Yaani Yanga imekuwa kama CCM. Mfia timu anayetukanwa kila siku kwa kuonesha mapenz yake waziwazi dhidi ya Yanga ameachwa pale EFM kachukuliwa manara aliyeunga mkono juhudi.
Jana ulkuwa ukiona...
Mashabiki wa Tennis wenye umri kuanzia miaka 12 na kuendelea Nchini Marekani watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata Chanjo dhidi ya COVID19 ili kuhudhuria U.S. Open
Wametakiwa kuonesha...
Uongozi wa Simba wekezeni nguvu katika benchi la ufundi na maslahi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba. Tusianze kutafuta mtu wa kuanza kushindana na Haji Manara, era yake ishapita. Tumpe mkataba...
Aliyekuwa Mchezaji wa Simba SC Luis Miquissone Raia wa Msumbiji ametambulishwa rasmi kama Mchezaji wa Al Ahly ya Misri, mitandao mbalimbali imeripoti kwamba Miquissone atakuwa analipwa mshahara...
Mkutano unaoendelea mda huu wa simba ni uzinduzi wa simba App ambapo kwa maelezo ya afisa habari wa simba amedai ni application ya kwanza japo kama sikosei mtani huwa anayo hii platform...
Mabingwa wa Nchi Mnyama Mkali Simba SC leo Alhamisi ya Agosti 26 2021 wapo Uwanjani Nchini Morocco kucheza na Olympique Club De Khouribga katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki.
======
00'...
Nadhani Lipo Tatizo kubwa sana kwenye hii cheque [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1. Iyo cheque inakua authorize kwa signature upande wa kushoto [emoji15] lakin kwakua anaitoa mfuko wa kushoto...
Kongole kwa Yanga kuzindua jezi mpya nzuri na bora kabisa.
Kongole Makolokolo kwa kuzindua App.
Manara ni mtu muhimu sana. Walio muweka pale wana akili sana.
Weka pembeni Usemaji, anajua namna...
Sasa ni rasmi klabu ya Yanga ipo mikononi mwa GSM na cha ajabu viongozi wako kimya kabisa.
Hawa wote wameletwa na GSM
1. Engineer Hersi
2. Karibu Mkuu Haji Mfikirwa
3. CEO Senzo
4. Haji Manara...
IGWEEEE! Mshambuliaji wetu Godwin Aguda kasajiliwa na team ya Falkenberg inayoshiriki ligi daraja la kwanza huko Sweden,tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya kisoka
Vilevile...
Kwa hakika siku zinaenda leo jezi kuwa na wadhamini wengi zinaitwa siyo za mpira, bahasha za khaki ni hatari sana
===
Sare ya Yanga na uchafu wa jezi ya Al Ahly
MONDAY APRIL 11 2016
Summary...
Imetokea nimempenda Hajji Manara kwa mbwebwe zake na ushawishi wake katika Tasinia ya mpili kubali au kataa. Mimi binafsi sio mshabiki wa timu za bongo kwasababu zangu binafsi, ila mke wangu...
Droo ya Klabu Bingwa Ulaya kwa msimu wa mwaka 2021-22 inachezeshwa leo huko Instanbul, Uturuki kuanzia majira ya saa 5pm (BST) au saa 1 jioni (Saa za Afrika Mashariki)
Timu 32 zitashiriki katika...
Kwanza cas wameomba msamaha kwa kuchelewesha Uamuzi wa hukumu iliokuwa itolewe juzi tarehe 24/8/2021.Na wamedai kuwa watajitahidi kutoa hukumu September 21 mwaka huu.
Je, hii kesi kwanini...
Kuna Watu kweli hamnazo kabisa yaani Wewe una Mechi ngumu mno ya CAF CL badala ya kujiandaa vyema uko busy Kutambulisha Jezi Vikaragosi zao na Mwali wao Mzungu Pori.
Halafu baadae Mwanamume...
Kilichopo zinatengenezwa propaganda nyingi ili uongozi uonekane haufai siku ya Simba Day watu wasijae uwanjani ili ionekane Manara yeye ndio alikua na uwezo wa kushawishi watu kujaza uwanja...
Juventus wanataka kati ya £21m-25m kwa ajili ya Ronaldo, huku City ikitarajiwa kumpa mkataba wa miaka 2. (Guardian)
Klabu hiyo ya Italia inatarajia Ronaldo atabakia klabuni hapo lakini wana nia...
▪️Cristiano Ronaldo is 869 days older than Lionel Messi
▪️ Cristiano Ronaldo Jr is 869 days older than Thiago Messi
▪️Cristiano Ronaldo’ second son is named Mateo
▪️Lionel Messi’s second son is...
YAMETIMIA
Kuna Jambo naliona, Ngao ya Jamii Yanga Kucheza na Azam FC
Pasipo Shaka Tanzania inaenda kuandika historia yake katika Mchezo wa Mpira wa Miguu, Ni jambo ambalo wengi hawakutarajia...