Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimeangalia ligi kuu ya Tanzania muda mrefu sana lakini hadi sasa hakuna timu iliyofikia kiwango cha uchezaji mpira wa kuvutia kama walivyokuwa pamba ya mwanza tp lindanda ya miaka ya 1990's ,ni...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku ya kutamatisha ligi kama jinsi ilivyo leo kwenye ligi yetu ya VPL mechi hua nyingi na kupelekea hata chanel zisizo za michezo kuonesha mechi. Leo zipo mechi 6 na kwa kawaida mechi huwekwa...
9 Reactions
43 Replies
4K Views
Hongereni Wana msimbazi na wapenzi wa kabumbu wote " nipo katika kibanda umiza hapa tunaomba wajuzi wa mambo mtupe usahii " Ikiwa Yanga Sc atabeba kombe la FA atatakiwa kucheza Shirikisho kama...
0 Reactions
2 Replies
510 Views
Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA...
16 Reactions
113 Replies
24K Views
Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na...
35 Reactions
296 Replies
37K Views
Nime angalia mechi walio cheza Jana na Azam, Simba bado wana tatizo lilelile hawajajirekebisha, mimi sio mtaalamu wa mchezo wa mpira lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida Simba inakosa mbinu...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Kuna Waafrika wachache wanasababisha Waafrika wote tuonekane si tu Wapuuzi bali Washamba sana hapa duniani. Tuacheni Kukurupuka tunachekwa sana.
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu najuwa tu, huenda baadhi yetu mkaona uzi huu hapa nimeuvuta kiushabiki, la hasha! ila ni kwa kuzingatia usalama wa wachezaji na viongozi wa yanga, kutokana na jinsi Gari za kichina...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Timu ya Al Ahly imefanikiwa kutwaa taji la CAF Champions league baada ya kuifunga Zamalek magoli mawili kwa moja. Ahly walipata magoli yao kupitia kwa Al sulaya 5" na Kafsha 86". Goli pekee la...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais wa Shirikisho la Kimatiafa la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza timu ya Simba kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/2021. Katika barua yake...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Anaandika privadinho kuwa senzo aliingia dili ya kipuuzi kiasi hichi.
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Mapema mwaka huu wakati wa Tulia Marathon, John Bayo alialika raia wa Kenya kinyume cha utaratibu kwa kuandika barua kwenda Athletics Kenya aki-forge sahihi ya aliekua Kaimu Katibu Mkuu wa RT Bi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
UTANGULIZI Hakika katika msimu huu ukiondoa matokeo mbalimbali na mafaniko waliyo yapata Klubu ya Simba na mwenendo mzima wa ligi kuu bara basi moja ya jambo ambalo limeshika sana katika vichwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika kampuni ninazoziona hazijali hadhi ya mteja ni Tata. Mabasi yao ni kama yametengenezwa VETA na wale vijana walioanza kujifunza kuunda mabodi. Haya mabus hata ukilinganisha na coaster...
3 Reactions
6 Replies
834 Views
Nipende kutoa pole zangu za dhati kwa Watanzania wote pamoja na Waafrika kwa kupoteza Kiongozi jasiri na shupavu, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli ambaye alikuwa ni Rais wa Tanzania awamu ya...
5 Reactions
63 Replies
9K Views
Yajayo yanafurahisha, Lapulga amekubali kupunguza mshahara wake kwa 50% na kuamua kubakia ktk klabu yake alioanza kuitumikia tangu akiwa na umri wa miaka 13. Griezman anarudi Atletico Madrid wao...
3 Reactions
9 Replies
850 Views
Jamaa aliejulikana kama "The greatest seducer of Men". Rais wa Real Madrid sasa naona ana bonge la kashfa. Audio leaks za mazungumzo yake na mtu aliemrekodi zinaachiwa. Hadi sasa kawatukana...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama unafatilia haya mambo utakumbuka miezi michache iloyopita Mo ali weka post huko Twitter ya Manchester united kupewa mamia ya mabilioni kwajili ya haki miliki za matangazo, ni kwamba hii ishu...
10 Reactions
69 Replies
11K Views
Hiyo ni baada ya kuifunga Brazil kwenye final ya Copa America kwenye dimba la Maracana. Messi hapo kabla alikuwa hajawahi kushinda kombe lolote akiwa na timu yake ya taifa. Goli pekee la Argentina...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo kwa Viwanja tofauti, huku gumzo likiwa kwenye Uwanja wa Chamazi Complex ambapo Azam FC wanawakabili Simba SC. Kocha Msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati...
11 Reactions
43 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…