GSM Waliokuwa Home Shopping Centre ni wahuni toka Serikali ya Kikwete. Hawa tunawafahamu walikuwa wakifanya uhuni kukwepa kodi, baadaye alipoingia Magufuli madarakani walijifanya wamefilisika na...
Akizungumza jana kupitia Kipindi cha Sports Extra cha Clouds FM Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Lugano Wilfred Mwakalebela alisema tena kwa 'Kujimwambafai' kabisa kuwa Wanachama na...
SENZO alikuwa CEO wa Simba Sports Club na sasa amehamia Yanga (Dar Young African). Napenda kujua kule amekuwa nani, Katibu Mkuu, Mwenye Kiti, au nani. Hili swali ni kwa sababu Yanga bado wanatumia...
Baada ya heka heka za ufunguzi wa kampeni za CHADEMA huko Mbagala si vibaya makamanda mkapitia pale uwanja wa uhuru " shamba la bibi" kumshuhudia kijana wetu wa mwananyamala Dulla Mbabe...
Kwa namna nikivyoiona Simba ikicheza jana, kwa ile speed na ujanja ujanja wa akina Morrison, Micksone, Bwallya na wengineo ni dhahiri yule dogo aliyetoka Mtibwa A.Shomari hatoweza kupambana nao...
Wachezaji wa kulipwa wa mchezo wa mpira wa vikapu wanaume na wanawake hapa Marekani wamesusia wiki hii kushiriki kwenye michuano ya finali ambayo imekuwa ikiendelea wakilalamika dhidi ya polisi...
Mlicheza mechi kimya kimya na timu ya mtaani mkapigwa goli tatu kwa sifuri,na goli ya kwanza alichomesha mwamnyeto .
Halafu mnasema vitalo timu mbovu.
Sasa hivi mnapiga game kimya kimya kama...
Habari zenu Wana jukwaa la michezo!
Mimi nataka kufahamu kutoka kwa magwiji wa betting,ninyi mnatumia mbinu gani kushinda hizi jackpot za sport pesa,mkeka bet,m bet na zinginezo?
Maana wenzenu...
SIMBA SC YACHEZA MECHI MBILI KWA MPIGO LEO ASUBUHI YASHINDA ZOTE, YAIPIGA KMC 3-1 NA TRANS CAMP 5-2 UHURU
KATIKA kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii, Simba SC wamecheza mechi mbili za kirafiki...
Hii hijawahi tokea, usajiri hata wachezaji kumi wapya imeshindikana, pamoja na TFF kkuongeza nafasi hadi 10 lakini Yanga yangu ni shida sana, umasikini haujawahi acha MTU salama.
Kwa mpira anao upiga kijana itoshe kusema kua sisi Wana nchi tumekubali kua mwaka huu ama zetu ama zao
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Wakuu, sote tumeshuhudia wiki za usajili wa vishindo ambao umetikisa jiji kama sio nchi kwa ujumla wake. Naweza kusema matukio makubwa ya kisiasa yameweza kutulizwa na muingiliano wa mambo ya...
habari za asubuhi wana jamvi,
pongezi kwa timu zote zinazofanya usajili huku tukiona majina makubwa ya kitua nchini toka nchi jirani tena wakiwa na bado na mikataba na timu zao kama vile hawa...
Ombi langu kwenu wananchi tukaribisheni siku ya mwananchi Kama kweli mna nia ya kupima team yenu kwa usajili mlio fanya.
Tutawapangia kikosi rafiki Kama hiki.
1. Salim
2. kameta
3 Gadiel...
Mimi Jerry Rebiam Medson Kyando ni mshabiki mkubwa na lia lia wa Barcelona Fc na Simba kwa Hapa Tanzania, kwa kipind cha hii miaka mitatu sikufurahishwa na matokeo ya Barcelona kwa upande wa...
Habari wakuu
Nimemuona yule Mchezaji mpya wa Yanga kutoka Angola kisaikolojia hajapenda mazingira ya uwanja wa mazoezi alokutana nao baada ya kufika mazoezini
Na kwa hili yanga wasipolichukulia...