Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya France kutolewa Euro msala umemshukia Pogba, inadaiwa hakusaidia defence Kabisa. Inashangaza hadi mama zao na Baba zao wamegombana. Hatari sana.
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Mtanzania aliekuwa anachezea Aston villa (AVC) ya England sasa amesajiliwa na timu ya Fenerbahce ya Uturuki. ====== Mshambuliaji wa kitanzania aliyekuwa anakipiga ligi kuu ya Uingereza, Mbwana...
5 Reactions
127 Replies
16K Views
Inasikitisha sana kwa kweli hawa jamaa nilkuwa najua ni manguli wa habari za michezo wako sasa hivi saa 19.50 wanadanganya kuhusu habari ya florente ibenge wakidai ni kocha wa team y a taifa ya Dr...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Je, ni kweli kwamba huyu mzee sasa anaenda rasmi kuwa msemaji wa yanga? Habari ambazo hazijathibitishwa ni kuwa huyu mzee ana nafasi kubwa ya kupewa kazi hii na ameanza kufuta rasmi misimamo yake...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii habari iwafikie wale wa Upande B make wameshikiwa akili vibaya mno, yule mtu wa Mumbai anajifanyia anavyo taka. Club imejaa mbumbu tupu wanacho jua ni kushangilia tu basi.
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Yalipopangwa makundi ya michuano ya Euro 2020, kuna kundi liliitwa la kifo. Lilijumisha mabingwa wa dunia Ufaransa; mabingwa wa Ulaya watetezi Ureno; mabingwa wa kihistoria wa ulaya na dunia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi unakwenda kumnunua mchezaji wa kigeni kwa gharama kubwa na matokeo yake ni kumtupa bench kali bila hata kumpa game time! Kitendo hichi kinatoa image mbaya sana kwa club yetu na baadae...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Taarifa kutoka DR Congo zinasema Rais mstaafu wa DR Congo Joseph Kabila, atagombea nafasi ya urais wa klabu ya AS Vita katika uchaguzi mkuu utakayofanyika mwezi ujao. Atapambana na rais wa sasa wa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari! Tayari baadhi ya timu zimekwisha kupangwa katika makundi kwa ajili ya mashindano ya 'UEFA EURO 2020', droo iliyofanyika mjini Bucharest nchini Romania ingawa bado haijakamilika huku Kundi...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Wallace Karia amekuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya Kamati ya Uchaguzi ya TFF kuwaengua Evans Mgeusa na Hawa Mninga kwa kukosa sifa...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Hii ndio Tanzania, huwezi kuta hao wanaojiita wanaharakati wanaharakatia kitu kisichokuwa na maslahi ya kifedha kwao Demokrasia ni pana sana, hao wanaharakati wanajua upana wake na wapo kutetea...
1 Reactions
13 Replies
717 Views
Ni siku tangu Wallace Karia ametangazwa kama mgombea pekee ambaye amekidhi vigezo ili kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa TFF kwa Uchaguzi ujao, na imeelezwa kuwa hatopigiwa kura bali...
1 Reactions
5 Replies
749 Views
Mpaka sasa kuna penati 11 zimetolewa, lakini upigani wa penati bado ni tatizo sugu!! Zaidi ya nusu ya penati hizo hazikufungwa. Tatizoni nini? Je kikwazo ni umahiri wa magolikipa au ni mbinu mbovu...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Karate ni mchezo mtamu sana, na hautumii nguvu nyingi sana kama ndondi. Ndondi haiwezi kukupa uhakika wa zaidi ya 50% katika suala zima la self defense. Karate inakufundisha kila kitu even magic...
16 Reactions
96 Replies
9K Views
Viongozi wa soka wa timu za ligi kuu hapa bongo hasa hizi kubwa wanapaswa kubadilika...maswala ya sajili za kubahatisha yamepitwa na wakati...Kama kweli tunataka kupiga hatua inabidi tubadilike...
2 Reactions
7 Replies
923 Views
tulizoea sana hizi timu zikivunja rekodi kwenye usajili. Baada ya hali mbaya kiuchumi kupitia makampuni ya udhamini wachezaji woooote wa kigeni wameondoka. Angalia kipigo zinavyopokea kwa sasa.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hawa jamaa bana wanajua kushangilia asee nadhani pombe pia inachangia. Haya Ujerumani kashakula 2-0 huko.
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa gazeti la Mirror inasemekana Ronaldo ataondoka Italy na kuelekea either France au kurudi Spain. Na katika sehemu zote hizo mbili uwezekanol mkubwa uliopo inasemwa ni wa yeye cr7...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Lile bao hakuna kosa kwa upande wa Simba wala Mwamuzi, ni akili kubwa ya Wachezaji wa Simba kwenye hatua kama zile Rejea Simba dhidi ya Nkana kwenye Klabu bingwa Afrika, move ya faulo ilikuwa...
11 Reactions
219 Replies
16K Views
Aston Villa aliyoiacha Mbwana sio kama ya sasa baada ya yeye kuondoka kwenda Uturuki kwa mkopo. Je, kuna uwezekano kiasi gani kwa Samatta kurudi tena Aston Villa kama mchezaji?
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…