Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa Propaganda Machine iliyoko Yanga SC kwa Usajili wa Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata vya Mbinguni kwake Mwenyezi Mungu kutoka nchini Hispania kulihitajika...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni TaBia za timu zetu kuwasajiri wachezaji kisha kuwaweka bench na hii inatokana na vita isiyokkuwa na maana eti akienda au akibaki timu fulani hiyo timu itatufunga au itaperform vizuri. Tabia...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Mwenye kufahamu atueleze
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ligi ya NBC ndiyo kwanza ipo mzunguko wa tano lkn Yanga wanaamini kwa kushinda mechi zote tano tayari wao ni mabingwa. Simba kadroo mechi mbili kashinda tatu anaonekana ana timu mbovu. Kila mtu...
2 Reactions
17 Replies
855 Views
Nimefuatilia kwenye mitandao ya kijamii, kila mtandao nakutana na mwanayanga aka UTO akilalamika kwanini simba mpaka sasa haiongozi ligi. Nimejaribu kifuatilia masuala ya kisaikolojia na mental...
0 Reactions
4 Replies
712 Views
NBC Premier League kuendelea leo. Mabingwa watetezi Simba SC wakitoka kupata sare mchezo uliopita, leo saa 1:00 usiku kuwaalika Namungo FC ambao nao pia walitoka sare mchezo wao uliopita. Je, leo...
8 Reactions
543 Replies
32K Views
Mechi Ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting haijawahi kumalizika bila goli katika mechi nane za ligi kuu walizokutana tangu msimu wa 2017/18. Yanga imeshinda mechi sita, sare moja na kupoteza mara moja...
5 Reactions
229 Replies
18K Views
Maswali yanaulizwa kuhusu taratibu za usalama katika ndondi ya Zimbabwe kufuatia kifo cha Taurai Zimunya baada ya kupigwa katika pambano mjini Harare. Zimunya, 24, wa uzito wa Super bantam...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Kwa sasa sio ajabu kumsikia Shabiki anamtolea maneno yasiyo na staha Mchezaji kwa vile tu hajaridhishwa na alivyocheza mechi kadhaa zilizopita wakakosa matokeo chanya. Kwa mfano Mtu atasahau...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Je IBRAHIM AJIB amepanda ubora ndio maana Simba anapata namba AU Simba imeshuka ubora ndio maana IBRAHIM AJIB anapata namba maoni yenu wakuu
5 Reactions
12 Replies
2K Views
SAMATTAAAAAAAAAAA LIVERPOOL 1-1 GENK Genk's Tanzanian striker Mbwana Samatta powerfully headed in the equaliser at the near post from a corner five minutes before half-time. We could have scored...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuongezeka kwa kadi nyekundu katika raundi tano za mwanzo wa ligi ni jambo la kusikitisha. Hali hii imekuwepo kwa sababu inachochewa sana na vyombo vya habari. Katika hali isiyo ya kawaida, mwaka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Badala ya kusubiri Wachezaji wakishaacha kucheza na kupoteza umaarufu ndio Waje kama Mbalozi wa bidhaa au kampeni fulani, tufike mahali kukawa na sajili za muda ambapo Wachezaji Maarufu na wenye...
1 Reactions
6 Replies
755 Views
Inakuwaje wadau Nimeambiwa kupitia betting unaweza ukaweka buku ukala laki hadi milioni Pia ukiweka milioni moja ukimpa man united anashinda unaweza pata hata faida laki tano (kitonga...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Unapozunguuka mji wa Zanzibar na viunga vyake hasa muda wa jioni kuanzia saa tisa hadi kumi na mbili unusu maranyingi utakutana na hali ambayo ilikua ni kawaida kwa jiji la Dar es Salaam miaka ya...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Jana kwa mara ya kwanza nilitazama mechi baina ya Yanga na Ruvu. Nilimtazama kww makini mchezaji Djuma Shaban aliyesajiliwa kwa mbwembwe na kuwekwa kurasa za mbele za magazeti. Kusema kweli...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kumekuwa na mijadala iliyoibuka haswa kwa hizi timu zetu kongwe huku kila upande wakijaribu kutumu kuwa Refa alipendelea timu kubwa. Mbaya zaidi ni pale hata wale wenye nafasi ya kusikilizwa au...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Orodha kamili imeshatolewa muda mfupi uliopita na Shirikisho la Soka Tanzania ( TFF) Maandalizi za mechi za kufuzu Fainali za Kombe bill Dunia dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( DRC)...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…