Kuna kitu kinaitwa "conflict of interest"
Je, inaswihi kwa Haji ambae Boss wake Mo ana biashara ya Maji na wakati huohuo Haji kwenda kutangaza biashara ya Maji kwa Azam? Mo ana maji ya masafi na...
Heshima kwenu wakuu...
Moja kwa moja niingie kwenye mada husika. Kumekuwa na mkanganyiko kati ya uwekezaji uliofanywa na Mo pale Simba na udhamini uliofanywa na Azam kwa wanandinga wa Jangwani...
Hoja ya Manara inajionyesha kabisa azam wa mission maana kama hawana huwezi kurusha matangazo bure 1hr na dk26 hivi hivi. Azam wanatamani sana wapate pia mkataba wa Simba na Azam. Sasa wanamtumia...
Kuingia mkataba mrefu wa miaka 10 na Taasisi moja tena Taasisi yenyewe kama TBC, ambayo siku yoyote yaweza kukatisha matangazo ya soka kwa vile kuna kiongozi anazindua vyoo vya Stendi lazima...
Ukiangalia kwa makini kwenye huu ukanda wetu wa Afrika Mashariki na KATI na hata Afrika kwa ujumla wake, soka linaendeshwa sana sana na Taasisi za Serikali, watu binafsi wenye hela na makampuni...
Ninaamini wengi mnakumbuka huyu bwana aliwahi kujaribu kumiliki hizi timu, lakini mpaka Leo nafikiri kilichomfanya akazitema kwa asilimia kubwa ni kutompa faida aliyokuwa anaitaka na aliona fursa...
Ukweli anachokifanya Moo ni kuhakikisha watu ambao wanaweza leta upinzani wa yeye kufanya maamuzi ndani ya Simba waondoke wabaki mafala ambao kila anachosema wanaitika yes
Nkwambi alihoji moo...
Katika mwendelezo wa tabia ya timu utapu tapu aka watupolo,leo mwamuzi amelalamikia eti kanyimwa penalty tano!Ajabu mchezo tumeangalia wote lakini yeye pekee ndiye kaona hizo penalties!!
Hawa ni...
Ni taarifa ambayo bado ya moto moto kabisa ya kama dakika 15 tu zilizopita
Tumekuvumilia mara nyingi sana lakini kwa sasa uvumilivu umetushinda,
Kwanini kila siku ni ww tu kuiongopea Simba mambo...
Wakuu Kuna Voice Note inatembea Mitandaoni Ambayo Ni Msemaji Wa Simba SC akiwatukana Waandishi Wa Habari Za Michezo Kwamba Ni Wanafiki Na Takataka Tu Na Hakuna Wa Kumfanyia Lolote, Kimsingi...
Mashindano ya CAF na yale ya FIFA waamuzi wetu wa soka huwa hawachaguliwi kuchezesha mechi.
Je, kwenye haya mashindano ya CECAFA yanayofanyika nchini wamebahatika?
Ukitafakari sana mambo ya yanga yanaumiza sana.
Mpaka lini itakuwa kichwa mwendawazimu?
Huyu Ajib safari ndiyo atajituma kikamilifu kuliko nyakati za nyuma,viongozi was yanga kimewavutia nini kwa...
Hizi tabia za kitanzania na za kihuni kuwa huwezi ondoka kwenye taasisi kimya bila kusema mabaya ni malezi ya ajabu sana. Mimi ni mwana yanga kindakindaki lakini alchofanya manara na alichofanya...
Kupitia ukurasa wake wa twita, Zitto Kabwe ameomba Klabu ya Simba iweke wazi mchakato mzima wa kumpata mtengeza jezi aliyeshinda Ndugu Fred Vunjabei.
My take: Namuunga mkono Zitto kwenye hili...
Manara kaua leo kwamba kumbe wataniz etu walishaingia nkataba na Azam TV wa pesa kiduchu mil 380 kwa mwaka halafu wanajishaua kuuponda nkataba wa Yanga Afrika na Azam
Baada ya kurudi kazini uongozi wa Simba, uliokuwa bize kwa ajili ya fainali kombe la Shirikisho (ASFC) na kubeba taji hilo mbele ya Yanga wamekutana na email iliyotoka Al Ahly ambayo imeeleza...
Namaanisha kuwa simba ni Timu kubwa kubwa tena kubwa Sana
Kama mafanikio yalianza kuwa zamanii
Mashabiki wa simba wanahitaji Timu nzuri wachezaji wazuri na vikombe vingi
Simba ilishafanikiwa...