Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameongoza shughuli ya kusafisha Uwanja wa KMC Complex, hatua inayokuja mara baada ya klabu hiyo kutangaza rasmi kwamba itautumia uwanja huo kama uwanja wake wa...
Naibu Waziri Wa Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) amesema serikali kupitia Wizara yao itasaidia kutafuta wadhamini kwenye michuano ya Bahati Ndingo CUP 2024, iliyoanzishwa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane
MOJA KWA MOJA KWA MAKOLO
Kwasasa zile kelele za "GSM anaharibu ligi" hazisikiki kabisa!
Kwasasa Makolokwinyo wamehamia kwenye mjadala wa kizushi na...
Taarifa za usajili nchini Afrika Kusini zinamtaja Kocha mkuu wa klabu ya FC Bayern München Vicent Kompany kuwa amepanga kumsajili mlinzi wa pembeni wa klabu ya Mamelodi Sundowns FC raia wa Afrika...
Mwenyekiti wa Bodi KMC na Meya wa Kinondoni, Songoro Khamis Mnyonge, amesema uwanja wao wa KMC Complex, umekamilika kwa asilimia 95 na matamanio yao kwa sasa ni kuufunga Camera, Taa pamoja na AC...
Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza Club ya soka ya Wydad Casablanca ya Morocco kumlipa Mchezaji Mtanzania Simon Msuva zaidi ya dola za kimarekani laki saba ( Tsh. zaidi ya bilioni 1.6)...
"Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona...
Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani.
Embu waza night kali flani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini...
Shirikisho la soka nchini Nigeria limepiga marufuku wachezaji nchini humu kushsngilia kwa mtindo mpya wa Bathazal ambapo mchezaji wa timu ya Shooting Stars aitwaye Mustafa alishangilia baada ya...
Hapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia...
Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati klabu bora zaidi kwa sasa ni Yanga SC, ukubali ukatae ila huu ndio ukweli mchungu. Binafsi sijaona klabu inayo weza kupambana na Yanga uwanjani ikatoka na...
Ili kuendelea na drama zao za sizitaki mbichi hizi, msemaji wa Deportivo la Utopolo amenukuliwa akisema kuwa uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi ni mbaaali sana kwao ni kama walikuwa wanasafiri...
Kuhama uwanja wa Azam complex sababu zikiwa;
1. Prince Dube kupunguziwa mwanga wa taa anapokaribia goli ( huu upuuzi makubwa)
2. Aziz Ki aliona jiwe badala ya mpira.( Uchawi umewazidi wanakimbia...
https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI
Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja...
Nina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko a.k.a kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu?
Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza...
Taarifa kutoka Zanzibar imeeleza kwamba Shirikisho la Soka la Nchi hiyo limezuia matumizi ya Viwanja vya soka vya New Aman Complex na Gombani kwa kile kinachoitwa kupisha matengenezo.
Uwanja wa...
Warabu wametia aibu soka la Africa kwa kumbagua Mwafrica mwenzao Kwa kumwita Kaffir, yaani mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga
Rulan Mokwena ni Coach wa Wydad Casablanca ya Morocco, zamani...
Yanga toka ilipoanza kutumia uwanja wa Azam Complex ilionekana kuukubali hadi ikaanza kutamba kama vile wao ndiyo wana umiliki.
Simba ikahisi uwanja kama unawakataa, ikaanza kuhaha huku na kule...