Ni vema jambo hili likafanyika haraka ili mtuhumiwa huyu asikimbie , maana zipo tetesi kwamba Karia ni raia halali wa Somalia , amehujumu mechi hii kishamba sana na asipokamatwa nitashangaa sana ...
Mtakumbuka siku kadhaa zilizopita, mmoja wa wachambuzi maandazi na chawa wa GSM aliandika akiwashauri yanga wafanye kama walivyofanya man united ili kuepuka kipigo kutoka kwa Simba.
Ninachokiona...
Simba mtoani Kaiser Chief nusu fainali Muingie fainali..! Ndio...! Historia itasema kuwa Yanga wali utilise loophole ya kubadili ratiba kukikimbia kikosi hatari cha Maangamizi cha Simba 8/5/2021...
Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii...
Kwamba serikali nzima imeshindwa kugundua kwamba leo tukio kubwa ni Gemu ya simba na yanga.
Na kumpangia siku nyingine mwinyi? Yaani hatuna kabisa watu wa kushauri serikali kwanza mwinyi mwenyewe...
Watatokea wajinga hapa watasema mimi ni utopolo ila jana Yanga mmmetusitiri Watanzania tusiopenda dharau mmetupa heshima nimefuwarahia sana.
Sasa nataka kujua kama team yangu ya simba itachukua...
Mkazi mmoja wa mkoa wa kigoma jina kapuni ametangaza kukimbia kutoka kigoma Hadi Dar kwa miguu kuja kutazama mechi ya Simba na Yanga tarehe 8 June mwaka huu
Huu ni muujiza anataka kutuaminisha...
Kila mtu anadai mechi ya Simba vs YANGA ya tarehe 8/5/2021 iliahirishwa.wajitokeze hadharani watujibu yafuatayo
1: Nani aliahirisha?
2: Kwanini iliahirishwa?
My take: Mechi ya jana Yanga aligomea...
Siamini kama Rais Samia alikataza mechi hii kubwa isiendelee kisa ni uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mwinyi ulioandamana na birthday yake.
Matukio yote yalijulikana mapema na yalipangwa mapema...
Hii ni aibu kubwa kwa wizara husika kusogeza mbele muda mechi ya watani wa jadi Kati ya Simba vs yanga.
Waziri Bashungwa unapaswa kujiuzulu leo ndani ya masaa 24 kutokana na hali iliyotokea kwani...
Kulingana na mtafaruku uliotokea leo baada ya sintofafaham iliyoletwa na bodi ya league haya ni maswali ambayo nimejiuliza nakosa majibu na nimeamua kuyaleta kwenu wadau wa Soka na hasa mashabiki...
HEMED KIVUYO
Kilichotokea uwanja wa kumbukumbu ya Benjamin Mkapa Siku ya pambano la Simba na Yanga ingalikuwe Ni nimojawapo ya Nchi za Ulaya, muda huu kinachosambaa mitandaoni Ni barua za...
Hii ndio maana halisi ya Utopolo. Huyu utopolo hata kanuni za kupewa point 3 hazijui. Sasa Simba Sc inahusika vipi?
Msingekuwa Utopolo mngefanya maamuzi mawili.
1. Kuingiza timu saa 1 mkacheza...
Wakuu Habari za saizi.
Aibu ya jana mechi kuahirishwa aisee inaonesha viongozi wetu hawana weredi kwenye kuongoza mpira ndio maana miaka yote soka letu lipo pale pale tu.
kwenye taarifa yao...
Kocha Mwinyi Zahera aliwahi kulalamika kipindi akiwa kocha akicheza dhidi ya JKT Tanzania
Awali mechi ilikuwa ichezwe saa kumi na mbili jioni lakini Tff walibadilisha muda hivyo wakaharibu...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani leo alikuwa mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kitabu cha Maisha ya Rais Mstaafu Mzee Ally Hassani Mwinyi
Viongozi Wakuu waliohudhuria ni Waziri Mkuu, Spika wa...