Siwezi kukupa pole kwa matokeo ya leo maana wewe umesababisha wanasimba kibao kufa na wengine kupata magonjwa yasiyotibika kwa tabiri zako uchwara. Tangu mwaka juzi kila inapofikia tarehe ya Simba...
Wape salaaamu!
Nakemea vikali kama sio kuwaonya basi kuwashauri TFF, ni juu ya hii propaganda ya kuhusisha soka na mambo ya chanjo moja kwa moja.
Katika mechi ya watani, almaarufu Kariakoo...
Leo tarehe 25 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Yanga SC wamefanikiwa kuwafunga Simba SC kwa goli 1-0.
Pamoja na matokeo hayo binafsi nimeridhika Sana na kiwango pamoja na competitiveness waliyokuwa...
Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.
Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali...
Habari iliyopo mjini ni utopolo kuangukia pua asubuhi na mapema caf champions league!! Hizi takwimu za mapato ya msimu uliopita mngetoa msimu uliopita!! Acha tuongelee habari ya mjini kwa sasa !
Habari zenu wakuu,
Mchezo Kati ya SIMBA SC dhidi ya Biashara United umemalizika kwa ushindi mnono baada ya Mnyama kumchakaza mtu kwa jumla ya mabao manne kwa nunge.
Ila Kuna huyu mchezaji mpya...
Kwa hakika leo wananchi wanaenda kufurahi sana wanaenda kuimaliza siku kwa furaha
Kwa kikosi hiki japo hakina muda mrefu pamoja upande wa pili huko ni homa na matumbo ya kuharisha kwa kwenda...
Huu ni mtazamo wangu binafsi wa kiufundi kwenye mechi ya leo ambayo Mabingwa Wa Kihistoria wamerudi kwa staili mpya.
Mabeki wa Kushoto/Kulia wa Simba SC walikuwa wakishinda nyuma wakati wote...
#NgaoYaJamii
FT: Simba 0-1 Yanga
Mayele 11'[emoji460]
-Nimekitizama kikosi cha Yanga Wanamabadiliko makubwa sana kulinganisha na Mchezo wao wa mwisho walio ucheza dhidi ya Simba wamefanya...
Nilishtushwa sana na tetesi zilizokjwa zinsema ronaldo to the citizen
Nikajisemea na vitimu vyetu hivi vibovu tutalia na kusaga meno
Mungu sio Ambagile cr7 huyo utd anateseka tu
timu hovyo...
Tukielekea derby ya Simba na yanga
Nawaonya simba mcheze kwa nidhamu
Kadi nyekundu ya kigoma na udhaifu wa kupewa red kd Onyango leo refa anaingia na akili zenu one mistake mtasoma namba msiseme...
Yes ndiyo nimesema kwa sababu ya mechi ya utopolo, nimegundua tu kwamba mzungu wetu ni very stubborn yaani ana ka system chake fulani hakana plan b
Tusijipe ugonjwa wa moyo kwamba eti nusu...
Si ulisema kuwa huko ndiko ulikokuwa ukikupenda? Sasa mbona tokea jana unaogopa Kusogelea hiyo Kambi baada ya kuambiwa unaweza ukaondoka duniani Kikafara ili unaowapenda Washinde Jumamosi?
Na...
Tanzania tuna vichambuzi uchwara vya michezo. Eti mtu akishawafahamu wachezaji 10 wa timu za Ulaya eti anatafuta kiredio uchwara nae akachambue habari za michezo. Ni watu wanaokatisha Tamaa...