Achana na kina usman, mac gregor au kina Israel adesanya alietembezewa kichapo na Alex kwa mara ya tatu mfululizo.
Hili jamaa la kuitwa Jon Jones ni habari nyingine kabisa, kapoteza pambano moja...
Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia...
Ramovic alitangaza kujiuzulu nafasi yake kama kocha mkuu wa TS Galaxy kwenye televisheni baada ya timu yake kutoa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa ligi Kuu msimu huu.
Alipohojiwa na iDisk Times...
Cristiano Ronaldo's Brother Hugo: A Story of Addiction, Redemption, and Family Support
Cristiano Ronaldo, one of the world's most renowned footballers, is known for his incredible skills on the...
Mashabiki wa hizi team... Wanakuwa hawana akili. Asilimia 80 plus. Usibishe.niamini mimi. Msikilize anachoongea Ali Kamwe na anachofanya akiwa ameambatana na mashabiki hao hao. Ni hovyo kabisa...
Ktk kipindi hiki muhimu kuelekea mchezo wa kufa na kupona kuelekea kufuzu AFCON.
Badala ya kuhamasisha umoja wa timu, wao wanajadili nani bora kati ya Msuva na Samata.
Nadhan tuna safari ndefu...
Ni vichekesho kwa mbumbumbu eti wanaiponda cv ya kocha mpya wa yanga wakati ajawai kushusha timu daraja kama ilivyo kwa kocha wao fadlu ambae aliishusha Martizburg na akatimuliwa!
Kama cv...
Ikitokea Club ya Simba SC kufungwa na Yanga basi naona kabisa itafikia makubaliano ya kuachana na kocha wao Raia wa Afrika Kusini Fadlu Davis.
Baada ya Simba kukandwa....kula chuma 6_0
Sorry...
Baada ya kuitumikia Yanga kwa siku 511, kocha Miguel Gamondi leo Novemba 15, 2024 ameonyeshwa mlango wa kutokea kwa kile kinachoonekana ni uongozi wa Yanga kutoridhishwa na mwenendo wa timu msimu...
Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!
Mpira umebadilika siku hizi…
Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena.
Vincent...
Baleke
Musonda
Aucho
Pacome
Dube
Yote kwa yote viongozi wa Yanga wamekurupuka kutuletea kocha asiye na profile kubwa
Ts Galaxy ...michezo 30 kashinda mechi 12 kapoteza 10 kadraw 8
Hapa wananchi...
Sasa itakuwaje wakuu.
Sead Ramovic kocha mkuu Yanga SC aliwahi kuzungumza katika moja ya mkutano na waandishi wa Habari Afrika Kusini alisema;
"Kwenye timu yangu sitaki Pombe, sitaki wachezaji...
Sead Ramovic ni raia wa Ujerumani aliyezaliwa huko Stuttgart tarehe 14 ya Mwezi Machi mwaka 1979. Hivyo ana umri wa miaka 45. Pia, Kocha huyu ana uraia wa Bosnia.
Kocha huyu ana Leseni ya UEFA...
"Kama mmeamua Kuhama hameni kimya kimya na acheni kuanza Kutuchafua kwani hata Sisi tuna yenu mengi sana tu ila tumeamua kunyamaza lakini mkiendelea na Upuuzi wenu tutaisimamisha nchi kwa kusema...
Oyoooo! Wabetiji!? Twende kazi Sasa wale wenye access na Netflix msitusahahu wengine tunasubiri pambano litakapokuwa linezagaa YouTube turudie.
Inaonekana Tyson bado ana speed yake ya 5g, wakati...
Miaka kadhaa takwimu zinaonyesha kuwa Simba imekuwa ikiinyanyasa sana Yanga kwa kuifunga idadi kubwa ya magoli hadi goli tano.
Yanga ilikuwa ikishinda unakuta ni kagoli kamoja tu au viwili...
Mapema mwezi Juni Yanga walifanya Mkutano Mkuu na hapo ndipo walimtangaza Miguel Ángel Gamondi kuwa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na kutokana na mafanikio yake na Wananchi ya msimu wa 2023/24...