Ipo siasa iliyopotea njia ndani ya nchi yetu. Ipo mikakati mfu yakiwekezaji isiyo na tija kwa Taifa letu. Wapo watu wanaamini kila Jambo lazima tuwe na viongozi wanaoongozwa na mfumo wa kisiasa...
Mpira umeanza kuwa na mashabiki wengi sana hapa bongo ushaanza kuovertake bongo flavor usishangae baada ya miaka kadhaa bongo flavor ikageuka kuwa bongo movie kwa kukosa mashabiki.
Wasanii...
Timu ya Biashara United imefanikiwa kuifunga timu ya Dikhil ya Djibouti kwa 0-1 .
Biashara iliyochelewa kuwasili nchini humo ilifika Djibouti leo Alfajiri na kuibuka na ushindi kwenye mechi...
Nimeona na kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii leo Club ya Yanga wakitangaza viingilio vya mechi yao ya Jumapili ili khali wakijua wazi kuna zuio kutoka CAF kwa vilabu vyoote...
Bondia Hassan MWAKINYO ameweza kupanda kwa nafasi mbili kutoka kuwa bondia NAMBARI 13 na sasa ni bondia NAMBARI 11 duniani katika uzito wake wa walterweight....
Wa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni...
Kitendo cha Klabu ya Yanga kuja na Taarifa ya Pole kwenda kwa Simba SC, Wapenzi wa Simba SC na Familia yake Marehemu kama Mdau mkubwa wa Simba SC nimekipokea kwa Picha iliyo Chanya kabisa.
Yanga...
Kuna mtu mmoja shombe shombe (chotara/zero point five), yeye ni mmoja wa watu wenye ushawishi ndani ya klabu ambayo zamani iliitwa Sunderland. Huyu mtu ni mmoja wa wadau muhimu wa sekta ya...
💰 £187m in shirt sales
👕 Fastest selling shirt in Premier League history
🙌 Almost twice as many ‘Ronaldo 7’ shirts bought than ‘Messi 30’ shirts
🤑 Man Utd recouped entire transfer fee before...
Kama ni kweli Simba wanambembeleza yule, i will dedicate my time kuitukana simba na kuhamia utopolo kwa mkopo, this is absurd.
Yani huyu mtu aliyeondoka simba kwa matusi akafanya interview huko...
Sio mbaya leo weekend tukakumbushana majina mbadala ya timu za mpira wa miguu hasa za bara letu la Afrika.
Itapendeza Ukataja bila kuzama Google we taja ukikosea watakuja wengine kufanya...
Nakumbuka enzi ya mgogoro wa mizani na malori ya mizigo, mtukufu akiwa waziri mwenye dhamana na mizani ya barabarani, ndugu Hans Pope alimtolea lugha ya dharau sana mtukufu. Hapa naangalia ITV...
Niimekuwa nikifuatilia kipindi cha michezo cha Wasafi redio baada ya kuondoka kwa Mkuu wa idara ya michezo ya WASAFI Redio Maulid wa Kitenge kutokana na mapenzi niliyokuwa nayo na Redio hiyo hasa...
Tupo Nyumbani na pamoja tumepata zuio la kutowatumia nyota wetu watatu bado tuna watu...
Makambo .....Moloko....Yacouba....
Bangala.....Mukoko......Ntibazokiza...
Wananchi vita hii tunakwenda...
Kwa fedha alivyoipAtA GSM, YAnga tunashindwaje kusajili wachezaji wa maana?.
Huku Simba ikichukua wachezaji wenye record kubwa. Yanga tumewekeza kwenye propaganda hakuna uhalisia.
Aliyeisaidia...
Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika timu zao kwa kukosa vigezo vya leseni ya CAF A na UEFA PRO.
Didier...
Leo April 30, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa amri kwamba mwenyekiti wa usajili wa Simba SC, Zacharia Hans Poppe na Franklin Lauwo wakamatwe na wafikishwe mahakamani kuunganishwa...