Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hakika Yanga inaendeleza historia yake ya miaka mingi.Yaani haina utani katika kufanya maamuzi. Yaani ukiizingua Yanga haikuachi ukiisaliti Yanga lazima ikunyooshe. HONGERA ENG Hersi. na wengine...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Afisa Habari Yanga SC, Ally Kamwe amesema kocha wa Yanga, Miguel Gamondi bado yupo klabuni hapo, na ataongoza kipindi cha mazoezi kwa wachezaji siku ya leo. Kocha Miguel Gamondi akiingia GYM...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Hii kitu nimeipenda sana, viongozi wa yanga wamepata shutuma za Kila aina wiki hizi tatu, timu ya yanga imechambuliwa na Kila mchambuzi na maneno yake, kocha kafukuzwa na wachambuzi. Lawama za...
22 Reactions
81 Replies
3K Views
Viwango vya wachezaji wa Yanga vimeshuka,Aziz Ki injini ya timu hata timu ya Taifa hajaitwa yupo zake Tabata snall planet anakula shisha,kutoka kushinda tuzo ya mfungaji bora mpaka kuwa na holi...
3 Reactions
13 Replies
482 Views
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga Alexander Ngai amesema maamuzi ya klabu hiyo kuachana na kocha Miguel Gamondi hayajatokana na matokeo ya kupoteza mara mbili mfululizo dhidi ya Azam na Tabora...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe "Wachezaji wetu Yanga SC wamerogwa" Mashabiki wa Yanga SC "Wachezaji wetu wanalewa sana na kupiga mno Miti / Kungonoka" Uongozi wa Yanga SC "Hatumuelewi Kocha...
1 Reactions
12 Replies
897 Views
Simba SC imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC FC kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa leo KMC Complex, bao la Simba limefungwa na Kelvin Kijili wakati la KMC likifungwa na Pascal. Fadlu kabla ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeshuhudia ASAS Djibouti, KMC na hata JKT wote wakicheza mpira unaofanana walipocheza na Yanga ambao umesababisha wakaadhibiwa vibaya. Leo nitatoa maoni yangu kwa timu zingine zitakazokuja...
19 Reactions
68 Replies
6K Views
Hii ni baada ya kuitwa kwenye kikao na Master Gamondi kugoma kutokea. Uongozi umechoshwa na jeuri ya kocha huyo na sasa muda wowote ndani ya masaa 24 yajayo Gamondi atafutwa kazi
4 Reactions
73 Replies
4K Views
Haji Manara aka Haji Matrophy . Shareef El Buggati. Shareef Makombe. Shareef Makarama. Yanga itapaa kwa viwango vya juu sana. INJINIA na Haji sasa mambo powa. Alichokisema Haji ni kwamba...
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba Kocha Gamondi wala hakuwa na Uwezo huo ambao tokea mmempa Kazi Yanga SC mlikuwa mkimpa hadi kumuita Profesa ila mlimkuza Kiuongo na Kweli aonekane anafanya vyema ila huku nyuma...
12 Reactions
22 Replies
1K Views
Tafadhali kama huna Dstv Kwako na una Visimbuzi vyako vya Kipuuzi Kipuuzi cha Bamaga na Tabata huu Uzi haukuhusu.
3 Reactions
1 Replies
315 Views
Kutoka ligi yoyote duniani. Mi nadhani Hawa hapa hawatomaliza msimu na pengine hawatafika hata Christmas. i)Eric Ten Haag ii)Fadlu Davies iii)Mourinho iv)Vincent Kompany Wewe mwanamichezo...
6 Reactions
21 Replies
962 Views
Naona watu wengi Instagram, X na JF wanamlaumu injinia na kumuona mpumbavu kwa kumfukuza kocha Gamondi. Kwanza Rais ana jopo la uongozi ambalo anashirikiana nalo kufanya maamuzi ya timu. Kuna...
2 Reactions
6 Replies
707 Views
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Novemba 14, 2024 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo...
1 Reactions
13 Replies
921 Views
Nimefurahi kuona hawa vijana wawili ambao wameaminiwa kuwa wasemaji wa club kubwa kama Simba na Yanga wapo pamoja Studio na kipindi cha zogo mchongo kinaendeshwa vizuri. Sasa pata picha hapo...
12 Reactions
22 Replies
1K Views
Hizi ni takwimu katika mashindano rasmi tokea akabidhiwe timu ya Yanga msimu wa 2023/2024 ndani ya dakika 90 (Ngao ya jamii, klabu bingwa, ligi kuu na kombe la FA) Michezo ya ngao ya jamii ni 4...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Fadlu David siii kocha kabisa. Fadlu Amekuwa assist coach kwa miaka saba tofauti pale Mutirzburg United South Africa. Kwa kipindi tofauti iliaminika yeye ndio chanzo cha mafanikio pale. Ila...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga inadaiwa kuwa katika hatua ya mwisho kumtema kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi na tayari imeanza mchakato wa kumnasa kocha kutoka Algeria, Kheireddine Madoui wa CS Constantine...
2 Reactions
5 Replies
932 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…