Waziri wa michezo Dkt. Mwakyembe amesema wamefungulia mchezo wa soka kwanza ili ligi zikamilike ila michezo mingine itasubiri kidogo.
Chanzo: Channel ten!
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa imesema shirikisho la mpira(TFF ) kuna hela zimetumika vibaya,baadhi ya watuhumiwa wameitwa kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa .
TAKUKURU...
Vilabu vyote 20 vya Ligi Kuu ya England zimepiga kura ya kurejea mazoezini kwa vikundi vidogo kuanzia Jumanne
Kura hiyo iliyokuja baada ya kikao cha wadau kimetajwa kuwa hatua ya kwanza katika...
Basketball legend Michael Jordan's autographed trainers from 1985 sold for a record $560,000 (£463,000) in an online auction.
The Nike Air Jordan 1s, worn by Jordan during his rookie season with...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetolea ufafanuzi kuhus Tsh. Bilioni 1 zilizotolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya fainali za AFCON kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 zilizofanyika...
THE LISBON LIONS
Mnamo mwaka alfu tisa mia sitini na saba ndani ya jiji la lisbon nchini Ureno, mabingwa wa soka wa kombe la ulaya mwaka huo Celtic, japo kwa sasa kombe hili hufaamika kama kombe...
Huyu jamaa ni mzuri na akitia wino ni midfielder mzuri sana.
Lakini mbona simba haiangalii eneo mabeki,Ukiangalia Nyoni uzee ushamfikia na kiwango kimeshuka ,wadau wa Simba mnasemaje simba...
Ligi ya Ujerumani inarejea kuanzia kesho tar.16 May. Vijana wengi wa vyuo na sekondari wapo nyumbani na wamemic sn kubet.
Kurejea kwa ligi ya Ujerumani kunaweza kuwafanya kuvamia na kujazana...
Bado mnatukera wateja wenu!hasa katika kipindi ambacho ligi zimesimama lakini wateja tumelipia bill kama kawaida huku tukiangalia vipindi vinavyo boa hata kutazama na watoto havina burudani...
Mkoa wa Geita umeanza maandalizi ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu utakaokuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki zaidi ya elfu themanini kwa wakati mmoja ili kuondoa changamoto za...
Mada ubaoni ni kuhusu pesa za dharura ya Corona kwa ajili ya kubust ligi za nchi kutoka FIFA kwenda kwa TFF.
TFF kama shirikisho la soka Tanzania wanagoma kuwapa pesa Zanzibar.
Hoja kubwa...
Burudani ni kitu ambacho kipo kwenye kichwa cha kila mwanadamu. Wanasaikolojia wanadaia sehemu ya ubongo inayoanza kujitengeneza kwa mwili wa mwanadamu ni sehemu inayohusiana na starehe.
Kuna...
Kwa mujibu wa CAF, Yanga ya Tanzania inashikilia rekodi ya kufungwa mabao mengi zaidi katika msimu mmoja wa michuano ya klabu Bingwa Afrika hatua ya Makundi.
Msimu huo ulikuwa ni mwaka 1998...
Cus D'Amato alimuokota Tyson mtaani, aliona ubabe, aliona sharpness, aliona njaa, aliona vingi lakini cha muhimu zaidi ni aliona 'eye of the tiger'.
Akamchukua Tyson, akam-train, akapambana, kwa...
Radio Free Africa kipindi cha michezo asubuhi hii wametangaza kifo cha ghafla cha Bondia Thomas Mashali. Thomas ni bondia aliyeleta changamoto kwenye gemu na kuifanya ichangamke.
Chanzo cha Kifo...
Timu zenye wachezaji wazawa katika ligi yetu ni nyingi kuliko timu zenye wachezaji hao wakigeni lakini timu zenye wazawa hazifanyi maajabu yeyote yale katika ligi kuu. Mchezaji watanzania...