Very stupid football player. Anaongea mbele ya wenzake akidhani sisi wote hatufahamu Kifaransa. Kuwa yeye ameamua kuchezea Yanga sababu kule Simba kuna ushindani sana wa namba.
Hivyo anaona akija...
Binafsi nilimsikiliza Mohamed Dewji kuhusu utoaji wa 20 billion za hisa 49%. Huyu Bwana anaonekana anatoa hela lakini ananung'unika na kulalama kama vile mtu anaelazimishwa. Anataka aonewe huruma...
Kuna tetesi za chini ya kapeni zinazo sema bodi ya wakurugenzi ilipokaa kikao chake wiki kadhaa zilizo pita imeafikiana kumuomba ndugu Walace Karia aongeze idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kucheza...
Unaenda Morocco Kwa siku 10. Siku 4 ni safari ya kwenda na kurudi. Siku moja ni mapumziko. Siku 5 ni Pre-Season! Sio Bangi kweli hii?
Chanzo: Twita Akaunti yake.
Nimeangalia watani zangu leo, kwa kweli wana hali ni dhohofu lihali na mbaya sana.
Triple C anatengeneza big chances nyingi sana na ananyambulika vizuri sana ila hawa wachezaji wengine sawa na...
Hapa hamna timu kabisa unaweza kuta mmeikamia mechi kumbe hata madogo wa U20 wangeweza kuitafuna kirahisi. Kupangiwa kiTeam ambacho kimemaliza ligi ya Nigeria nafasi ya ni sawa na kucheza na...
Ratiba ya hatua ya awali Car champions League ni Kama ifuatavyo.
Kama Yanga atafanikiwa kusonga mbele basi atakutana na mshindi Kati ya Fasil Kenema ya Ethiopia na Al Hilal ya Sudan katka round...
Club za Simba na Yanga wameshindwa kabisa kubalance usajili wao na kujikita zaidi kupata first eleven ya wageni. Najiuliza aina hii ya usajili itawasaidiaje vijana wa Tanzania wanaopanga kutoka...
Ni habari njema sana kwa wapenzi wa soka dunia,tumeona jana ligi kuu German imerudi,hii inaatupa matumaini na ligi zingine kurudi mwishoni mwa mwezi huu zingine mwanzoni mwa mwezi ujao.
Mashabiki...
Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko?
Chama mzee...
Anaitwa sadio kanoute mchezaji wa team ya Taifa ya Mali.
Ni 8 na kiungo mshambuliaji hasilia,Asante simba kwa hii Zawadi toka Al Ahly Benghaz.
Karibu msimbazi Kanoute
Karibu msimbazi fundi
Ukifika Jimbo la Wisconsin Nchini Marekani, kila corner utakoyopita basi lazima utakutana na na logo yenye herufi "G"iliyozungukwa na rangi ya kijani.
Herufi "G" inasimama badala ya neno Green...
Hivi karibuni kuna mwandishi mmoja wa habari za michezo aliandika kuwa eti Simba inasajili sana sana Uganda na Yanga inasajili Congo. Kukatokea viandishi uchwara vikataka kuanza kupandikiza mind...
Hamna kitu nimeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa Chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu.
Mo sijui...
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamemsajili kiungo Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan.
Shaiboub ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Sudan na amekuwa kiungo bora...
Picha ikimuonyesha Clatous Chama na Tuisila Kisinda wakiwa katika jezi za mazoezi za RS Berkane muda mchache kabla ya kuanza mazoezi hiyo jana!
Picha kwa hisani ya majasusi wetu waliopo huko...
Wachambuzi hao wanasema kwa sasa ni kama wanadhalilishwa sana. Kila wanapoenda kupost Insta kuwa Mchezaji X anasajiliwa Simba wanakuja kukuta siye.
Hata wanaposema kuwa Simba itamtangaza mchezaji...