Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimewahi kuandika humu jambo kama hili lakini wadau uchwara wakanipinga , lakini sasa imethibitika kwamba bila fungu Morinho si lolote. Ni kocha asiye na mbinu zozote za ufundishaji zaidi ya...
3 Reactions
221 Replies
15K Views
Nilijua leo hawa wajomba wapo uwanjani, ila hadi sasa sijaona kwenye mitandao. Wale mashabiki lia lia huwa wanatupa burudani mitandaoni kuliko timu yao.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii biashara inachukuliwa katika hali ya wepesi sana nadhani pia ni sababu serikali haijaweka mkazo kwa adhabu kwa wale wanaotengeneza jezi fake. Yes ni ngumu kuzuia jezi fake mtaani but hebu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nakumbuka kabisa huyu jamaa yeye na Hassan kessy ni mabeki walioondoka simba kwa nyodo na kejeli sana na wote wakaishia kutupiana maneno na Haji Manara kisa tu Simba ilikuwa na hali mbaya kipesa...
4 Reactions
58 Replies
6K Views
SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU BARANI AFRICA (CAF) LIMETOA ORODHA YA VILABU 50 BORA AFRICA. KLABU YA SIMBA IKIWA INASHIKA NAFASI YA 32. TIMU YA YANGA IKIWA HAIPO KABISA KWENYE ORODHA HII YA TIMU 50...
3 Reactions
83 Replies
82K Views
Salaam. Leo nimeona iwe vyema kuwaletea maajabu ya huyu Kijana, anaitwa Mbuyu "Junior" Twite. Kuna facts za Ajabu sana kuhusu huyu kijana tangu aliposaidiwa na Agent wake "Aden Rage" kutua pale...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, samahani naomba kuuliza kwa wale wafuatiliaji wa kipindi cha Sport Headquater EFM 09.00 asubuhi hadi saa 12.00 NAOMBA KUJUA ALIPO MCHAMBUZI NGULI NA KIONGOZI WA MICHEZO E FM IBRAHIM...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Msemaji wa Mabingwa wa Nchi, Haji Sunday Manara leo saa sita mchana kuna tukio kubwa la ugeni kutangazwa. Tetesi zinasema anaweza akawa anatangazwa Papaa Mwinyi...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Timu ya Yanga imewahi kuwa na na Makocha wengi sana wazuri kabisa na walioipa mafanikio makubwa sana timu hii , ikiwemo kubeba vikombe kadhaa lakini hawajawahi kusifiwa kama anavyosifiwa huyu...
10 Reactions
153 Replies
18K Views
Wadau naomba mnafahamishe juu ya kazi sahihi ya Mwinyi Zahera je ni Msemaji wa Yanga au ni Kocha wa Yanga? Napata taabu kumtofautisha na Msemaji wa Simba Haji Manara kwani kila siku Mwinyi Zahera...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Aliyekuwa kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kesho Jumatano alfajiri anarudi Tanzania kufuata malimbikizo ya madeni yake kwa uongozi wa klabu hiyo Zahera alifungashiwa virago vyake baada...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu leo tuongee kuhusu mambo ya mpira na ushabiki, kwa kweli kwa maoni yangu hivi club huwa inamuwakilisha nani, tumekua na washabiki wengi sana wa club kuliko washabiki wa timu ya taifa. Club...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Anaandika✍️ ALLY KAMWE Mambo 10 nilioyaona Mwadui vs Simba 1: Football At its Best🙌 Zimepigwa dakika 90 za akili, hofu na mipango mingi. Haikuwa perfomance nzuri kutoka kwa Simba lakini mwisho...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kwa anaejua ratiba atuwekee hapa tujue atacheza na nani, ataanzia nyumbani au ugenini.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama cha vilabu vya soka barani Ulaya, ECA, amabcho kinawakilisha vilabu 246 Ulaya yote, kimeandika barua kwa Shirikisho la Soka Ulaya, UEFA, kupinga mpango wa baadhi ya vilabu kuanzisha ligi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanabodi wapenda michezo kuamkia siku ya leo majarida mengi ya michezo duniani kote yameandika ujio wa supercup kwa baadhi ya timu za ulaya. Ujio huu wa supercup unakuwa tishio kwa ligi zingine...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Uefa super league ni wazo la miaka ya 1990 ambayo baadhi ya vilabu vikubwa vilipendekeza kucheza wenyewe kwa wenyewe kwenye jumla ya timu 16 kubwa. Uefa na Fifa walipinga vikali suala Hilo kwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Benjamin Asukile ''Sisi hatuna pira biriani sisi tunapiga gwaride na sasa tumeongezea kwata kidogo, jeshini hakuna urembo wala biriani. Hatuiwezi biriani itatupalia tu ndio maana tunacheza mpira...
8 Reactions
45 Replies
9K Views
Happy birthday World Football Entertainer of all The Time Ronaldinho Gaucho,
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kila mtu ana maoni yake, yangu ni haya; Dirisha lililopita la usajili, lile kubwa na dogo, Simba walifanya sajili kwa utulivu wa hali ya juu sana. Walitulia na kuangalia mahitaji ya timu, ndiyo...
8 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…