Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Salaam wakuu Binafsi mpira nilikua nacheza tuu na wakati huo sikujua kua mpira ni kazi na unawalipa watu..kwahiyo sikuupa muda wala nini... Mtaani Kuna watu wengi Sana waliokua na ndoto kua...
1 Reactions
8 Replies
773 Views
Ukiangalia uwezo wa Oliver Giroud na uwezo wa Karim Benzema, yupi anastahili kuitwa kuichezea Timu ya Taifa ya Ufaransa?
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Kwanza nianze kwa Kupongeza Ushindi mzuri wa Goli 4 kwa 1 ambayo Simba SC imeshinda leo ( Usiku huu ) dhidi ya Mbeya City. Pia nikiri kuwa Klabu ya Simba si tu kwamba inaishia kuwa na Kikosi...
17 Reactions
53 Replies
6K Views
Nasema hivi, Yule msiempenda anasogea kwenye meza ya chakula, maana ameonekana akinawa mikono na kijifuta kwa taulo safi jeupe. Amesema kuwa atashiriki kwenye chakula cha jioni siku ya...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Sisi #thecommonwananchi tunauliza sijui sijaona mtonyo ukirudishwa wa ile game iliyochakachuliwa ya Simba na Yanga, sisi watanzania ni wazuri sana wa kusahau na kuvumilia mengi. Nawezekana...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimezungumza Mara nyingi na wanaonielewa wananielewa. Simba wanakikosi kimekaa pamoja wachezaji wake zaidi ya 70% wamepata challenge nyingi na kubwa kubwa kuliko hizi timu zetu za ligi yetu...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii ni kutokana na taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) muda mfupi uliopita.
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Usiku mzuri huu, Saa chache zijazo kitapigwa kipute cha haja. France Line Up!
2 Reactions
155 Replies
9K Views
Hii ni somo fupi iliyoambata na mifano halisi juu ya sheria namba 11 (kuhusu offside). Ni moja ya sheria inayowapa shida watu wengi sana kuitafsiri. Mfano kwenye mechi ya Yanga vs Mwadui kuna...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Haya Mwenzenu huyu ( tena Waziri ) na Mfadhili wa Kujificha Mwigulu Nchemba kasema hivi nyie ni nani mumkatalie? Chanzo: TBC1 Bunge Live hivi punde tu.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
With Barcelona now confident Lionel Messi will stay at Camp Nou, president Joan Laporta is understood to be focusing on how to build a new super-team - and is working on a deal to bring Juventus...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiandika hapa JamiiForums na kusema wazi wazi kuwa huko Yanga SC kuna 'Fukuto' Kubwa mno ila limefichwa na Siku 'likitumbuka' huenda Moto utawaka. Nilishasema kuwa Yanga SC hasa kwa...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Patashika ya Ligi Kuu Kuendelea kupigwa leo Juni 22 2021, ambapo Mabingwa wa Nchi wanawakabili Mbeya City Uwanja wa Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam. Mchezo huu unatarajiwa kuwa mkali na...
8 Reactions
145 Replies
12K Views
Muhuni kaizer chiefs. Anaongoza 1-0 ugenini morocco.. thanks to Var technology... kuanzia semi final caf wanaeka var kumbe Huyu muhuni baada ya kumuotea simba leo anaendeleza bahati yake ugenini
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Sheria ziko wazi hadi fifa wanasisitiza kwamba youth teams hakuna kuvaa jezi zenye nembo ya makampuni ya kamari. Hawa jamaa michuano ya under 20 walivaaa jezi zenye nembo yq sportspesa
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna watu wakiongelea ligi yetu gape la mechi la kulinganisha na ligi ya uingereza unaweza ukadhani karia ni shetani aliyeandikwa kwenye vitabu vya dini..angalia ligi ya misri wana teams kama sisi...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Inasikitisha sana Mo ni tapeli sana Top 10 richest Football clubs in Africa 2020/21. 1. Al Ahly SC Flag of Egypt-$28.2m 2. Mamelodi Sundowns Flag of South Africa-$24.4m 3. Pyramids FC Flag of...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Italy Argentina Spain Iceland Croatia Turkey Ongezea zako
4 Reactions
114 Replies
7K Views
Wakati watani zao wa jadi wakiambulia ushiindi kiduchu wa kigoli kimoja Yanga wamefanikiwa kutia nyavuni bao sita kwa mechi mbili tu.
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habarini wakuu. Nimekaa nikawaza. Binafsi napenda sana kucheza soka la kujifurahisha. Nimekaa nikawaza tunaweza humu watu kadhaa tukajipanga tukaja na timu yetu ya maveteran umri kuanzia miaka...
0 Reactions
5 Replies
803 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…