Unaweka kambi Morocco bila mipango, unarudi nyumbani unacheza na Freinds Rangers kujifua na mechi ya ligi ya mabingwa.
Hivi Nani kawaroga Utopolo?
Anayewauzia hizi bangi viongozi wa Yanga, Mungu...
"Nasikitika kuona tunaacha Kupambana kwa Matokeo ya Uwanjani tuko katika Upuuzi wa Kushindanisha Jezi na Kushadadia kama zimevuja au hapana. Arsenal FC ndiyo Klabu yenye Jezi nzuri mno ila...
Hapa kuna jezi ya Tunisia ya mwaka 2019-2020 na kuna jezi ya Simba 2021-2022.
Jezi ya Tunisia imetengezwa na kampuni ya Kappa wakati jezi ya Simba imetengezwa na Vunja bei.
Hongereni sana Simba...
Simba imezindua jezi kuelekea msimu mpya. Tuseme basi jezi za Yanga ni bora zaidi ya Simba. Halafu?
Kwa miaka kadhaa Yanga wamekua wakijanasibu kuwa na jezi bora. Sasa tujiulize maswali, mbona...
Nazunguzia strength, stamina, dribbling skills, shoot ,Ball control kwa ujumla ukilinganisha nani anaweza kuwa bora naomba tutaje asilimia kwa kutumia reference ya sofifa 2021 kwenye google
Ndugu zangu ya kweli haya? Kwamba Azam Media wameona ni ujinga kutumia taasisi yao ku facilitate vita binafsi? kama ni kweli basi hongereni sana azam tv
Abakize tu Asas ili akiwa anapost bidhaa...
Mbwana bado anahangaikia hatima yake, mara Genk, mara Aston, mara Fenabache mara Ubelgiji tena. Nadhani mchango wake kwenye timu ya taifa hautoshi kuendelea kushikilia unahodha wa timu hii...
Habari wanajamvi ni kianza kwenye mada kuna kitu kina udhi sana unakuta shabiki analalamika sijui jezi ya simba imejaa matangazo hivi ujui.
Mo pia pale anafanya biashara, timu kabla Mo ilikuwa...
MEI 13, 2021
Anaandika Mchambuzi, SHAFII DAUDA.
Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda...
Kila siku wewe ni kujifanya kutoa amri na ultimatum kwenye media,wewe kikaragosi ni wa kutoa amri kwa Simba au MO? kila siku ukihojiwa kazi yako kudanganya ulisoma Mass Comm South Africa na...
"Sijawahi kuona Jezi yenye Quality ya Juu kama hii ya Simba SC na kiukweli nitoe Sifa nyingi kwa Mtengenezaji Fred Vunjabei na hakika hana mfano Tanzania Kwani ametisha mno na sasa ni wakati wa...
Sports
WCQ round-up: Spain lose 1st qualifier in 28 years, Italy held in Bulgaria draw 😅
Italy made it 35 games unbeaten to equal the European record run set by Spain but were held to a...
Yaani Wenzenu Simba SC wanajiandaa Kucheza na Vilabu vya maana Barani Afrika huku ikiwa imetoka Kucheza na vingine viwili huko Morocco ilipokuwa Pre Season nyie mnacheza na Friends Rangers FC ya...
Hatukatai Fred hela anayo lakini kutoa bilioni mbili kisa kutengeneza jezi hapana haiingii akilini. Bila shaka kuna mtu yupo nyuma ya dili hili, ambaye ameamua kumtumia Fred ili isionekane kila...
- Elimu yake watu hawana muda nayo kujua alisomea wapi maana balaa analofanya mbele ya macho yetu ni ushahidi tosha shughuli imempata anaeiweza, wapo kina gift macha wana degree zao lakini...
Mnamo tarehe 30/Jan/2021 Baraza la Michezo la Taifa (BMT) liliteua tume ya kusimamia uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania. Tume ilikua chini ya uenyekiti wa Dr Jonas Tiboroah japo mchakato...