Baada ya TFF kuona Mechi za Nusu Fainali ya ASFC zinahusisha Timu Kubwa na zenye Ushawishi nchini Simba, Yanga, Azam na hata Biashara United FC tayari Krav Maga nimeshtukia Jambo.
Barua kutoka...
Kaimu Msajili (Abeli Odena) naye ni ndg yake John Bayo. Je haki ya kumchukulia hatua Bayo itatendeka? Wote wenye mamlaka ya kimaamuzi ni ndg zake akiwemo Kaimu Msajili wa Vyama vya Michezo na...
Mjue N'Golo Kante a.k.a Mkata umeme
Jina kamili; N'Golo Kante
Siku ya kuzaliwa; 29-March-1991
Miaka; 27
Mahali alipozaliwa; Paris, Ufaransa
Urefu; Meta 1.69 (Futi 5 na inchi 6½)
Nafasi; Kiungo...
Ndvyo ilivyokuwa uko Ruangwa Simba sc dhidi ya Namungo akitokea benchi, Bernard Morison anafunga bao moja kali sana ambalo linawezekana likawa bao bora la ligi, Morrison amekuwa mtu wa masihara...
Wakuu, Tuko Next Door Arena.
Kuna mapambano ya Ndondi yanaendelea hapa.
Mpaka Sasa mapambano ya Raundi nne yameisha Mawili na Yote Tz tumepoteza.
Lets Go. Pambano la Tatu sasa.
Naona Mkongo...
Nnalo kwenye sim hili game nashukuru nimevuka hatua kama 4 ila nimekwama hapa kila nikitia mkono nagongwa
kama nguruwe nwaza sijui ningekuwa na watoto wangap😅😅
Msaada wenu tafadhali
Uongozi wa Inter Milan yapata saini ya Simon Inzhagi kuwa kocha mkuu wa Inter Milan baada lazio kushindwa kuafikiana makubaliano ya mkabata mpya hivyo kuacha milango wazi kwa kocha Inzhagi...
Kwangu mimi hii ni timu bora ya wakati wote kwa ngazi ya klabu. Walifanya kila kitu katika mchezo wa soka, walinyanyasa timu zote kubwa, ilikuwa ushafungea kabla ya kuingia uwanjani. Unakubaliana...
Tff wametengua jina la Dilunga 'Hd' lililotangazwa na Kocha wa timu ya taifa na badala yake kumuweka Mudathir Yahaya kwa kusema kua lilikua limetokea kwa makosa ya kiuandishi...najiuliza hayo...
Sheria ya goli la ugenini iliyokuwa inaipa nafasi ya kusonga mbele timu iliyofunga magoli mengi ya ugenini kwenye mashindano ya UEFA hivi karibuni itaondolewa.
Sheria hiyo inayotumika kwenye...
Liverpool imefikia muafaka wa kutokumsajili Ozan Kabak aliepo kwa mkopo kutoka Schalke 04. Beki huyo alisajiliwa kwa mkopo kipindi Liverpool ilipokua na majeruhi wa takriban beki zake zote za...
Kiungo wa kati Luka Modric raia wa Croatia [emoji1082] aongeza mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu yake ya Real Madrid mpka (2021/2022) hii itamfanya kuichezea timu hio misimu 10.
Modric...
FC Barcelona wamefikia makubaliano ya mdomo na agent wa WIJNALDUM na ataitumikia timu hiyo mpka 2024. Siku zijazo atasaini mkataba wake na maongezi yanaendelea kuona namna gani atapunguziwa...
Timu ya Mpira ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imemfuta kazi kocha wake mkuu Gavin Hunt kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo.
Hunt alijiunga na timu hiyo kuanzia Septemba 2020, na kutokea...
Habari.
Duniani hata siku moja hakukosi vituko kabisa hasa TFF.
Kuna taarifa hapa imeleta taharuki kwa wapenda soka baada ya mchezaji wa Wekundu wa Msimbazi Hassan Dilunga kutemwa nje ya kikosi...
Wapenda soko asalaam.
Hivi najiuliza sisi wapi tunakwama. Kama ligi nyingi zinaisha mwezi june 2021 mapema kabisa. Sisi yakwetu mpaka July hapo hapo TFF imeita timu ya taifa kujiandaa na mechi za...
Chelsea mpoo?
Fainali itapigwa jiji linaloitwa Istanbul, nchini Uturuki.
Kule kwa Sultan Suleiman Khan na Shghazad Mustapha.
Yes! Huko huko kwao Ertugru.
Mkifika pale wanaifahamu timu moja ya...
Simba mnajidai sana na team yenu. Naona jinsi mnavyocheza mpaka mnakera. Mnakera sana si kidogo. Na sisi Yanga tukikua tunataka kucheza kama Simba.
Ila nawaambia na sisi Yanga team yetu ikikua...
Nteze John Lungu,
Alikuwa ni winga machachari sana wa Klabu ya Soka ya Pamba iliyokuwa na makazi yake Jijini Mwanza.
Enzi zake akiichezea Pamba aliwapa kazi sana Mabeki wa Timu Pinzani.
Kwa...