" Kwa Kikosi hiki cha Simba SC kilichoishia hatua ya Robo Fainali juzi na jinsi kilivyo Imara na Wachezaji mahiri hakuna Mchezaji yoyote wa Yanga SC hii ya sasa anayeweza si tu Kucheza bali hata...
Najiuliza na kutafakari hivi thamani ya Simba Sports Club bado ni billion 20 au itakuwa imeongezeka kufuatia mafanikio waliyopata kwenye michuano ya Cafcl.
Naamini thamani ya klabu za mpira...
TWFA CHAIOMBA SERIKALI KUSIMAMIA UCHAGUZI
Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake Tanzania (TWFA) kimeiomba Serikali kuingilia kati usimamizi wa uchaguzi wa viongozi wa chama hicho unataofanyika...
Haijatimia mwezi tokea Kocha Antonio Conte (51) achukue ubingwa wa Serie A. Huu ulikua msimu wake wa pili kuifundisha timu hiyo iliyo chukua ubingwa kwa mara ya kwanza tokea 2010. Kuwepo kwa...
Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Mchezo waliouonyesha Yanga dhidi ya Mwadui imeonyesha kwa kweli Yanga bado sana.
Naishauri Klabu ya Yanga isajili wachezaji wenye...
Simba hawajapoteza mchezo kwenye Mechi 13 za mwisho za CAF Champions league wakiwa kwenye uwanja wa Mkapa tangu 2018.
[emoji3581] Simba 4-1 Mbabane
[emoji3581] Simba 3-1 Nkana
[emoji3581] Simba...
Katika nyanja ya kandanda kwa kiwango cha vilabu vya mpira ulimwenguni, bara la Ulaya linaongoza kwa umaarufu likipambwa na ligi 5 bora kutoka mataifa 5 ya Uingereza, Ujerumani, Uitaliano...
Yanga kama wanataka kuongeza kikosi chao waongeze wachezaji wafuatao kutoka Simba.
Kahata ni bonge la mchezaji ila Simba hana namba, Kagere the same, ame bonge la beki tatizo namba ni issue...
Habari kama hizi makanjanja huwa wanazikaushia hapo lazima uwasifu mafioso wa utopoloni kwa jinsi walivyoweza kulifanikisha hilo.
Hao jamaa ni bora wa discuss tweets za Mo Dewji kwa lisaa limoja...
Ufuatao ni Mchanganuo wa Alama wa kwanini Msimu ujao katika Michuano ya Kimataifa Tanzania inaingiza takribani Timu Nne.
Simba SC imechangia Alama (Points) 24 kutokana na Kushiriki Kwake na...
Yule striker wa Kaizer Chiefs aliewafunga Simba goli mbili peke yake timu yake ikiibuka na ushindi wa magoli manne, amekisifu kikosi cha Simba SC kwa kandanda safi waliloonesha kwenye mchezo wa...
UEFA have opened 'disciplinary proceedings' against Real Madrid, Barcelona and Juventus for their part in leading the European Super League project.
Hawa ndiyo machampion pekee waliobakia na...
Najua kuanzia sasa nguvu Kubwa ya Kupindua Meza (kwa Fitna za nje ya Uwanja) zitaanza Kutumika ili Kuwafunga Kaizer Chiefs FC Wikiendi ijayo huku tukidanganywa sana kuhusu uwezo wa Timu yetu na...
"Kama Mchezaji wa Simba SC nimesikitishwa sana na Kauli za huyu Patrick Gakumba kuhusu Mimi na Uhusiano wangu na Kocha Gomez "
"Nikiri tu kwamba namjua Patrick Gakumba ila nashangaa ni kwanini...
Haya haya amkeni buanaaaaa! Huko utopoloni mambo ni faya sana sema jamaa nawasifu jinsi walivyoweza kuyashikilia makanjanja wa nchi hii.
Kamwe hutasikia lolote baya kuhusu hawa jamaa kuanzia wale...
Hatimaye yametimia!
Ongezeko la timu nne kushiriki mashindano ya CAF msimu ujayo yamekuja baada ya mafanikio ya SIMBA SC kufanikiwa kufika robo final licha ya kutolewa na Kaizer Chiefs ya South...
Beki wa Manchester city Aymeric Laporte mzaliwa wa Ufaransa ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uhispania kitakachoshiriki mashindano ya Euro 2022.
Mwaka 2019 beki huyo aliitwa kwenye...