Watu wengi washafika uwanjani lakini wakatisha tiketi wanaonekana ndani na machine zao lakini Wala hawataki kutoa huduma.
Je, huu sio uhujumu uchumi? Serikali mnataka mapato gani zaidi ya haya...
Final Champions League itakua kati ya
PSG vs R.Madrid
Kombe atabeba PSG
Europa League final itakua kati ya
Man U vs Arsenal
Kombe atabeba Arsenal
Tuombe uzima
Shusha utabiri wako.
Habari wakuu
Naandika huu uzi kama ombi kuhusu nyuzi zinazopigwa pin huko juu hasa hizi za timu.
Kwanini timu ndogo zinazocheza Europa zinapata airtime huko juu? Timu kama Arsenal, Yanga, Spurs...
Hii kauli imewatibua sana wana yanga haikubaliki inaonekana kama kakata tamaa au anauza mechi ya kesho, wan yanga inabidi wawe naye makini sana huyu mwarabu,yaani anaisifia simba kwa kandanda...
Wenye nchi ni wasomi wana mipango wanaujua mwingi.
Wananchi wengi hawana elimu,wanakwenda kwa mkumbo tu,wana ujuaji mwingi wa maneno.Leo tunataka mpira uchezwe.
Wenye nchi wanafanya mazoezi...
Simba SC mna ujinga flani hivi mnaamini eti team yenu bora hadi kwa Yanga SC. Hayo mkadanganyane huko huko vijiweni.
Uhalisia ni kuwa Yanga SC Jumamosi hatupotezi match. NARUDIA, YANGA SC...
Ni ushauri tu kwa mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Gondwe, maana vitu vingine ni bora tujifunze kuchukua tahadhari mapema isije kutokea majuto tena tukawapoteza.
Ni wazi mambo yanakwenda kuwa...
Wana JF hebu nifahamisheni kile kipigo cha Yanga jana dhidi ya mtani wake Simba je wana Yanga watakuwa wamejifunza nini, maana nimetafakari toka jana lakini sijapata jibu sahihi mpaka naleta maada...
Waasalaaaam Jf
Kichwa cha thread hii chajieleza.
Natabiri kuwa kuna timu kesho wakati wa mechi ya watani itazua vurugu .
Kuna mtani mmoja atacheza rafu sana, nyingine zitapelekea kusababisha...
Kuna watu wamechachawa na mechi ijayo ya watani ya tarehe 8 May, presha juu hawalali. Simba na Yanga wamecheza dabi toka miaka ya 30s hadi leo, na wataendelea kukutana miaka mingi ijayo labda hadi...
Wakuu CROATIA Bana League yao ina timu 10. Na kila timu head to head ya home&away zinakutana Mara 4 Yaani twice at home and twice away.
Jumla inachezwa Gemu 36 Mpaka apatikane mshindi. Bingwa...
Pamoja na kufanya vizuri kwenye champions league bado hofu ya Simba inabaki kwa Yanga kuliko timu yeyote ile, ukweli ndio huo na hili tunaliona haswa kupitia hata washabiki wake huku mitaani...
Ng'olo Kante, alitamani kombe la dunia lichezwe nchini Ufaransa kila mwaka, kwasababu mwaka 1998, alifanikiwa kuzoa taka nyingi kuliko miaka yake yooote ya kuzoa taka mitaani.
Kante alizaliwa...
Bado jamani tusione kama tayari tushaingia fainali kikubwa ni kumuomba mungu pia tuingie fainali ya mashindano haya hii ya kusema Madrid nyumbani hatoki tusijipe asilimia zote kwani lolote...
Siku zinazidi kuchanja mbuga kuelekea pambano la kukata na shoka Kama sio Mundu Kati ya Watani wa Jadi Katika uwanja wa Benjamini Mkapa.Mchezo huo utachezwa majira ya saa 11:00 Jioni
Kuelekea...
Michezo miwili ya nusu fainali ya Europa kurindima hii leo majira ya saa 4:00 usiku katika viwanja viwili tofauti ,ambapo Roma itakuwa nyumbani kuialika Manchester United huku Arsenal...
Usiku wa jana imeshuhudiwa Timu ya Manchester City kutoka Uingereza ikishinda goli 2-0 dhidi ya PSG na kutinga Fainali
Usiku wa leo majira ya saa 4:00 Timu ya Chelsea itakuwa nyumbani kuikabili...
Aliyekuwa Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Mexime ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa kituo cha kuibua, kuzalisha na kulea vipaji vya soka cha Cambiaso Sports Management.
Akizungumza leo mapema kwenye...