekuwa akipenda kusimamia falsafa ya soka la Kikongo la kupenda wachezaji/viungo wasio wanyumbulifu zaidi? Je ni sababu inayompelekea kuona mchezaji mbadala wa kufanikisha...
4 Reactions
68 Replies
6K Views
Cousin yangu anayechezea timu ya Taifa, alinieleza kwamba juzi baada ya kutembelewa na Waziri Mkuu, walilipwa posho zao zote ikiwemo malimbikizo ya nyuma. Posho ambazo walikuwa hawajalipwa...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…