Leo hii nchi nzima ni aidha Yanga au Simba, hata watu ambao hawaishi Dar lakini ni washabiki wa Yanga au Simba kwanini? Wewe unaishi Mwanza au Arusha Yanga au Simba inakuhusu nini? Huko uliko...
Swali kwa wana Simba na wengineo:
Uwekezaji wa simba Mo anamiliki 49%, wanachama wengine wa simba wanamiliki 51%.
Why bilioni 20 ya Mo Dewji tu ndio inakomaliwa iwekwe? Na kwa nini wanachama...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa nimeshangazwa kusikia kuwa aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Klabu Bingwa nchini Tanzania ya Simba Sports Club Senzo Mbatha Mazingisa ameenda kuwa...
Heshima kwenu wapenzi wafatiliaji wamichezo na wanamichezo kwa ujumla!
Moja kwa Moja niende kwenye hoja yangu.
Hivi karibuni kama wiki3 zilizopita tulishuhudia kuona uliyokua uwanja wa Taifa...
In a strange turn of events, Bayern Munich has threatened to not allow their players to go to the German national team if a certain event happens. That event, believe it or not, is if Marc-Andre...
Kuanzia Leo GENTAMYCINE nitaanza kuwa makini sana hasa pale Mtu akiwa 'anamdhalilisha' au 'anamdhalilisha' fulani kwani badala ya Mimi kuanza kuona kuwa ana 'Makosa' huenda kumbe akawa yuko sahihi...
Soka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba.
Mfano Yanga, wao...
Dr. Msolla kwa nia njema kabisa alisema kuwa wadau wa Yanga wachangie fedha ya kusajili wachezaji 2 wa kigeni.
Kwa kauli hii dk Msolla Amevuruga saikolojia ya wachezaji, amevuruga saikolojia ya...
Leo jumapili ya 23/08/2020 baada ya watu kumaliza shughuli zao, kazi itakuwa ni moja tu, huko Estadio da Luz, nchini Ureno ambapo kutapigwa Fainali ya aina yake kati ya PSG Vs Bayern Munich.
Ni...
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dkt. Mshindo Msolla amethibitisha kuwa wameliingiza jina la kiungo mshambuliaji Bernard Morrison katika mfumo wa usajili wa wachezaji wa klabu hiyo (Transfer Matching...
Ulihitaji macho na sekunde kadhaa kugundua kipaji cha ajabu Ambacho Mungu alikiweka KWENYE mguu wangu wa kushoto.
KAMA TAIFA HATUNA HAJA YA KUWATAFUTA KINA MORRISON WA GHANA NA KWINGINEKO...
Baada ya kufuatilia usajili wa timu mbalimbali nategemea kuona ligi ya msimu huu wa 2020/2021 utakua msimu wenye ushindani wa hali ya juu kulinganisha na misimu ya nyuma. Simba ambao ni mabingwa...
Gogoro Simba la kumtimua mo linasubiri pale tu mo atakapoweka 20 bilioni kwenye account ya Simba. Nadhani hata mo analifahamu hilo vizuri ndo maana anachelea kuachia zigo.
Simba wanataka mo...
Tuhuma za Mo mfanyabiashara mkubwa na mdhamini wa timu ya mpira ya Simba za kuingiza siasa kwenye michezo kwenye tukio la SIMBA DAY kwa kumfanyia kampeni mmojawapo wa wagombea urais Tanzania kama...
Kuna baadhi ya vitu vinaweza kukufanya ujifikiria mara mbili kama ulifanya chaguo sahihi kuwa shabiki wa Simba CS. Kuna upuuzi fulani ulifanywa na Utopolo FC kwa kumbeba mhabeshi alipokuwa...
Tupo Tayari
Hatimaye ile sikukuu kubwa la kisoka Africa inafika kileleni leo katika viwanja vikubwa viwili Benjamin Mkapa na Uwanja wa Uhuru.
Tutakuwa hapa kuwapa updates ya matukio na mechi...
Wakuu,
Mimi nimekuwa mshabiki sana wa mabeki ambao wana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira. Nilikuwa kichaa wa George Masatu na baadae Victor Costa. Baada ya Victor Costa niliamini kizazi cha mabeki...
Kutokana na usajili unaofanyika kwenye timu zetu, Simba Kuna mechi itafungwa magoli 5-1 na Yanga msimu ujao. Moderator tafadhali utunze pazuri huu uzi kwaajili ya matumizi ya baadae.
Vigezo...
Nimemsikia mwenyekiti wa Yanga akidai kwamba mkataba ulikuwa na mapungufu na mapungufu siyo sababu ya kuvunja mkataba.
Naomba kujua kisheria,je ni mapungufu yapi yanaweza kuchukuliwa ni ya...
Hii michuano ni mazuri sana kwa kukuza vipaji lkn ina mapungufu ambayo ninayaona
- Uwanja yaani kwa maana ya pitch sio mzuri hivyo clouds katika maandalizi yao na kwa vile wamepata wadhamini...