Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mmecheza vizuri, kwa yoyote anaejua mpira atakubaliana na mimi kwamba timu iliyokua bora uwanjani ndio imeshinda. Kuna masuala madogo madogo naamini yatafanyiwa kazi kazi la kwanza kabisa ni...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Aliyekuwa winga wa klabu za Simba na Yanga, Bernard Morrison amempa maua yame kipa Aishi Manula kwa kiwango kizuri alichokioinesha katika mchezo wa kufuzu Afcon 2025 dhidi ya Guinea. Morrison...
2 Reactions
3 Replies
558 Views
Wakuu kutokana na rekodi kubwa aliyoweka huyu mwamba kutoka Tanga nashauri kwenye vile viwanja vikubwa vya soka vitakavyojengwa basi kimojawapo kiitwe Karia Stadium Chini ya uongozi wake kwa mara...
1 Reactions
5 Replies
273 Views
Wakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye...
6 Reactions
99 Replies
9K Views
Wasalam Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu Historia inaonyesha Simba...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Kuna Mashabiki wa Team ya Taifa Jana walikua wamejipanga Kwa Mkapa, wakisema wamechoka na Maumivu ya kufungwa. Team imekua Kama Homa ya Vipindi, Tena ni Bora Team ya Taifa ikawa inacheza tu away...
3 Reactions
3 Replies
304 Views
"Kikosi kwa sasa kinaendelea na programu ya mazoezi kikijiandaa na mchezo dhidi ya Pamba. Leo usiku tutaondoka kwenda Mwanza na wachezaji wanne waliokuwa Taifa Stars na Camara aliyekuwa timu ya...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Wakati tunafurahia matokeo haya, tujiulie: je, ilikuwa sahihi kwa refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa? Wachambuzi tusaidieni na wote tuweke ushabiki pembeni. All In all, hongera Taifa...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Ili tubaki kama Taifa naombea Guinea ishinde. Itakuwa jambo jema sana. Taifa Stars huwa inakuwa ya wote inaposhindwa tu. Ikishinda kuna wartu wanaifanya kuwa ni yao.
14 Reactions
30 Replies
796 Views
Its match day!! Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni. Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi...
17 Reactions
584 Replies
20K Views
Kiukweli ushindi wa Leo bila mashabiki ungekuwa mgumu sana, wachezaji wamejitoa baada ya watanzania wengi kuingia uwanjani. Naishukuru sana serikali ya CCM ikiongozwa na Dk. Samia Suluhu Kwa...
6 Reactions
30 Replies
783 Views
Wakuu salam, Rais, chawa wako na CCM hamuoni kama mnazidi kuididimiza soka mwishowe na yenyewe iwe kama ilivyokuwa ngumi kipindi kile? TUmefikia hatu tunaombea tufungwe ili tu kuwakomoa CCM...
3 Reactions
3 Replies
254 Views
Kesho kwetu ni fainali, naiona safari ya Morocco kama kila mtanzania mwenye uchungu na uzalendo na nchi hii ataomba dua na sala kwa ajili ya wachezaji wetu na nchi kwa ujumla. Kiukweli umoja na...
-1 Reactions
25 Replies
813 Views
Itachukua muda kwa hii record kufikiwa na vilabu vingine vya Tanzania Tusisahau pia Manura kaingia kwenye kikosi cha Tz kuchukua nafasi ya A. Salim (kipa wa Simba) ambae alikua akidaka first eleven.
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Watanzania ni mashololo ,ni mabishoo ni watu wasiopenda shida hawajui hamasa ila wanachojua wao ni kulaumu na Kutukana basi !tungepeleka wanafunzi wa secondary na vikundi vya hamasa vya ccm ,bendi...
1 Reactions
3 Replies
262 Views
- Jake Paul aibuka mshindi..... Score ilivyokuwa baada ya pambano. - Pambano limeishaaaaaa! - Jake anarusha ngumi huku kama anamsubiria Mike hivi, ila Mike anaonekana kachoka, zimebaki sekubde...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Tanzania tuko katika nafasi ngumu ya kufuzu kushiriki michuano ijayo ya CAF hii ni baada ya Guinea kuifunga Congo DRC bao 1 kwa 0 na kushika nafasi ya 2 wakati Tanzania ni ya 3.Ili Tanzania ifuzu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Nawasha TV nakuta Kuna mechi kati ya Yanga Princess na Simba Queens kwenye uwanja wa KMC. Mpaka Sasa naona tayari Simba Queens wametangulia moja bila dhidi ya Yanga Princess.
3 Reactions
23 Replies
785 Views
Unafiki Kwangu ni mwiko kutokana na hii Timu kuwa ni ya Kisiasa zaidi naiombea Mabaya leo na isiende 2025 AFCON.
10 Reactions
54 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…