Hawa jamaa siyo tu wataambiwa wabadili rangi simba awe wa njano ila watapigwa mkwara waweke hata swala wataulizwa ushawahi kuona simba na mambo ya cement wataambiwa kama vipi iteni hata Dar es...
makolo mulibwanji
Bwana magori analalamikia timu kuahidiwa pesa zinapoifunga Simba lakinni alikuwa kimya kipindi wananchi tunateseka
nasema hivii watulie dawa iingie
Top 10 timu zenye wafuasi wengi katika mtandao wa Tweeter kwa ukanda wa CECAFA
1. SimbaSCTanzania - 647 K
2. Yangasc1935 - 167 K
2. OfficialGMFC - 161 K
4. Azamfc - 142 K
5. AFCLeopards - 100 K...
1. Mbona hawa Viongozi Wanafiki na wenye Uyanga 100% akina Ally Hapi ( Mkuu wa Mkoa wa Mara ) na Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde Biashara United FC na Dodoma Jiji FC zikicheza na Timu...
Ni jambo la kusubiri tu,anaejua anajua tu, hata watoe mafungu kuihujumu Simba, Itafika Wakati watakubali kuwa hawajui, na hawatatakana tena kama ilivyotokea kwa wazee wa Vitasa, Twaha Kiduku na...
Baada ya kuishi na mpenzi wake kwa muda mrefu, nyota wa soka wa Chelsea na Ivory Coast, Didier Drogba amefunga pingu ya maisha na mpenzi wake katika harusi ya kukata na shoka ambayo masupastaa wa...
Popote alipo, mpira una umudu uko na physique ya ball na mwili na kasi. Ombea upate kocha aku-train na wewe ujibebe sasa usjibemende. Sema wabongo wengi wanaanzaga kujudge foota ya msee...
Inashangaza kuona kuwa wakati timu za Mataifa mengine, hata ya Kiafrika, kuja na mwonekano mpya wa jezi za timu zao za Taifa, Taifa Stars imekuwa ikija na jezi za mwonekano huo huo kwa miaka zaidi...
Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo.
Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa...
MALI anayochezea Diarra wa Yanga imeipiga Kenya ya Onyango wa Simba bao 5
Uganda anayochezea Aucho wa Yanga imeipiga Rwanda ya Kagere wa Simba bao Moja
Na Malawi ya Banda na Nyoni wa Simba...
Naangalia mechi ya WC qualifications Africa Kenya dhidi ya Mali kocha kamuweka beki ya kulia na anaimudu vema. Simba tangu aumie pale kati anacheza Kennedy Juma au Mkongo yule akiwa na Wawa na...
Ndugu Zawadi Mauya kiungo mahiri mkabaji wa Klabu ya Yanga ameteuliwa kujiunga na Kikosi Cha Timu ya Taifa ya Tanzania
Uteuzi huo ulifanywa na Kocha Mkuu Kim Paulsen unaanza leo October 8,2021
Saudi Arabia’s sovereign-wealth fund wapo kwenye mazungumzo ya kununua klabu ya mpira Uingereza, Newcastle United F.C. Kwa kiasi £340 million ($445 million).
Newcastle United inamilikiwa na...
napenda kuchukua fursa hii kuwauliza wakazi wa tanga kulikoni soka mkoani hapo limepota kabisa kilikuwa na timu za kutisha kama hizi
COASTAL UNION
1.HAMISI MAKENE
2.SAID KORONGO
3.DOGLAS...
Simba na NBC ni kama kiuno na mkanda tangu enzi hizoooo jezi la mnyama simba likiwa limechafuka kama kawaida kitendo ambacho siyo rahisi kukuta kwenye team zinazofanya vibaya kuvutia sponsors wa...