Tanzania ni yetu tunaipenda ni yetu sote. Kombe la dunia limeshaanza limesheheni wanamichezo lukuki japo wengine wameibukia kuwa na positive covid 19 hivyo kuwanyima fursa hii njema.
Swali...
Nikiangaalia news Leo naibu wa wizara ya habari na michezo amewakabidhi wanariadha watatu waliofuzu kushiriki Olympics, Je hatuna michezo mingine inayotuwakilisha mwaka huu?
Kwa upande wa nchi...
Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu
Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.
Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na...
Najaribu kuamini kuwa Rais SSH ni mpenda soka ila upande wa Simba au Yanga ni siri yake. Ile mechi ya ligi ya tarehe 3/07 hakupaswa kwenda uwanjani na kuwa mgeni rasmi kwani ilikuwa mechi tu ya...
Tuweke utani pembeni,
Msemaji wa timu kabambe ya lipuli pale mkoani Iringa anakula mshahara wa laki tisa kwa mwezi.
Ndugu yetu wa Damu kabisa Bughat eliclasco Haji mwana wa Manara anakula laki...
Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili.
Mkuu wa mkoa wa Kigoma...
Kwa Taarifa ambazo nimezipata na GENTAMYCINE naendelea Kuzithibitisha ni kwamba Kitendo hiki cha Yanga SC Kumkataa Mwamuzi (Referee) Ahmed Aragije kutokea Mkoani Manyara kina Fumbo kubwa na Mtego...
Kumekua na mgongano mkubwa kwenye club ya Simba juu ya nafasi ya Manara katika club. Mara kadhaa boss wa timu Mo aliihitaji kumfukuza lakini wazee kina Hanspope walimtuliza boss kwamba wampe muda...
Wakuu wenye uelewawa wa haya mambo, naona bendera ya nchi yetu ameibeba mzungu mmoja ambaye sina uhakika kama ni mwanamichezo au kiongozi wa Tanzania! Je huu ndio utaratibu mpya au ndio hivyo...
klabu ya soka ya jijini london Chelsea imewasilisha ofa ya £100m kwa ajili ya kumpata kiungo mshambuliaji wa Juventus, Federico Chiesa lakini Juventus wanaendelea kushikilia msimamo kuwa kijana...
Kila pale Mechi ya Yanga SC na Simba SC ikikaribia tu ni lazima Klabu ya Yanga itaibuka na Kumtahadharisha Mwamuzi ( Referee )
Kitendo kilichofanywa leo na Yanga SC cha Kumkataa Mwamuzi Ahmed...
Habari wakuu,
Ukitoa livescores. biz website gani nyingine inayotoa DETAILS zote za mchezo (live matches) kama ATTACK, BALL POSSITION, SHOTS ON TARGET, CORNERS n.k?
Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi.
Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu...
Najaribu tu kuwaza,kwamba Klabu ya simba inalipa wachezaji, benchi la ufundi, n.k mamilioni ya pesa,ina mdhamini wake ni tajiri kabisa hapa Afrika lakini leo nimepigwa na bumbuwazi bada ya mambo...
Huyu jamaa nimeanza kuwa na mashaka naye sana.Kwa nini sasa?Huu ni uhuni na usaliti mkubwa kwa timu.Watu hukosewa na kuondoka kimya kimya lakini wewe Haji umevumiliwa sana hapo Simba.
Unajua...
Habari za wakati huu!
Ninawaomba sana wanachama, wapenzi na washabiki wa Simba tuwe watulivu na makini kuelekea fainali ya FA CUP
Uongozi wa Simba upo makini na ulishatoa maelekezo ya kutatua...
Inajulikana duniani kote kuwa mkataba wa ajira ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Mkataba unaweza kuwa wa maandishi au pia wa maneno tu iwapo pande mbili zitaafikiana.
Manara...