Kama tunataka vilabu vyetu vya soka viendelee tuachane na hawa wasemaji wa klabu tuwe na afisa habari, kwa sababu baadhi ya hawa wasemaji wanaongelea mpaka maswala ya ufundi ambayo ni ya kocha...
Tarehe 24 msemaji wa klabu ya Yanga Haji Sande Manara alitoa taarifa katika hafla yake yakutambulishwa kama msemaji wa klabu hiyo,kuwa tarehe 25 mwezi huu{leo} saa tano asubuhi watazindua jezi za...
Tamasha la Mwanamuziki wa Kikongo lililoandaliwa a Club ya Yanga kama sehemu ya kusherekea mafanikio yao ya ligi katika msimu uliopita kwa kuweza kumaliza nafasi ya pili nyuma ya Mabingwa wa Ligi...
Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake.
Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya...
Wanajanvi.
Sina shaka na uwezo wa Haji kwenye matumizi ya kimkakati ya Kimasoko. Ila kwa kutumia jicho la tatu ninaona kama ni kosa kubwa sana kumkaribisha huyu Mwamba pale Jangwani kwa sababu ya...
"Kuna Wanaume wengine Wana tabia za Kike Kike za kupenda Kuwasema Watu vibaya ambao wameishi na kufanya nao Kazi kana kwamba hawakuwa na Mazuri yao au Yeye nae hana Mapungufu yake. Tafadhali...
KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AZINDUA DAR ES SALAAM JOGGING CLUB KWA KISHINDO
Katibu Mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi (MNEC) leo amezindua Vijana Jogging Club Jijini Dar Es Salaam...
Kiukweli nimeshangazwa.
Nimeenda kununua jezi mpya za Yanga GSM mlimani city nikaambiwa jezi hakuna na zinapatikana sehemu moja tu Sandalend Kariakoo sababu Sandalend kanunua mzigo wote wa kwanza...
Wanakutana na Wanigeria kwenye Club bingwa Africa (1st Leg/2nd Leg) 10-12 September / 17-19 September 2021-WATATOLEWA
Wanakutana na SImba Ngao ya Hisani- WATAFUNGWA
Unadhani nani atakuwa wa...
Adui yako namba moja ni mtu wako wa karibu. Haji alivyokuja Yanga ndiyo atakavyoondoka Yanga. Kama mnadhani Yanga mna siri nyeti ambazo ni mwiko kufahamika kwa Simba na public basi ziwekeni mbali...
Wakuu salaam,
Kwa Ufupi naomba tutaje watu maarufu kama wachezaji wa zamani, wachezaji wa sasa, Watangazaji wa michezo, wanasiasa n.k. ambao ni washabiki wa Yanga au Simba.
Wengi (wahusika)...
"Tafadhali kama kwa bahati mbaya umempoteza au umepotezana na Ndugu yako kwa muda mrefu jaribu kumuangalia katika Jezi mpya ya Yanga SC unaweza ukampata"
Chanzo: Mchambuzi EFM na TvE Oscar Oscar...
Tarehe rasmi ya simba day imetoka. Tukutane Kwa Mkapa September 19
Siku itakuwa ya furaha mara mbili maana uto watakuwa washatolewa, wiki moja mbele tunawabomoa tena.
Kuna mlemavu alisema hakuna...
Klabu ya Manchester City imezindua sanamu za wachezaji wao wa zamani Vincent Kompany na David Silva kwenye uwanja wao wa Etihad kuelekea mchezo dhidi ya Arsenal leo.
Sanamu la tatu la Sergio...
DAR ES SALAAM VIJANA JOGGING
Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wake Comrade Mussa Kilakala unawakaribisha Vijana wote Mkoa wa Dar es salaam katika Uzinduzi wa DSM...
Huyu mtu toka ugomvi wake na Bumbuli kazi yake ni kudhalilisha wenzake na mwishowe yeye au watu wake huja kwa kasi kumtetea.
*Vs Bumbuli: kisa kilikuwa lopolopo kufurahia basi la la Yanga...
Mnamo tarehe 30/Jan/2021 Baraza la Michezo la Taifa (BMT) liliteua tume ya kusimamia uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania. Tume ilikua chini ya uenyekiti wa Dr Jonas Tiboroah japo mchakato...
Baada ya kufunguliwa dirisha la usajili timu mbalimbali zimefanya sajili ili kuimarisha vikosi vyao. Kuna baadhi ya team zimefaidika na kupata wachezaji baada ya janga la Corona kutokea .
Hizi...