Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habarini Wadau! Hili jukwaa limevamiwa, uyanga na usimba umetawala na kupoteza ladha ya jukwaa la sport. Kila siku yanga na simba, mara oh Manara, gsm, mo n.k. Ukiingia tu jukwaa la (Sport)...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuna clip Manara akiwa kwenye Press ya Yanga jana wakiwa meza moja na Bumbuli kabla press haijaanza wakawa wanaongea bila kujua wanarekodiwa. Manara: Nini hiki? Bumbuli: Hawa si ndo wadhamini...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani. Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda...
28 Reactions
92 Replies
5K Views
Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala...
8 Reactions
31 Replies
4K Views
Nadhani Watu wengi mmebahatika Kuisikiliza Clip inayosambaa kwa Kasi sasa Mitandaoni ya Ridhiwani Kikwete ( MB Chalinze ) hivyo nami nitaweka tu hapa Nukuu zake Tano tu zenye maana na umuhimu...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kumtaja kocha mkuu wa Simba, Didier Gomes kukosa sifa za kukaa benchi la ufundi la Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa kutokana na kukosa sifa, uongozi...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu Tunaelekea msimu wa 2021-2022 Wachezaji wameshajua hali zao, ligi na timu watakazochezea Sasa naona imekuwa kimya kirefu kwa mchezaji wa yanga balama mapinduzi tangu alipoumia na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hakika aliyewahi kusema Africa is dark continent hakukosea kabisa Africa hii naiona bado iko gizani, huko barani Ulaya na America mashabiki wameruhusiwa kuingia viwanjani pia mechi zote za kombe...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Ndio kuna biashara,ndio kuna pesa. Lakini kumbukeni kuna utu na heshima mbele za watu.Zaidi ya yote kuna Akhera. GSM mnajua kabisa huyu mtu ana msongo mkubwa wa mawazo baada ya kufukuzwa Simba...
18 Reactions
63 Replies
6K Views
Leo kwenye kipindi cha sports HQ kinachorushwa na E-fm aliyewahi kuwa msemaji wa club ya simba 'simba sports club' Ndg. Haji Manara ameweka bayana kuwa hajawahi kuipenda club hiyo na hajawahi kuwa...
16 Reactions
51 Replies
4K Views
Kwa mashabiki wa mpira jamani huyu mswiss ni nuksi Nilianza kumfuatilia kuanzia michuano ya Euro 2016 alikua ndani ya timu ndogo ila yeye ni mkubwa timu yake ilitoka makundi ila alikuwa ndani...
9 Reactions
57 Replies
6K Views
Aisee saa hizi Maulid Maulid amempiga mwenzake teke, jamaa kalala kwa zaidi ya dk 2, ameamka hajielewi kabisa hata wakati mshindi anatangazwa jamaa alishindwa kusimama. Hii ni ligi nzuri napenda...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za leo wana Jf. Hakika ni ijumaa njema yenye baraka. Hivi karibuni nimefika eneo moja la michezo ya watoto hapa jijini. Awali lilikuwa limefungwa kwa ajili ya ukarabati kwa sasa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwemaa ,wakuu .. Naomba msaada nahitaji application au website za kuangalizia mechi online, maana nipo sehemu ambayo hakuw uinyeshaji wa mpira, kwa week kadhaa nmekuwa namiss bundesliga Ila leo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simba walibaki na option 4 kuuu ,Horoya, mamelodi, al hilal, al ahly nTp mazembe Baada ya hao jamaa wa congo(MABINGWA MARA TANO AFRICA) kutangazwa kumezuka maneno ya MAMA J FC kwamba mazembe...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Aliyekua kocha mkuu wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan, Mfaransa Didier Gomes da Rosa amejiunga rasmi na klabu ya Simba Sports Club. Kocha huyo ametangazwa leo na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba...
5 Reactions
96 Replies
11K Views
Jamaa ana hali mbaya sana. Akitafuta kukubalika kwa kila namna. Ana wakati mgumu sana.
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Tukiweka Kumbukumbu sawa ni huyu huyu Haji Manara (Msemaji mpya wa Yanga SC ) alipohamia huko alijigamba na Kujimwambafai kwa kila namna kuwa hakuna mwana Simba SC anayemuweza kwa Kuchafuana na...
11 Reactions
22 Replies
3K Views
Huenda Djuma Shabani na Aucho wasiwe sehemu ya kikosi Cha Yanga kitakochokikabiri Rivers United wikiend hii baada ya kuenea kwa taarifa kuwa CAF wamewapa taarifa hiyo Yanga, kufuatia timu zao za...
14 Reactions
90 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…