Dah,
CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu...
Mtaalam kukupa assist haitaji kuwa karibu na goli.Hata akiwa mita 60 anaweza kufusha mpira ukafunga.
Watangazaji mtamaliza majina yote RB..Magician Left footer...Soft touches...maestro...halafu...
Game 1: Thursday 01.10.2020
LA Lakers 116 : 98 Miami Heat
Game 2: Saturday 03.10.2020
LA Lakers 124 : 114 Miami Heat
Game 3: Monday 05.10.2020
Miami Heat 115 : 104 LA Lakers
Game 4...
Wakuu Salaam:
Mechi kati ya Tanzania na Burundi imeisha kwa Tanzania kufumuliwa bila huruma goli 1 kwa mtungi.
Goli hilo limefungwa dk ya 85 na Saidi Ntigamasabo.
Wakuu kuna kocha kweli pale...
Poleni sana Taifa Stars kwa kufungwa na timu ya Taifa ya Burundi lakini haingii akilini kweli Tanzania yenye takriban watu 55 miilioni kushindwa na nchi yenye watu 6 millioni?. Kweli timu yetu...
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika.Ni jinsi gani naweza kumshauri mtu namna ya kuacha kubet maana ameshaliwa Sana karibia mil 2 na zaidi lakin hakomi na akili yake anawaza...
Kabla ya ratiba kutoka Simba ilikuwa icheze na Prison Sumbawanga na Utopolo walikuwa wacheze na Polisi Dar, baada ya ratiba mpya kutoka simba na yanga zitacheza viporo vyao tarehe 22 na kufatiwa...
Hii fainali leo ni moto. Binafsi iam rooting for the king of clay. Ila kusema ukweli Djokovic ambae ndo number moja kwenye tennis rank ya wanaume anatisha.
Vamos Rafa. BAK usikose kuangalia...
Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha...
Wafahamu wachezaji wa soka wanaolipwa mapato ya juu zaidi 2020
Linapokuja suala la kupima wachezaji wazuri katika mchezo unaoshabikiwa sana, macho yote huangazia wachezaji wawili walio na...
Hatimaye klabu ya Yanga ambayo haina kocha, imemteua beki kisiki Lamine Moro kuwa Nahodha mpya wa kikosi hiko.
Bakari Mwanyeto pamoja na Mukoko watakuwa manahodha wasaidizi.
Nini maoni yako juu...
1. USHIRIKINA
Tambueni ya kwamba katika Mechi hiyo (hii) Yanga SC ndiyo Mwenyeji na hakuna asiyejua kuwa Timu hizi Mbili (Vilabu hivi Vikubwa viwili ) ni 'Mabingwa' wa 'Ushirikina / Ndumbaism' na...
Kwenye kipindi cha Asubuhi TBC kulikua na mahojiano ya wageni wawili, Meneja masoko TFF (Mr. Nyanda) na Mtaalamu wa N Card.
Sasa kimbembe kikaanza jamaa wa masoko anaulizwa umeiuzaje mechi ya TFF...
Kampuni ya michezo ya kubashiri nchini ya SportPesa Limited Ijumaa Septemba 13, 2017 imefanya mkutano na waandishi wa Habari kwa kushirikiana na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetambulisha jezi mpya zitakazotumiwa na Taifa Stars ikiwemo jezi ya nyumbani, jezi ya ugenini na jezi namba tatu.
Oktoba 11, 2020 Tanzania itacheza mchezo wa...