Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Katika mpira wa miguu ambao uwa unasimamiwa na Sheria mbalimbali ambazo zinazotolewa na FIFA, kuna baadhi ya Sheria zimeondolewa. Ukiwa kama mpenda soka je Sheria gani unaikumbuka Sana ambayo...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Hakuna cha Wilder, Fury, Joshua wala nani. Kwa sasa kuna mwamba m1 anaitwa Afe Ajagba. MnaNigeria huyo. Anapigana uzito wa juu. Baba! Ukimaliza round 3 wewe unabahati. Jamaa anapiga ngumi nzito...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
1. Nidhamu mbovu ya Wachezaji Watatu Lamine Moro, Metacha Mnata na Michael Sarpong huku wengine wakipigana, kurogana hadharani na hata kutukanana. 2. Tabia mbaya ya Usodoma na Ugomola aliyonayo...
13 Reactions
23 Replies
4K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Jumamosi Mei 29, 2021 ambapo Namungo FC wakiwa dimba lao la nyumbani kuwakabili Mabingwa Watetezi Mnyama Mkali...
11 Reactions
296 Replies
24K Views
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo ambaye alishinda kwa KO dhidi ya Bondia Antonio Mayala wa #Angola pambano lililofanyika Mei 28, 2021 Mwakinyo amesema kwa mara ya kwanza angeweza kugoma kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Huku tukiendelea kutafakari Nkataba wa Azam tupate inputs mbali mbali ufuatao ni mgawanyo wa fedha kwa epl 2019/20 Bingwa yaani liver pool alipata euro milioni 174 sawa na bilioni 573 za madafu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimerejea tena kuitazama post yangu ya tarehe 2 June mwaka huu. Niliipa kichwa cha habari, "PEP GUADIOLA NI KOCHA WA KAWAIDAA MNOOO". nilitoa mtazamo wangu kuhusu hyu kocha uchwara anae...
31 Reactions
192 Replies
14K Views
Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno. Tupia utabiri wako hapa. Utabiri wangu. Chelsea 0 vs Man City 3 Either Players to...
5 Reactions
76 Replies
6K Views
Chelsea hii ya kuwaanzisha Reece James na Azipilicueta waanze pamoja (no creativity)? Chelsea hii ya kutuaminisha kuwa Timo Werner ni mchezaji mzuri wakati ligi inaonekana imemshinda? Chelsea hii...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
GEITA GOLD MABINGWA WA LIGI SOKA DARAJA LA KWANZA... Klabu ya Geita Gold ya mkoani Geita imefanikiwa kuutwaa ubingwa wa ligi soka daraja la kwanza Tanzania bara baada ya kuichapa Mbeya Kwanza bao...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Hizi ndo timu ambazo zimebeba UEFA CL toka mashindano yalipoanzishwa mwaka 1955 ambapo wakati huo mashindano haya yakijulikana kama European Cup mpaka mwaka 1992 yakabadilishwa jina na kuitwa UEFA...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kitendo ulichofanya leo dhidi ya kocha wa Geita Gold sio kizuri hata kidogo kwa afya ya soka letu, umeonesha chuki na ubaguzi. Umekataa kumshika mkono Minziro kisa nini?
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Haya haya amkeni kuna goli la utata huku linawekwa kambani na yule yule. Kusema kweli TFF inatuonea sana kwa nini inakubali magoli kama haya?Sie tumekosa nini jamani!??Kwa nini mwamuzi hajatoa...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Kimzaha mzaha wakati inaonekana anahangaika kuipandisha brand ya Simba ukweli ni kwamba kwenye issue ngumu ni muoga sana, Simba ilipofikia kuna siku itechaza hata na Manzese united wakasema simba...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za kusikitisha kutoka zambia,mke wa mchezaji nguli wa simba sc amefariki dunia. === #ZSUpdates is saddened to learn the passing of Chipolopolo boys midfielder Clatous Chota Chama's wife...
9 Reactions
61 Replies
10K Views
Hii kombe uwa halibebwi na mtu anayeenda faina kwa Mara ya kwanza kama kuna timu ilitoke ikafanya hivyo karibuni nikumbushwe ila ukweli mchungu hata Chelsea walipoingia kwa Mara ya kwanza...
17 Reactions
45 Replies
4K Views
Hapa nchini timu mbili tu ndizo zinazowapa jeuri Azam tv,TFF. Yaani Simba fc na Young Africans (Yanga). Kwa kuwa viongozi wa timu hizi mbili wanachaguliwa na wanachama ni sawa na Barcelona na Real...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Akili yangu huwa inapingana sana na wachambuzi wengi wa hapa kwetu.Huwa mara nyingi wanatumia hisia zaidi kwa kujifanya wao ni wazoefu na kushindwa kuangalia ukweli wa soka lilivyo. Jana wengi...
2 Reactions
4 Replies
935 Views
Nakumbuka wakati tunakua miaka ya 90s kulikua na Taifa Cup ambapo mikoa yote ilishiriki na wachezaji wakubwa pia walishiriki hii iwaweza ufufua. Vipaji na kuonesha uzalendo uliofufuka! Pia...
0 Reactions
6 Replies
828 Views
Hii ni vita Kati ya mashabiki wa timu moja wengine wakiamini kwenye uwezo wa kagere na wengine wakimuamini Mugalu. Vita ilienda mbali zaidi hasa wakimshutumu kocha kuwa ana kaugomvi na baadhi ya...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…