Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu.
Kumbuka tuna wachezaji umri...
Haya Sasa Messi huyooo kabeba kombe akiwa na timu ya taifa
Mlikua mnamuona Messi si lolote na wala si chochote kwa C.Ronaldo,kwasababu C.Ronaldo alishinda EURO mkawa mnamponda Messi kwakua...
Ikiwa ya imebakia Masaa kadhaa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufanya usajili wa timu zitakazo shiriki michuano ya Afrika msimu ujao ligi ya Misri Epl bado haijaisha na Wala bingwa na top 4...
Hizo Yanga na Simba waachieni kina Mpili na Manara (Waswahili).
Bakhresa aliona mbali akaanzisha timu na uwanja wake. Yupo huru kutumia hela yake pasipo majungu yoyote.
Yanga na Simba mtapoteza...
Club yangu ya Yanga nmekuwa nikiipenda toka mwaka 1980s wengi wakiwa wadogo ama hawajazaliwa.
Nikiwa mwanachama halali mpaka leo hii zaidi ya miaka 40. Naifahamu Yanga kiasi fulani ambacho...
Messi (34) amekubali kujiunga na PSG baada ya kuondoka katika Klabu ya FC Barcelona aliyoichezea kwa miaka 21
Inaelezwa atasaini mkataba wa miaka 2 wa thamani ya kulipwa Paundi Milioni 25 (baada...
Nachukua nafasi hii kukupongeza Ndugu Simbu kwa juhudi ulizoonyesha katika mbio za marathon kwenye michezo ya Olympic kule Tokyo Japan.
Hukuweza kupata medali lakini kuwa mtu wa saba kwenye...
mafundi maiko wa usajili wako kazini washajua hiki ni kipindi cha amshaamsha ya vyura vyuranii ,kudadeeki walahi na yale mapoyoyo yao ya media kina Priva na kitenge kikanga yanavyowapamba na wale...
Atleast hii hela itaingia kwenye hazina ya GSM siyo kama ile ya Tuisila aliyekuwa kwa mkopo pale kidimbwi.
Klabu ya Mouloudia Oujda ya nchini Morocco imetuma ofa kwa klabu ya Yanga kuitaka saini...
C&P From mwanaspoti
REJEA kichwa cha habari juu baba. Mimi mja wako naomba unipatie ujasiri mkubwa. Wa kuachana na ushabiki wa hizi timu baba. Wewe mwenyewe unazijua vyema baba.
Moja ipo hapo...
Kweli Simba na Yanga wana utani ambao wote tumeukuta, lakini wakati huu ambao timu zinaingia kwenye uwekezaji wa kibiashara hazihitaji msemaji kama Manara mwenye utani ule wa kale wa uhasama na...
Ni kitu kinachowezekana, hasa katika hali ya sasa, Kucha za Mo zilizojificha zinaonekana hadharani.
Simba original ianzishwe kwa jina la Simba OG, timu ambayo ipo ligi kuu au imepanda inunuliwe...
Barcelona yafungua kesi Mahakami kupinga usajili wa Lionel Messi kujiunga na PSG, wakidai klabu hiyo haiwezi kumsajili mchezaji huyo kutokana na rekodi mbaya ya mapata na matumizi ya klabu hiyo...
Ikiwa imeaanza kwa kusuasua kwenye michezo wa Olympic, Marekani imetwaa kwa mara ya nne mfululizo medali ya dhahabu kwenye michezo ya Olympic kwa kuifunga Ufaransa 87 kwa 82.
======
Team USA...
Baada ya kushuhudia wiki mbili za mashindano ya aina yake katika historia, hatimaye Michezo ya Olimpiki mjini Tokyo nchini Japan imeahirishwa hii leo na kijiti kukabidhiwa kwa Paris, muandaaji wa...