Wakuu Mwenyekiti Wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF Wakili Kibamba amehamishwa Kituo Cha Kazi Kutoka Kuwa Mkurugenzi Wa Jiji la Mwanza Na Kupelekwa Kuwa Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Wilaya Nzega...
Habari za Jioni wadau.
Leo usiku saa tano nchini Morroco nyota wa Kitanzania,
SIMON MSUVA anayeichezea Wydad casamblanca na Shabani Chilunda anayeitumikia timu ya Moghreb Tetouan zote za...
′′ Nilikuwa na umri wa miaka 22 na mkataba wangu na AS Cherbourg ulikwisha. Wakala wangu aliniambia kuwa nilikuwa na ofa ya kujiunga na vilabu vingine vidogo.
Baadaye, nilijaribu kuwasiliana...
Lionel Messi kuhusu kuwaheshimu makocha ambao hawajawahi kumfundisha:′′ ingawa nawaheshimu makocha wote wa mpira wa miguu, lakini naweka heshima maalum kwa Jose Mourinho na Sir Alex Ferguson...
Habari Wana michezo poleni wanachama wenye team yenu sababu mnaponzwa na mashabiki Kwan wao wanacho taka ni furaha tu
Leo Mo katangaza kuweka Ile B20 ya hisa 49 kitu ambacho asinge fanya kama...
Habari za jumapili wakuu hivi amino acid inafaa kwa watu wembamba kama mimi nina mikono membamba yaani focus yangu ni kujaza mikono
Ushauri wenu wataalaam wa protin supplement
Taarifa ikufikie popote ulipo kuwa muda wowote ule kuanzia sasa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara anapanga Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kuwaomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC wote...
RATIBA YA KESI KASI WEEK HII
26.07.21
CAS 2021/A/7689 Dilhara Lokuhettige v. International Cricket Council (ICC)
CAS 2021/A/7935 International Cricket Council (ICC) v. Dilhara Lokuhettige...
Instagram: fananimedia
Dkika zinayoyoma katika Dimba la Benjamin William Mkapa ubao wa screen kubwa iliyopo kaskazini mwa uwanja unasoma Simba 5-0 Yanga
mashabiki wa Yanga wenye roho ndogo na...
Ntafurahi nikiona mawazo ya mpwa want HUyu kabla ya mechi Simba vs yanga
Otherwise namtakiaaa mechi njema.kama n mpenzi waoujichanganya avae BARAKOA anawe mikono kabla ya kuzama vibandavyetu vile...
Gianluigi Buffon: "When I was little, someone legendary entered my life. Thomas N'Kono, the Cameroon team goalkeeper. I saw him play at the Italy World Cup in 1990. I remember the first game...
Wakati Mashabiki wa Simba wanajiuliza kua Chama na Miquissone kama wataondoka au watabaki na usajili upi ufanyike ili timu ifike nusu fainali au fainali ya CAF. Utopolo wapo busy kuuchambua...
Habarini Wakuu,
Natumaini mko poa kabisa katika jitihada za kujiendeleza kila siku.
Kama kichwa cha habari kinavyouliza hapo juu, ningependa kufahamu (na kufahamiana) kama kuna mashabiki humu...
Lamborghini, Hummer, na Cadillac. Lakini kwa kipindi chote nilichokaa Tottenham nlishindwa kununua FURAHA.
Furaha pekee ndo ilinifanya niondoke Tottenham na kwenda kuitafuta sehemu nyengine...
Kumeanza mtindo wa kila mechi simba na yanga wanapigwa faini
Hii ni aibu kwa soka letu haiwezekani kila siku faini. Watu wanajiuliza kumbe hizi mechi ni dili sana mwisho hamtutuona uwanjani...
KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA AZINDUA VIJANA JOGGING CLUB ALIYOIANZISHA MKOANI DODOMA.
31.07.2021
Katibu mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amezindua rasmi VIJANA JOGGING CLUB MKOANI...
Huyu jamaa anajua namna ya kuwapiga chenga watu.
Jamaa hakuwa na mtaji wa kuingiza Simba SC kama mtaji. Kakabidhiwa timu kwa kauli ya mdomo. Katumia muda mfupi sana kuhakikisha pesa ambayo...
Mimi ni mdau mkubwa wa michezo, napenda sana michezo...
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikitazama na kufatilia sana michezo ya olimpiki, kiukweli sio tu unaenjoy mchezo lakini pia unajifunza vitu...