Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Haiwezekani Mwanachama wa Simba aje afanye kazi Yanga haya ni mambo ya kijinga mwenendo wa timu sio mzuri, Sisi wazee wa Yanga hatuna imani na uongozi wa timu yetu We ulishawahi kuona wapi...
19 Reactions
61 Replies
7K Views
Wanamazengo, Hivi mmegundua kuwa licha ya Simba SC kupata msemaji wa muda - Bw Ezekiel Kamwaga, nafasi na majukumu mengi anayopaswa na kutakiwa kuyafanya anayafanya CEO wa klabu? Je, tunaweza...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Sijamuona haji manara kwenye mkutano wa TFF na vilabu,kulikoni?
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Magori, Salim, Kocha Matola, Somo na Mkuu wa Itifaki Makoye ni mara ngapi mnataka niwe nawakumbusha hili ambalo huwa mnalipuuza kama siyo Kulisahau kila tukicheza na Yanga SC na Wanatufunga...
7 Reactions
31 Replies
4K Views
Baada ya mechi ya juzi viongozi wa Tp Mazembe kusema, Yanga ni timu kubwa Tanzania [emoji1241] kuliko timu yoyote kumeibuka mijadala mikubwa kuhusu nini hasa kinafanya timu iitwe kubwa ?! Binafsi...
2 Reactions
41 Replies
8K Views
Marais wote katika safu ya JMT wanajulikana timu zao za mpira. Binafsi sijawahi kusikia rais Samia ni shabiki wa timu ipi, klabu au timu ya taifa? Au ni shabiki wa timu ya taifa ya mpira wa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ukiwa na Marafiki ( Maswahiba ) wengi ndani ya Kambi ya Maadui zako wakubwa ni Raha sana. Haya Taarifa iwafikie kuwa huko Baharini Kambini Kumeshakucha na kuna Mtu hatakiwi tena. Baada ya kuona...
16 Reactions
48 Replies
6K Views
Kwa Kuanzia tu ni kwamba Daktari wa Timu ya Taifa ya Congo DR amewashangaa Yanga SC Kumsajili Beki Shabaan Djuma ambaye ni 'proin injury Player' wakati aliwashauri Wasimsajili. Pili baada ya...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
1. MOHAMED MWAMEJA 2. SAID SUED 3. ALPHONCE MODEST 4. VICTOR COSTA NAMPOKA "NYUMBA" 5. GEORGE MAGERE MASATU 6. SELEMAN MATOLA 7. STEPHEN MAPUNDA "GARINCHA" 8. HUSSEIN MARSHA 9. ATHUMANI MACHUPPA...
8 Reactions
65 Replies
13K Views
Mtanisamehe kama nitawakwaza ila kwangu Mimi Mightier siiaona tofauti ya Kiungo Shiboub tuliyemwacha kwa sababu za Kipuuzi na leo hii Kumsajili Kiungo Kanoute tunayempamba. Tena kwa ninavyomjua...
8 Reactions
73 Replies
7K Views
Kuna matukio huwa yakitokea huwa najiuliza akili za baadhi ya binadamu zinavyoyumba. Utakuta mtu kavaa vizuri sana ila kumbe ni yanga! Unashangazwa anavyoshangilia simba kufungwa mechi ya...
2 Reactions
5 Replies
873 Views
Kuna kikundi cha waandishi kimeibuka, na wanapenda watambulike kama wasema kweli. Lakini kila nikitazama niuone huo ukweli siupati naona ni majungu na chuki tu. Kwa leo tuanze na huyu GEOF LEA...
4 Reactions
112 Replies
8K Views
Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa utaendelea kuvaa nembo yenye vivutio vya utaliiya Visit Kilimanjaro & Zanzibar kwenye jezi zao upande wa mkono wa kushoto katika mechi zao za ndani. . Uongozi...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Inter Milan announce the signing of Ronaldo, 1997.
2 Reactions
2 Replies
569 Views
Nadhani mko salama. Wakuu mimi ni kijana niishie Mafinga ndiko nimeajiriwa huku kitambo kidogo..Ni almost miaka yote mitatu nimekuwa nashindwa kufanya kitu hiki nachokipenda siku zote kiasi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu) Pili Klabu ya Yanga SC...
11 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wanamichezo! Ndani Sports extra ya clouds fm kila ijumaa kulikua na kitu kinaitwa "NGUMU KUMEZA". Mtangazaji wa clouds ninaye mfahamu kwa jina moja la Adamu alikua akisoma makala za ngumu...
3 Reactions
1 Replies
821 Views
Kusema kweli inatia aibu klabu kubwa kama Yanga kuwekeza muda na rasilimali kubwa kwenye propaganda za mitandaoni. Yanga inawatumia wale wanaojulikana kama wachambuzi kusambaza hizo propaganda...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…