INGIA kwenye hii page soma kwa makini fatilia kuanzia 2017 utaona simba ilipotoka na inapokwenda. CAF 5-Year Ranking - Wikipedia.
Kwa issue ya sasa na points zilivyo tafadhali angalia mwenyewe...
Abdul Razak
Hakuna mfatiliaji na mdau wa soka bongo asiejua kwamba shida ya Yanga SC ni striker, Yanga ilikuwa inaitaji striker na imepata striker, kuhusu striker ni Mzuri kiasi gani ligi zetu za...
Swala la Kocha mpya tunaenda wiki ya tatu hadi leo ni kimya, na ikumbukwe mwezi ujao tuna mchezo wa kimataifa.
Tuweke hilo pembeni, hivi swala la Mkude baada ya wiki 3, ndo linafika leo kwa...
Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa uongozi wa ZBC, viongozi wa Zanzibar pamoja na Wananchi wake wote kwa wema wao wa kuamua kutuhurumia na kutumia TV yao ambayo hatuchangii hata senti 5...
Inabidi tukubali tu kuwa Chelsea ina mwalimu ambaye bado hajafika kwenye level za kuitwa world class coach kiufupi kimbinu bado hayuko vzr Sana Chelsea kwa Sasa inachotakiwa ni kumtafuta kiungo...
Kuanzia leo tarehe 20 natangaza mimi ni shabiki wa Leicester City.
Endapo Lampard ataendelea kuwa kocha wa Chelsea basi mimi nitatua rasmi Leicester.
HUYU TAKATAKA LAMPARD AFUKUZWE HARAKA SANA...
At 17-Years-Old: " I am Italian , I feel Italian, I will forever play with the Italian national team".
At 30-years-old: "When I win them games, I am European, when we lose I am African, they...
Wydad (Morocco) 3-0 Stade Malien (Mali)
( aggr 3-1)
Mtanzania Simon Msuva jana alicheza kwa dakika 86 kabla ya kufanyiwa Sub, ambapo kwa muda huo mnamo dakika ya 46 kipindi cha pili alipiga krosi...
Kwa hakika leo nimeona mchezo ninaoutaka. Timu kana utopolo wacheza mieleka ukicheza nao soft na marefa wetu walivyo, wanaweza kukuabisha sana. Ila leo nimeona physique, nimefurahi sana. Zile...
Taifa stars imeanza vibaya huko Cameroon dhidi ya Zambia kwa kulala 2-0.
Nadhani rais atatekeleza ahadi Yake ya kutumbua waziri wa michezo ingawa hakucheza.
===
#CHAN2021 Mchezo umemalizika kwa...
Kocha wa timu ya Manchester united ameutaja mlima kilimanjaro wakati akiongea na wachezaji wake kuhusu timu yake kukaa kileleni.
Nadhani hii itaweza kufungua kuongezeka kwa fursa za utalii kwa...
Muda mfupi uliopita kabla ya mechi ya CHAN 2021 kati ya Zambia na Tanzania, kama ilivyo ada zimepigwa nyimbo za Taifa za mataifa hayo mawili.
Umetangulia wimbo wa Taifa la Zambia na umepigwa wote...
Habari wadau...
Nitoe pendekezo kwa Mamlaka TFF na Bodi ya Ligi au Kampuni yoyote Kuandaa mechi kati ya wazawa dhidi ya wachezaji wakigeni ndani ya Ligi Yetu.
Mechi hii inaweza kuchezwa kabla ya...
Jana saa tatu usiku katika kipindi cha Sports Roundup kinachorushwa na Clouds FM, mchezaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga ambaye siku hizi ni mchambuzi wa soka, Amri Kiemba alitoa madai...
Baada ya waandishi wa Africa, and Ghana haswaa kumwandama sana, kafunguka jambo ambalo naamini ni somo kwangu, kwako na kwa yule... TAKE TIME TO GO THROUGH THE LINES, TOUCHING LINES!
'SEA, I have...
Nawaomba uongozi wa simba waipige stop kuzungumzia simba kwa njia yoyote ile sababu ukiona simba inazumziwa sana clouds basi tambua kuna jambo baya hapo kwenye mema wala watazungumza hata dakika...
Wasiojuwa mpira walimkera sana kocha kwa kufungwa 1-0 ugenini, viongozi na mashabiki walimzodoa, kejeli na mtishia eti kwanini kafungwa. Baada ya kupindua kibabe meza na kupata matokeo aliwaprove...