Too sad.
Siwezi sana kusema lakini wanasiasa mmeharibu sana kwa leo. CCM acheni kujifanya hii nchi ni mali yenu wala haitakuja kuwa mali ya wanasiasa ni mali ya Wananchi wa Tanzania. Watu...
SIMBA na YANGA ni timu zenye historia kubwa katika mpira wetu wa Tanzania tokea kuanzishwa kwake mpaka muda huu japo yawezekana historia ya klabu hizi haiendani na maendeleo ya hizi timu kwa...
Ni kiu yangu kuona uwanja wa Uhuru ukiwa na taa km ilivyo uwanja wa Mkapa, au Azam Complex.Lengo baadhi ya mechi zinazopangwa kuchezwa pale uhuru saa 8 mchana basi zichezwa usiku. Kucheza mechi...
Sina shaka kuwa haya maamuzi ya gemu kusogezwa mbele hayajamuliwa na waziri pekee naamini kuna baraka za mhimili uliojichimbia,
Hivyo basi Unrest huwa sparked kwa njia nyingi sana leo...
Salaam.
Kama Yanga wakiamua kudai haki yao ya pointi za mezani naona wana kila sababu ya kupata pointi tatu na magoli mawili.
Hii ni kwasababu walikidhi matakwa ya kanuni inayotaka wapeleke timu...
Mbona hawakususa mechi zao za azam na biashara kubadilishwa muda?
Waache kudanganya watu, utopolo wamekimbia kipigo cha mbwa mwizi kilichokuwa kinawasubiri leo taifa, na kwa taarifa tu, kipigo...
Shirikisho la soka la Dunia (FIFA) katika kanuni zake hukataza Serikali kuingilia masuala ya soka.
Kwa maelezo ya TFF ni kuwa maelekezo ya kusogeza mbele mechi ya Simba na Yanga yametoka...
Mechi tajwa itachezwa saa moja usiku
====
TFF inawafahamisha wadau kuwa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba SC na Yanga SC iliyokuwa ianze saa 11 jioni sasa itaanza saa 1 usiku...
Pisi kali huwa inakupa uhakika wa kuja mpaka mida ya kukaribia. Halafu dakika za mwisho kabisa inazingua bila kutoa sababu au kutoa sababu za kijinga.
TFF walitupa uhakika wiki nzima mpaka leo...
Kariakoo Derby kupigwa leo Jumamosi ya Mei 8 2021 katika mfululizo wa michuano ya Vodacom Premier League (VPL), ambapo Mabingwa wa Nchi Mnyama Mkali Simba SC, anapepetana na Mwananchi Yanga SC...
Wakuu, tueleweshane kidogo!
Sijashabikia mpira siku nyingi.
Ila kuna maneno mapya mapya siku izi kama UTOPOLO na VYURA.
Yanasemwa na kila shabiki, niulize Utopolo ni Yanga au Simba?
au ni ile...
TFF imetumia busara, imeamua kuahirisha mechi ya simba na utopolo ambayo itapangiwa siku nyingine!! Utopolo walitegemea simba ingepewa pointi 3, raha yao tu ni kwamba wamekwepa kichapo. Kwa...
Hivi Mbona Haji Manara hatulii ? Naona kamaliza vyombo vyote vya Habari Anafanya pre match analysis.
.....
Anachokifanya Manara Kisheria kinaitwa PREJUDICE, Yaani anatengeneza Maamuzi kabla Mchezo...
Kutokana na siku ya leo, tarehe na muda wa mechi, basi nyota za mchezo zinasema Simba hawatopata hata goli moja, huku nyota zikisema Yanga atapata walau magoli mawili.
Kwa minajili hii, nachelea...
Jana Ijumaa Kipindi cha michezo Mshike mshike saa 3:30 usiku kiliripoti kuwa hiyo jana Ijumaa alikua amefika Morogoro sasa leo Jumamosi hii saa 6:12 nipo hapa Kijiweni jamaa wanaongea kuwa eti...
Joto linazidi kupanda kuelekea game ya watani wa Jadi, Simba vs Yanga hapo kesho May 8.
Ukiwa kama shabiki wa soka bila kuangalia mapenzi ya timu yako weka ubashiri wako ni kwa namna gani unaiona...