Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sisi hii tabia ya kutishia kujiuzulu imetuchosha, yeye ajibu hoja kitajiri. Aweke hizo 20 billions maswali ya yaishe. Halafu pamoja na hilo asisahau simba sio Mali yake na hesabu za fedha kila...
11 Reactions
52 Replies
5K Views
Nitakuwa Mpumbavu na siyo Mwanamichezo kama nisipowapongeza Watani zangu Yanga SC kwa Ushindi wao wa Kipigo dhidi yetu Simba SC wa Goli 1 la Nguruwe linalouma sana. Vile vile nadhani Mightier...
10 Reactions
25 Replies
4K Views
Hivi inakuingia Akilini kweli unamuacha Beki halisi namba Tatu Bench Mohammed Hussein Tshabalala na unamuanzisha Mtu mwenye uwezo wa Kucheza Beki namba Mbili Israel Patrick Mwenda? Hivi...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Tuliwaambia pengo halitazibika kirahisi wakabisha sasa game ya pili mfululizo wanapigwa. Saa kumi hii wacha tujiridhishe kwa mara ingine kuwa mambo ni magumu msimu huu. Hakika mwosha huoshwa!
5 Reactions
13 Replies
1K Views
1.Ule uwanja unaotumiwa na dodoma jiji.Ni aibu sana yaani uwanja upo katikati ya jiji lakini una nyasi kavu na kutimka vumbi. 2.Karume-Mara, huu uwanja hata kuchezea ligi daraja la kwanza haufai...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimejaribu kufuatilia kwa makini mechi mbili za simba dhidi ya TP MAZEMBE na Derby ya YANGA... Zote mbili ni mechi kubwa kutoa kipimo cha Simba ya msimu mpya. Simba niliyoizoea ya mipango katika...
15 Reactions
53 Replies
4K Views
Amsterdamsche Football Club Ajax , also known as AFC Ajax, Ajax Amsterdam or simply Ajax, is a Dutch professional football club based in Amsterdam, that plays in the Eredivisie, the top tier in...
5 Reactions
108 Replies
9K Views
Mashabiki wa Mpira wa Tanzania ni wa ajabu sana, ni kama kundi la Watu tusiojua haswa tunataka nini. Leo hii mnamdhihaki Mtu aliyefunga magoli mengi kuliko Wachezaji wote wa ligi msimu uliopita...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kabla ya match ya Ngao ya Jamii,hapa kwenye Jukwaa la Michezo kulikuwa zinaletwa nyuzi za kuikashifu, kugombanisha, kuitweza na kufitinisha viongozi wa Yanga, GSM na Mashabiki wao wakiongozwa na...
14 Reactions
17 Replies
1K Views
Hamjambo. Leo nimepata wasaa wa kutazama mechi mbili za Simba SC ambazo Sadio Kanoute alipata kucheza. Mechi dhidi ya TP Mazembe & Dar es Salaam Young Africans SC. Wachambuzi wengi wa Kitanzania...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Najua kuna mtakaonipinga sana, cha kwanza Chris Mugalu hata kama wakija Bayern munich hapa akawafunga kwangu nitalichukulia ni lijinga tu limepiiga fluke halina tofauti na Giroud tena afadhali ya...
14 Reactions
63 Replies
6K Views
Leo katika kipindi cha magazeti cha Radio Free kurasa za michezo mdada kanisitua baada ya kusema 'Ansufati anatabiri timu yake kuchukua ubingwa wa ligi ya England', akisema habari hiyo ni ya...
2 Reactions
2 Replies
559 Views
Mascot refers to a person or thing that is supposed to bring good luck or that is used to symbolize a particular event or organization. Mascot ya yanga ni nini? Ni Chura? Hivi kabisa chura ndo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wakuu salaam, Chama na Miqueson walichangia magoli 40+ ambayo ni zaidi ya nusu ya magoal yote tulopata msimu uliopita, leo hawapo na sajili tulizofanya hazioneshi dalili ya kutengeneza walau nusu...
11 Reactions
81 Replies
6K Views
Hoja imekuja kwamba hakuna mtanzania mwenye udambwi udambwi kama huu, huyu kijana afanyiwe uchunguzi ijulikane kama ni raia wa senegal au ivory coast au brazil basi alipiwe zile ada wanazolipiwa...
16 Reactions
53 Replies
5K Views
Mpira ni mchezo wa ungwana, simba iliposhinda Kigoma yanga walivaa medali kama mshindi wa pili, hii inaonyesha simba sio hawajui fair play, wanataka wao tu wawe wanashinda, wamesahau kuwa ni zama...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Nafikiri mpaka hapo hakuna swali kwa golikipa wa kimataifa raia wa Mali, Yanga mpira mmecheza hongereni sana.
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Ukiona mke wako anakufanyia jeuri /kiburi Wala usifikiri anazuzuliwa na MTU maana... Kanakuwaga kajinga jinga Fulani hivi kasiko Na mbele Wala nyuma. Ukitaka ku prove ninacho kwambia, wewe...
14 Reactions
16 Replies
2K Views
Hawa jamaa kipindi chao kimejikita katika ueledi na sio uchonganishi. Habari zao zinazingatia taarifa rasmi na si vinginevyo. Katika chambuzi zao hawaegemei upande wowote, na wanaongea wakiwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…