Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Uyu jamaa yuko katika hali gani,kutoka kigoma mpaka dar kwa miguu si mchezo.alafu mechi inahairishwa kizembe
0 Reactions
1 Replies
772 Views
Hii ni fedheha, changamoto ipo, Hii haijawahi tokea, pole wa mashabiki na wote mlioenda uwanjani, poleni kwa kupasuka
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Toka sekeseke la kuvurugika kwa mchezo wa watani wa Jadi,Wizara ya michezo imekuwa bubu licha ya TFF kueleza kuwa ilipokea maelekezo ya kubadilisha muda toka Wizarani. Kuna usemi kwamba "If you...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Wakulungwa naomba tutafute namna ya kumfariji huyu ndugu yetu.
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwanza niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi iendelee Ili mchezo wowote uendelee na kuwa sawa kunakuwa na kanuni mama za kuongoza mchezo huo, kwa manufaa ya wasimamizi na...
1 Reactions
12 Replies
840 Views
Wazo la kuahirishwa kwa mechi bila shaka limetolewa na msomi wa chuo kikuu aloyeaminiwa kupewa kazi kwa usomi wake.Huyu hakuangalia maslahi ya washabiki amabao tangu saa moja asubuhi wameingia...
6 Reactions
3 Replies
1K Views
Timu ya Yanga baada yakugomea muda wa mechi na hatimaye kuagirishwa Simba imenufaika kuahirishwa kwa mechi hiyo. Kwani mpaka kuja kukutana na Yanga tena Simba itakuwa imeshapunguza idadi ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunaweza tusikichukulie kwa jicho la tatu ila kitendo kilichofanywa na yanga ni cha kishujaa na manufaa makubwa ya soka letu. Kama hii mechi ingechezwa leo saa 1 usiku basi tayari ndio ingekuwa...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa sisi Young Africans tumewaachia tuone huo mtanange wa saa moja kati ya Simba Sc Vs TFF. Mechi na imani watani zangu wataicheza vizuri huku kukiwa na mgeni rasmi ila sisi wananchi tutakuwa...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Kupitia tukio la leo la mechi ya Yanga na Simba nimejifunza kitu, HEBU TAZAMA; 1.Wasanii wa muziki wanalalamikia BASATA 2.Wasanii wa Filamu wanalamikia bodi ya filamu 3.Mpira wa miguu tatizo...
0 Reactions
1 Replies
433 Views
Wakuu poleni kwa taharuki ya leo ya mechi ya watani wa jadi YANGA NA SIMBA kuahirishwa na TFF bila kufuatwa kwa kanuni na pengine mbaya zaidi bila hata sababu kwa wadau wote wa soka na wananchi...
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Binafsi mimi erythrocyte nachukua nafasi hii kumtangaza ndugu Wallace Karia, mtu aliyeingia madarakani kwa mgongo wa Malinzi kama adui wa taifa aliyedhamiria kuua soka la Tanzania kwa sababu...
11 Reactions
75 Replies
16K Views
Habar wadau Kila kona ni malalamiko leo mikeka imechanika na mbaya zaid game ya simba vs yanga imepigwa chin na kiingilio ushalipia toka saa 2 asubuh watu wapo uwanjan wakasema saa 1 gafla...
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Tumekuwa tukililia utawala wa sheria lakini napata fikra kwamba tafsiri yake tunaifinya sana kwa kuangalia tunayopenda kuyaona au kuyasikia. TFF wameweka kanuni tena inayotoa muda wa chini kwa...
2 Reactions
9 Replies
789 Views
Kufuatia sintofahamu ya mechi ya Simba kuahirishwa na Bodi ya Ligi, nashauri hela zote zilizokusanywa zichukuliwe na Serikali na ziwekwe kwenye budget ya huduma za kijamii. Kuwaachia hela hizo TFF...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Anaandika @exaud_msaka_habari Kuna watu wanauliza kwanini Mechi ya Yanga na Azam hakukuwa na Migomo? Huo ni muendelezo wa kuhalalisha kosa kwa kosa lingine Juzi tu hapo Biashara wamesafiri usiku...
2 Reactions
3 Replies
620 Views
Yanga waondoka rasmi uwanja Wa mkapa , wakigomea mabadiliko ya muda Wa mchezo wao uliotakiwa kuchezwa Leo saa 11 jioni na kupelekwa mbele saa 1 jioni Wachezaji na viongozi wao wote wameondoka .
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Wizara ya habari na utamaduni kwa kushirikiana na TFF kupitia Bodi ya ligi Tanzania wanatakiwa kujipima kwamba bado wanastahili kusimamia michezo hasa Mpira kwa kipindi hiki na kuendelea? Weledi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Tff kabla ya yote nadhani waanze kumfikiria ndugu yetu huyu aliyeingia jijini leo baada ya safari ndefu anaishije mjini hapa na anarudi rudi je Kgm? Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa upuuzi uliofanyika leo, mashabiki tususie mechi zote za timu za taifa ili Wizara ya Michezo na TFF wawe wanaenda viwanjani wao kushangilia hizo timu. Kwa jambo lililotokea leo ni kutudharau...
0 Reactions
0 Replies
403 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…