Binafsi sifurahishwi na muundo wa bodi za mabus wanayopewa Simba.
Haya mabodi yamekaa kishamba sana.Utaona hakuna ubunifu sehemu ya mbele ubavuni.Ni kama nafasi ilibaki wazi wakaanza kuweka...
Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka.
Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake...
Kutokana na tarehe ya leo kuwa haigawanyiki kwa mbili kama ambavyo herufi ya mwanzo ya timu ya Man City haigawanyiki kwa mbili, basi nyota ya Man City leo inang'aa sana na ikichagizwa na muda wa...
Ninaamini kabisa Uwezo wa kuiadhibu SSC ulikuwa ni mkubwa sana na muda mwingi TP Mazembe walipokuwa na mpira walifanya mashambulizi CONSTRUCTIVE, ni vile tu walijua ni Friendly Match.
SSC kama...
Wadau Bila kupepesa Maneno na kwa Mujibu wa KATIBA ya TFF Mchezo wa Kugombania NGAO ya HISANI huwa Baina ya Timu BINGWA wa NCHI na Timu BINGWA wa KOMBE la SHIRIKISHO.
SIMBA ndio BINGWA wa NCHI na...
Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka.
Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na...
Kesho Mungu akipenda pale uwanja wa Taifa, Yanga na TP Mazembe watakipiga. Inashauriwa sana watanzania wote tuweke uzalendo mbele eti Yanga inawakilisha nchi.
Hakuna kitu kama hicho, Yanga...
Watu wamejazana huku nje kwenye kontena na vibandani, ni aibu sana wapi TFF mmefeli jamani
Shida iko wapi, nini mmefeli TFF nimefurahi kuona watu mmejali maisha yenu kwanza
Pili tff walijua...
Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha...
Wakuu Kwema?
Kuna Takwimu zimetolewa na TFF zikionyesha mambo mbalimbali yaliyotokea msimu ulioisha ikiwemo Timu iliyoingiza mapato mengi, Uwanja Ulioingiza Mashabiki Wengi, Timu yenye Mashabiki...
Kuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona.
Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu...
Jana nilikuwa nasubiri game ya Barcelona na Sevilla nikaona imehairishwa nikataka kujua kumetokea nini?
Katika kusoma sababu nikaona kwamba La liga waliomba chama cha mpira Spain ambao ndio kama...
Yanga in top 3 coach wenye kiwango Cha kimataifa hamsemi
Kesho tunashinda Tena kipindi Cha kwanza bao mbili au zaidi.
Mmejificha kwenye mgogoro wakati Ni movie ya
kutengeneza Kama nyie...
Aisee naona ni double diff(sijui nimeandika sahihi?) naona pia ndani kuna screens kwa mbele muonekano mzuri kwa kweli tena sana tu
Moja litakuwa kwa senior team,jingine kwa simba queens,jingine...
Ndugu yangu wa JF
Usipoteze muda na nguvu zako kunibishia au kunitukana au kunikashifu bure kwani habari hii ni ya ndani sana, ya uhakika, ya siri na imetoka kwenye vyanzo vya uhakika
Ieleweke...
Ezekiel Kamwaga - Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano - Simba SC
HITIMISHO
1. Ukisema unaenda kuangalia timu ya mwenzako maana yake kuna kitu bora unakwenda kukiona ambacho timu yako...
Kama hutopata wasaa wa kwenda kwenye kumbi yoyote ya video.Au kwa kuitazama nyumbani au hata kwenda uwanjani direct kutokana na changamoto za kikazi nicheki Pm.Nikutumie Azam Max cracked baada ya...
MUOGOPE MUNGU:
USIMTAJE MCHEZAJI AMBAE BADO ANACHEZA ILI USIMSABABISHIE MAZINGIRA MAGUMU KWENYE AJIRA YAKE.
Wachezaji wa zamani walikuwa weledi Sana. Mchezaji wa simba hata Kama alikuwa shabiki...