Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hayati Rais Mstaafu 'Genius' Benjamin William Mkapa aliwahi kusema kuwa Siku zote Kupanga ni Kuchagua. Mna Maamuzi mawili tu ya ama msipeleke Timu katika 'Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ili Kanuni...
13 Reactions
71 Replies
6K Views
Habari wana jamvi to decrare interest mimi ni mshabiki wa simba lilia na matokeo ya jana yameniuma sana na kama mnavyojua Kufungwa inauma sana. Ila kwa upande mwingne bora tumefungwa huyu mtu...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, Kunataaliga zilizosamba toka jana na leo kuwa,wauza Nazi masoko yote ya Dar walikataza kuwauzia Nazi wapenzi na maahabiki wa timu ya simba, ndiyo sababu ya kupoteza mchezo kwa watani wao...
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Enyi wazee wa Simba Sc,sisi vijana wanazi wa Simba tunayo huzuni kubwa sana Kwani mmekuwa kimya huku mnamuacha mzee Mpili anajimwambafy na kutupiga biti sisi washabiki na wachezaji,haiwezekani...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Derby ya Simba na Yanga inakaribia Najua wengisana wameichukulia upande mmoja yaan ushindi kwa Simba. Niweke wazi Simba isijiamini sana hi mechi inaweza shangaza wengi ulimwengu wa soka Si la...
5 Reactions
68 Replies
7K Views
Polisi wa Metropolitan nchini England wamethibitisha kuwashikilia watu 9 ambao wamehusika na vurugu baada ya mechi ya robo fainali ya EURO 2020 kati ya England vs Ukraine. Tukio limetokea baada...
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Jambo wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Naomba niwatonye jambo moja la hatari linaloinyemelea soka ya Tanzania endapo TFF hawatachukua hatua zinazofaa kuepushia mbali...
9 Reactions
169 Replies
17K Views
Simba hana uwezo wa kumfunga yanga Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city...
29 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakati Simba wanaelekea katika kufanya mabadiliko ya uwendeshaji wa klabu hio kulitokea Makundi matatu 1 Waandishi wa Habari za Michezo 2 Watangazaji wa Habari za Michezo 3 Wachambuzi wa Habari za...
16 Reactions
30 Replies
3K Views
P R I S C A - K I S H A M B A ! - Mwandishi / Mtangazaji wa clouds fm ametishiwa kudhalilishwa na msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara. "KOSA LANGU NINI? Leo nilikuwa sehemu ya waandishi wa...
22 Reactions
150 Replies
17K Views
Mapinduzi cup hawakuingiza kikosi chao wanachokiamini...Leo ngoja tuone watatoa sababu gani hawa nyau "Nanaaaraaaa jamaaa dheetu" in PANJWANI'S VOICE Uzi tayari
3 Reactions
7 Replies
870 Views
Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa (RIP) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC. Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba...
3 Reactions
115 Replies
10K Views
Atapiga sana makelele kuongea propaganda za uongo lakini ikija kwenye reality anakuwa mpooooleeeee. Tarimba anakuambia kwamba u ki bet laki moja kwamba simba anashinda, akishinda utapata 167,000...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Bila kuficha usajili wa yanga una kasoro kubwa sana kila mwaka. Hivi ni kwa nini yanga hupenda kusajili asilimia kubwa mitumba mikubwa kutoka nje ya nchi na kudharau wachezaji wenyeji? Hii dhana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hawa jamaa wana malalamiko hadi aibu, kila siku Karia Karia, angalia hata kwenye top scorers wa ligi hawapo hawana hata mchezaji mwenye goli 8,hawa watu wako serious kweli? Jana kwenye under 20...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Wana Miezi Mitatu hawajapewa Mishahara na si kwamba labda Tajiri 'Mzanzibari' hana Pesa bali kaamua Kuwafanyia 'Kusudi' baada ya Kuwaambia Wachezaji wanamuangusha kwani anawapa kila Kitu hivyo...
12 Reactions
21 Replies
4K Views
Hakika hizi ni timu kongwe Tanzania na ndio timu pekee zinazo ongoza kuingizia mapato makubwa zaidi serikali, mama n'tilie, machinga, bodaboda n.k TANGU LIGI KUU KUANZA MWAKA 1965 SIMBA VS YANGA...
6 Reactions
53 Replies
9K Views
Mechi kali kama ya leo ya Simba na Yanga huwa na vimbwanga vingi kila shabiki akizungumzia umaridadi wa timu yake. Mbali na hilo, kuna suala la hela. Je, unaweza kuiua timu yako kwa kuwa anaamini...
1 Reactions
4 Replies
690 Views
"Wachambuzi", watangazaji na "wasemaji" wa timu za kitanzania. Utawasikia " tumepata matokeo" wakimaanisha USHINDI. Hivi ndio.ukweli? Mi nnachojua matokeo mi both +ve and -ve Wafundisheni hawa...
1 Reactions
4 Replies
771 Views
Sasa itakuwaje kwa wale waliokata tiketi mechi ya kwanza? Zile pesa zilipelekwa wapi?
1 Reactions
2 Replies
624 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…