“Sichezeshi wachezaji 11 bora uwanjani nachezesha timu bora uwanjani. Sichezeshi jina wala staa, nachezesha timu ambayo italeta mafanikio na usishangae mchezaji mkubwa akawa anakaa benchi...
Chanzo kinasema kumekuwa na maneno ya chini chini hasa Dr. Mshindo Msolla akiona kama Hersi anajipigia Kampeni aje agombee nafasi ya Uenyekiti. Hivyo amekuwa kimbelembele sana kwenye mambo...
Nimesikitishwa na post yako moja ukilinganisha sura ya Onyango na mchezaji mpya alieyesajiliwa Yanga.
Lengo lako ni kuonesha jinsi sura ya onyango aliyesemwa ana miaka 27 na huyo wa yanga akiwa na...
Wote waliopo 'pale' hakuna aliyeitwa National Team hata kwa kutajwa tu...Hata hivyo Yanga imemnasa Kitasa Saidi Ntibazonkiza. Tunasema hivi Yanga ilipo tupo.. Bw Saidi akifika tunamsubiri kwa...
Muda si mrefu tu uliopita kuna Barua kutoka Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu kwenda kwa Klabu ya Yanga ikiwataka upesi sana Kurejesha Serikalini ( Wizarani )...
Soka ni mchezo wa aina yake, unafatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni. Kuna baadhi ya wachezaji wametoka katika familia za soka. Unakutana baba na wanawe au mtu na kaka, mjomba, binamu yake...
Hebu tupate kumfahamu Saidi Ntibazonkiza kwa ufupi, jamaa amezaliwa 1 May 1987 kwa majirani zetu hapo Bujumbura Burundi kwa hiyo kwa sasa ana miaka 33.
Kuhusu umri tuache hivyo hivyo tu maana...
Mimi shabiki kindakindaki wa timu ya young african uku nikiwapenda vibaya sana majogoo wa anflied liverpool naomba leo utaje mtangazaji wa mpira wa miguu anayekuvutia kwa saa tanzania hii...
Kuna kitu kimoja kwenye soka la Tanzania! Soka ni Simba na Yanga!
Maamuzi, uendeshaji, uratibu, mipango nk yote inategemea /inahusu siasa za Simba na Yanga. Hii ni hatari kwa mustakabali wa Soka...
1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema...
Taarifa toka kambi ya timu ya taifa ya ureno zinasema kuwa cr7 ana corona na ameondolewa kwenye kambi hiyo ili kushughulikia matibabu.
Namtakia apone haraka maana uefa inakaribia
Source...
Nimesikia sikia kuwa mwaka huu kuna huu mpambano. Mwenye habari kamili tafadhali. Ikiwemo kuthibisha kama wako uzito unaoendana
Mwakinyo vs Twaha kiduku
Kuna wakati unashindwa kuelewa kile wanachokifanya uongozi wa Yanga. Iko siku uongozi huu utaingia kwenye ugomvi mkubwa na wanachama na wadau wa Yanga.
Matukio ya hovyo mpaka sasa chini ya...
Mi naona kocha aanze kutafuta straika vijana ,pia angewahi kubadili viungo kama mzamiru angeingia mapema,pia walitumia winga ya kushoto sana badala ya kulia sijui kwanini huyu wa kulia akawa...
Huu mchezo nilifundishwa na mjomba wangu ambaye maisha yake kwa kiasi kikubwa alikulia China,na alijulikana Kama master G.
Mpaka hapa nilipo nina rank ya mkanda mweusi,huu mchezo siyo tu kuwa na...
Natamani iandaliwe mechi hiyo iwe official kabisa pale kwa mkapa..
Wachezaji wawepo mashabiki kindakindaki wa timu hizo pendwa nchini..ikibidi ni wale tu ambao wana fahamika..yaani watu maarufu...