Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimesikia kuwa National ya Misri imeshamchukua Chinga Boy kwenda kucheza kwa mabingwa hao wa Afrika. Simba wasipoteze muda watoe Bilioni 1 wamchukue kiungo wa Yanga Feisal. Huyu ni mchezaji wa...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakuu Raia wa Ujerumani mwenye asili ya Tanzania Malaika Mihambo, amelishindia taifa lake medali ya dhahabu katika mashindano ya michezo ya Olimpiki ya long Jump. Mwanaridha huyo aliruka urefu wa...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Hizi TZS 300m anapewa nani? Swali la jumla: nani anamiliki rights za mechi kutangazwa? TFF, League Board, au timu? Nani ana haki ya kuziuza? Kama timu hazina rights, je zina nafasi kuamua nani...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Tusidanganyane, Hakuna mchezaji mzuri sana ambae hakuonwa na timu kubwa za Ulaya, Afrika Kaskazini au Afrika Kusini. Ukiona mchezaji anakubali kuja kucheza kwenye ligi yenye viwanja vibovu kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nikiangalia haya mataifa yetu ya Afrika, Congo ni moja ya taifa lenye watu wanaojua kujiwekea malengo makubwa,kuyapigania ili wajigambe nayo. Uganda na Kenya pia kuna watu wa aina hii,ingawa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakati mwingine kuna ujinga na upumbavu unaletwa na mihemko hasa ya wachambuzi wa michezo ambao mimi sijawahi kuwaekewa kabisa hapa nchini. Hizi sifa za Banda ni kama zimetiwa chumvi mno. Kama...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Jamani wanamichezo wenzangu hapa Tanzania michezo ya Olympic inaendelea huko Japan swali langu mbona watanzania sijawaona kwenye hiyo michezo?
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hakuna video wala taarifa inayoonyesha kuwa kuwapima utimamu wa mwili na akili vinafanyika kabla wachezaji kupewa mikataba ya kuvichezea vilabu. Hii haiwezi kuwa sawa hata kidogo, kila mchezaji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Team zote zinasajili na kutangaza sajili zao ila club ya Soka ya Simba Tanzania zinasikika tetesi ila hazikamiliki! Je hiyo ndo professionalism au? Maana dunia nzima hata huko ulaya kuna hekaheka...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Salaam kwenu wananchi, Miezi michache ijayo Yanga itarejea kwny michuano tajwa baada ya kuikosa kwa muda kdg. Sasa nikimbie kwny mada fasta: Alexandre dimitri SONG bila shaka anajulikana. Ni...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakika huyu jamaa ni mtu na nusu, msimu ujao itakuwa kipimo cha umri kwa baadhi ya mabeki wa timu zetu plus Kisinda Basi hapo mikia watanuna
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni chaneli gani zinazoonyesha michezo ya Olympic live?
0 Reactions
9 Replies
763 Views
Sina maneno mengi ila Yanga wameiba mchezaji
1 Reactions
25 Replies
2K Views
AUTH: FANANI MEDIA Jukumu la mchezaji wa pila wa miguu anae cheza eneo la mshambuliaji ni kufunga mabao. Jukumu ambalo litasaidia timu kushinda mechi na mashindano hakuna ushindi kama hakuna...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Niliumia pale alipotuacha Carlos Carlinhos tulipoteza fundi,nikasema at least tunaye Ntibazokiza sasa fununu eti tuna mpango wa kumwacha!aisee viongozi msifanye kosa hilo. Saidor ni fundi...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Ule mchezo wenu mnaosifiwa sana na wachambuzi waliozoea kuangalia mieleka na rugby, mkicheza mechi za kimataifa mtakufa sana kwa penalty na red card. Hapa kwetu waamuzi wanawabeba na hata...
15 Reactions
34 Replies
4K Views
Manara amekuwa anawafanyia waandishi wa habari vitendo vya kidhalilidhaji sana. Aliwatukana ni takataka na juzi kati kuna Clip anamfokea Prisca Kishamba kwa makelele. Amekuwa na tabia hii mbaya...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Rejea kichwa cha habar hapo juu: ′′ Tuliishi vizuri sana, lakini alikuwa na tabia hii ya kuniuliza mbona tunafatana na mama yako kila mahali tunapoenda? Lazima uchague kati yangu na Mama yako"...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Kwa miaka kadhaa sasa watu wengi tumekuwa hatuielewi club ya Azam FC. Na hii ni kutokana na nguvu kubwa wanayotumia kuitangaza na kuboresha miundombinu vs kikosi na matokeo uwanjani. Hakika timu...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Tokyo 2020: Two Namibian Olympic medal contenders ruled ineligible for women's 400m due to naturally high testosterone levels By Kevin Dotson, CNN Updated 10:21 AM ET, Sat July 3, 2021...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…