Wadau kesho Simba inacheza na Platinum kufuzu hatua ya makundi mimi binafsi kama mpenzi wa Simba FC cjaona mbadala wa Mkude ambaye huenda asicheze kutokana na madai yake ya utovu wa nidhamu...
Hii dunia imeshuhudia mabondia wengi mahiri na wenye uwezo mzuri wanapokuwa kwenye ring.
Tumeshuhudia mabondia kama Tyson, Holyfield, Lennox Lewis, na kona Forman kwenye uzito wa juu.
Kina Ray...
Jamani sven kasema lini kwenye interview haya maneno? Nimeamini utopolo wako vizuri kwenye propaganda ila uongozi wa sasa kama mazezeta hivi ..Chukueni hatua kwa huyu blogger haraka sana
First...
Kipindi cha Malinzi ilikuwa aibu kubwa sana kwa nchi kwa jinsi waamuzi walivyokuwa wakichezesha.
Msimu uliopita na msimu huu, tumeshuhudia makosa yakifanywa na waamuzi ama ya kibinadamu ama...
Ama kwa hakika Maisha yanaenda kasi sana. Wachezaji waliokuwa magarasa kiasi cha kuwachukiza Wanasimba na kufikia hatua ya kutaka kutolewa kwa Mkopo Nyota zao zimeanza kung'aa masaa 72 tu baada ya...
Wakuu swali limejieleza vizuri sana , sasa naomba kufahamishwa mwenye mamlaka ya kuleta kocha na kutimua , na huwa wanatumia vigezo gani ?
Taarifa nyingi za kutimuliwa kwa makocha wa vilabu hivi...
Kufuatia performance kali ya Saido Ntibazonkiza weekend pale Arusha, wana Yanga wameanza kusema huyo ndio mchezaji bora na hakuna wa kufanana nae kwenye VPL! Ikumbukwe amecheza mechi moja tu...
Kwa hatua iliyofika Simba Sports Club kuingia hatua ya makundi CAF Champions League inatupa changamoto wapinzani na sisi tukae chini.
Tutafakari;Je, siku tukipata nafasi yakuwakilisha nchi je...
Ni vyema kusherekea pamoja na Simba na pia kuipongeza Simba kwa kile alichokifanya ili kuwatoa timu ya Platinum fc. Hii itasaidia sana kwa Yanga kutokuwa na presha kubwa sana kushindana na Simba...
Wakuu,
Huyu mtu mpira halazimishi, kwa umri wake ni ajabu na kweli! Fundi wa mpira, bingwa wa penati, kiraka! Mpe majina yote! Akiwepo timu inatulia!
Huyu fundi tumpe heshima yake. Hebu piga...
Hii simba inayokwenda kushiriki champions league ndii ina mabeki wachovu namna hii kumbuka game nyingi za huko utakazo kutanazo zinafanania na hizi ambazo yanga amekutia presha.
Viungo wa simba...
Binafsi nashauri timu apewe Mwinyi Zahera aisaidie kuifikisha mwisho wa msimu wakati Simba wakitafuta mbadala wa Sven ambaye atakua ni wa muda mrefu.
Mwinyi si kocha mbaya japo anaongea mno kitu...
Mchezaji huyo amewapoteza wapendwa wake hao usiku wa kuamkia leo
Ni huzuni kubwa
Ni majonzi
Taarifa zaidi kutolewa na Uongozi wa Yanga
Chanzo: Msemaji wa Klabu - Nugaz
--
Upangaji wa makundi unaendelea muda wakati tayari kombe la shirikisho wawakilishi wa Tanzania timu ya Namungo imedondokea kwa timu ya CD1 de Agosto ya Angola
Mtanzania Mrisho Halfani Ngassa ndiye mchezaji aliyefunga hat trick nyingi kwenye mashindano ya CAF Champions league tembelea African Cup of Champions Clubs and CAF Champions League records and...
Nasikiliza kipindi cha michezo muda huu Clouds FM,namsikia mtangazaji anasema timu ya AC VITA imefuzu.....hili ni kosa na limekuwa likirudiwa mara nyingi na watangazaji na wachambuzi wengi wa...
Wakuu,
Ni muda mrefu sasa nina mashaka na uwezo wa benchi la ufundi la Simba. Hata ushindi tunaopata ni juhudi binafsi zaidi kuliko maelekezo ya kiufundi.
Mechi ya leo ni mfano bora kabisa...
Huyu kocha naona huu ndo muda muafaka kwa uongozi wetu kumtimua maana kila siku anazoendelea kubakia timu nayo inaendelea kuwa mbovu.
#kishingoout#kishingorudikwenu