Nimegundua kuwa kila ninapokutia Malalamiko dhidi ya Mo Dewji basi Mlalamikaji ni Mashabiki wa Yanga na sio Simba! Je Yanga amekuwa na huruma kwa kumtetea Simba dhidi ya kile wanachodai ni Utapeli...
Hivi huyu Mo anawezaje bila aibu kusema bado hajawekeza Bilion 20 Kwa mujibu wa mkataba Ila anachofanya sasa ni kuipa Simba 'ruzuku' ya bilioni 3 kila mwaka?
Simba sio timu ya kupewa ruzuku.
Timu...
Kwa kauli yangu na akili yangu ilivyo na usawia wake sikupendezwa kabisa na kauli za kisiasa za Mo kwenye Tamasha letu la Simba Day. Kauli ambazo hazikubaliki michezoni na zinalenga kutugawa...
Habari zinaenea Yanga jana ilichezea kichapo cha 3-1 ikicheza na wanafunzi wa chuo huko Dodoma. Ilikuwa ni mechi ya kirafiki katika uzinduzi wa wiki ya wananchi.
Hizi habari zi za kweli?
1: Siku kubwa. Matukio makubwa. Mechi kubwa[emoji1316] Bila shaka 'Simba Day' ni miongoni mwa Tamasha Bora Afrika kwa sasa
2: Diamond Platinumz[emoji1316] Tafsiri rahisi ya Msanii mkubwa. Bonge...
Wanajamvi
Hivi hakuna mtu anayeweza kumsaidia Mo kuelewa kuwa Kuna tofauti ya Simba na CCM, Je Mo anadhani yeye kuwa mwanaccm ndo wanasimba wote tumekuwa wanaccm na washabiki wa Magufuli?
Kwamba...
Kwa wale wapenzi wa masumbwi usiku wa leo kulikuwa na pambano kubwa kati ya haya majina mawili makubwa kwenye uzito wa juu duniani 'Heavyweight'; Dillian Whyte ambaye ni muingereza na Allexander...
πππππππππ Siku nyingine ya maumivu makubwa kwangu.mi mwaka huu ntakufa tu kwa presha. Mikia mmekuwa wahuni na wakatili sana. Sijapata ona watu wakatili kama nyinyi.
Mmemchukua Morrison mmemchukua...
Timu ya soka ya Sevilla ya Spain usiku huu imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa baada ya kuifunga timu ya Inter Millan kwa magoli 3-2
Magoli ya Sevilla yalifungwa na De Jong (2) na Carlos wakati...
Nimepata nafasi mujarabu kabisa ya kuketi kwenye kiti cha VVIP nikishuhudia mtanange wa mnyama mkali yaani Mwekundu wa Msimbazi alivyomgalagaza Topolo la kirundi. Kwa kiasi chake ninaweza kusema...
Yanga wamemtambulisha CEO Kivuli Senzo aliyekuwa Simba SC. Katika utambulisho wameonyesha ujuzi wa bosi huyo pamoja na timu alizopitia.
Yanga imefanya jambo la aibu kwa kuonyesha timu zote...
Wakuu habarini?
Nachukua nafasi hii nikiwa mpenda soka na shabiki kindakindaki wa Simba Sports Club kutoa pongezi kwa mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji "Mo" kwa kuiwezesha Simba kuwa club yenye...
Mrisho Ngassa Ni mchezaji aliyeichezea klabu ya Yanga kwa mapenzi makubwa mno.
Ameitumikia Yanga kwa uaminifu mkubwa mno na kwa nguvu zake zote, akili zake zote na kwa moyo wake wote.
Mrisho...
And the rest will be history
In my opinions EPL champion this season is either Manchester city or Leicester city
Liverpool INA mechi ngumu sita mfululizo
KatikA mechi hizo sita atapoteza tatu...
Ndiyo maneno ya mwanasiasa mmoja shabiki wa Simba.
Imasikitisha sana.
Naona wameanza Kama waliyofanya kwa Manji baada ya Yanga kuanza kushusha vifaa vya maana.
Mtulie hivyo hivyo. Hiyo...
Hili ni fundisho kwa vitimu vidogo vidogo vinavyong'ang'ania Dar wakati hawapati mashabiki kumbe wangejiongeza wakaenda huko mikoani wangepokelewa kama wafalme na wangepata mashabiki